Yametimia,mkutano wa dr. Slaa wakwama Kahama,wananchi wasusia mapokezi na mkutano

Status
Not open for further replies.
DR. SLAA ANAENDELEA KUWACHANA MAGAMBA NA MAPANDIZI YALIYOMO NDANI YA CHADEMA: M4C nomaa, lazima Watu Watemwe hapa nimeamini Makamanda!
 
Magamba haooooo... Eti chanzo kuaminika. We kiraza kweli. Kawadanganye watoto wenzako
 
Tuntemeke, Mimi nipo Kahama ndio kwanza Msafara umeingia na una watu wengi sana .Kwa hivi sasa watu wa mwisho wapo Rocken hill na waliotangulia kwa maana ya wageni Dr na walioambatana nae wako NBC zamani....watu ni wengi sana na Mji wa Kahama Umezizima ile mbaya.....nyimbo za chadema , na vifijo ni vingi.

Ameshafika Mkutanoni Makamanda!
 
UONGO MTUPU, TENA MPUUZI KABISA HUYU TUNTEMEKE: Mimi nipo Kahama... Mkutano Unaendelea Mpaka hivi sasa 2po Mkutanoni, Wafuasi, Wanachama, Wakereketwa na Viongozi takribani Elfu Moja na Mia tano Wamefurika katika Uwanja huu!

asante mkuu, huyu Tuntemeke hajali hata ban , maana ana id zaidi ya moja .
 
Halafu we jamaa inaonesha wewe ndo mratibu wa haya matamko wa wanaojiita wanachadema, maana mara nyingi wewe ndo huwa unayaleta kwenye jukwaa. Na hata kwenye hii post umejichanganya, mara chanzo chako kimekwambia, lakini inaonesha uko eneo la tukio wewe mwenyewe.

kumbe na wewe umeliona hlo mkuu huyu ni masabur kweli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom