View attachment 125037Hawa wanaendelea kuigiza tu.....
Huu mkanda utatoka lini? 2015?
View attachment 125037Hawa wanaendelea kuigiza tu.....
Uamuzi wa kionevu na kibaguzi wewe unaita wa maana wewe vipi.
WanaJF,
Msingi wa hoja yangu upo kwenye hali halisi ya mambo ya siasa yanavyoendelea hapa nchini; CHADEMA imevifunika vyama vyote kwa umarufu na kuteka mioyo ya watu
1. Si jambo la kupinga , kiongozi wa CHADEMA hususani Mwenyekiti na Katibu ni karibu watanzania wote wanafuatilia ratiba zao za kikazi wanapenda kujua wako wapi na wanafanya nini kwa wakati huo, tofauti pengine ilivyo hata kwa Rais na waziri Mkuu, uthibitisho ni vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo na mitandao ya kijamii
2. Ni chama pekee ambacho kwa kipindi kama cha miaka miwili mfululizo kinaandikwa sana kwenye vyombo vya habari,bungeni na kwenye mitandao ya kijamii
3. Ni chama ambacho nguvu ya kukihujumu imetumika nyingi sana lakini bila mafanikio tofauti na vyama vingi vya upinzani vilivyowahi kutokea hapa Tanzania
4. Ni chama pekee cha siasa kinachoweza kuthubutu kufanya maamuzi magumu, rejea kufukuza madiwani wasaliti Arusha na kutetea viti vyote kwenye uchaguzi wa madiwani
5. Ni chama kilichobebeba Uzalendo wa kweli na hakina unafiki
6. Mwisho ni chama kinachoenda kuandika historia ya kukiondoa chama tawala kikongwe madarakani 2015, kwa maana kuna kila dalili kuwa sasa CCM haina uwezo wa kupambana na chama kilichojaa watu wanaojitambua

Watu wanasahau kuwa Chadema ina miaka karibu ishirini sasa ...na ilishuhudia hujuma zote zilizofanywa kwa vyama vingine, ambavyo vilikuwa na nguvu kutokana na umaarufu wa Viongozi wake. Ukiwa na kiongozi maarufu kuliko nia ya chama kuwasaidia wananchi, ni rahisi sana kukihujumu chama hicho. Maana wananchi wanakuwa hawaelewi nia ya chama kwao bali wanaelewa umaarufu wa kiongozi. Umaarufu wa kiongozi ukipotea na chama kinapotea kwa wananchi. Nia ya chama siyo rahisi kuipoteza ikishakuwa maarufu na kujulikana sawia kwa wananchi.
Hili Chadema waliliona mapema wakaweka msingi imara wa kufuata miiko ya uongozi wa chama kwa kutumia katiba ya chama na taratibu nyingine za chama. Vyote hivi vinaheshimiwa ndani ya chama, na vinasaidia sana kuipa NIA ya Chadema ya kuwaletea wananchi maendeleo kwa kufuata misingi ya kidemokrasia umaarufu hivyo kutambulika kwa wananchi kirahisi.
Kosa la kiongozi kuwa maarufu kuliko nia ya chama liliwapata NCCR-Mageuzi,kwa Mrema kuwa maarufu na kutumia umaarufu huo kukiua chama, hata alipoenda TLP... kinachojulikana sasa ni Mrema zaidi ya nia ya Chama cha TLP kwa wananchi. Kutokana na hilo pale TLP wala hakuna hata dhamira thabiti ya kuchukua dola. Nia ya TLP siyo maarufu kwa wananchi kwa namna kinavyoendeshwa hivyo si rahisi kupewa dola.
CUF...ilikumbwa na hilo pia Maalim Seif na Prof. Lipumba wamekuwa maarufu kuliko chama na hili limefanya umaaruf wao uipoteze CUF kwenye siasa za ushinda kuchukua dola. Mnajua kilichotokea Zanzibar 2010....Lipumba aliyasema yote kwenye ile video aliyorekodiwa Msikini Dar es Salaam. Nia ya CUF siyo maarufu kwa wananchi, Pale maarufu, ni Maalim Seif na Lipumba, na Hamadi Rashid alitaka kuleta mabadiliko ya kuondoa umaarufu wa viongozi pale CUF (sina hakika kama alitaka kujenga umaarufu wa nia ya CUF kwa wananchi ama la) kilichompata sote tunakijua.
Chadema waliamua kujifunza kutokana na makosa ya wenzao vizuri sana, ndiyo maana...hakuna mtu kuwa maarufu kuliko nia ya chama ya kuwaletea wananchi maendeleo kwa njia ya kidemokrasia. Nia hii ya chama ndiyo iliyo maarufu pale Chadema. Na ni kwa umaarufu wa nia Chadema kwa wananchi...watanzania wengi wanakiunga mkono chama hicho japo wengine wanakiunga mkono kwa kujificha.
Sawa sana mkuu.inapaswa wione magamba hasa yule gaidi wa singidaWanaJF,
Msingi wa hoja yangu upo kwenye hali halisi ya mambo ya siasa yanavyoendelea hapa nchini; CHADEMA imevifunika vyama vyote kwa umarufu na kuteka mioyo ya watu
1. Si jambo la kupinga , kiongozi wa CHADEMA hususani Mwenyekiti na Katibu ni karibu watanzania wote wanafuatilia ratiba zao za kikazi wanapenda kujua wako wapi na wanafanya nini kwa wakati huo, tofauti pengine ilivyo hata kwa Rais na waziri Mkuu, uthibitisho ni vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo na mitandao ya kijamii
2. Ni chama pekee ambacho kwa kipindi kama cha miaka miwili mfululizo kinaandikwa sana kwenye vyombo vya habari,bungeni na kwenye mitandao ya kijamii
3. Ni chama ambacho nguvu ya kukihujumu imetumika nyingi sana lakini bila mafanikio tofauti na vyama vingi vya upinzani vilivyowahi kutokea hapa Tanzania
4. Ni chama pekee cha siasa kinachoweza kuthubutu kufanya maamuzi magumu, rejea kufukuza madiwani wasaliti Arusha na kutetea viti vyote kwenye uchaguzi wa madiwani
5. Ni chama kilichobebeba Uzalendo wa kweli na hakina unafiki
6. Mwisho ni chama kinachoenda kuandika historia ya kukiondoa chama tawala kikongwe madarakani 2015, kwa maana kuna kila dalili kuwa sasa CCM haina uwezo wa kupambana na chama kilichojaa watu wanaojitambua
Mkuu! Mbona sifa sots unazosema ni mtaji wa ccm? Tumekuwa tukiona jinsi Jk anavyopanga safu yake kwa mwelekeo wa kidini lakini pia propaganda za kidini zilivyoota ndani ya ccm na serikali yake walivyoshindwa kushighulikia tatizo la uchinjaji wa kitoweo,suala la shehe ponda na mengine mentioned,jumlisha kashfa za kingono za mwigulu,kapuya,nape na wengine wengi ndani ya ccm.7. Ni chama pekee kinachoongoza kwa ukabila, ukanda na udini
8. Ni chama pekee chenye kiongozi padre mzinzi ambaye alizaa na mke wa mtu ilhali ana iko cheo cha upadre
View attachment 125037Hawa wanaendelea kuigiza tu.....
View attachment 125056 
...dah ! we jamaa mbishi ..ebu jiulize jk yuko wapi,lakini macho yote ni kwa dr slaa huko kigoma. Piiipoozz.,....!Uamuzi wa kionevu na kibaguzi wewe unaita wa maana wewe vipi.
Nyii magamba vipi.Nchi ni ya kwanza kwa rushwa Afrika chini ya utawala wenu.Hata haya hamna.Mnanini cha kujionea fahari Kuwa gamba siyo tiketi ya kukosa ufahamuView attachment 125037Hawa wanaendelea kuigiza tu.....