cjaiona category ya principal internal auditor II, kwa yeyote ambaye ameiona naomba anipe taarifa. Nimejaribu kusoma tangazo hili kwny web ya utumishi na atc wenyewe bt cjaiona hyo category..
baadhi ya wa2 walicomplain kwamba interview ya kwanza walimiss coz walichelewa kupata taarifa na wengine hawakutumiwa kabisa sms, sasa nssf wameamua kuandaa tena aptitude kwa wale ambao hawakufanya interview bt walikuwa na interest. Kama ww ulifanya bt umepigiwa sasa dat meanz uliomba nafac...
Ukisikiliza watu wa humu unaweza ukadata, cjui inakuaje m2 anakuwa anatoa infos ambazo hana uhakika nazo. Watu walioitwa kazini na ni juzi 2 wamepangiwa vituo baada ya kufanya training kwa wiki 1 ni wale walioapply nafac zilizotokaga july 2011 ambozo ni ass tax officers, ass preventive officers...
bora huyo wa kurudi shule ila ww unahitaji kwenda shule cz t seems like hujaenda shule kabisa, kama unaongea shudu thn u consider t 2 b madini dat means hujaenda shule kabisa.
Masters ya MBA! Napata taabu kuamini kama ni kwl umefanya hiyo ki2 cz hata kirefu cha MBA hujui.. Hao uliowaelezea wenye diploma, wamequalify kufanya hiyo MBA cz wana professional qualifications i.e CPA(T), CPSP, CPB, ACCA.. Ukiwa na such qualifications huitaji diploma wala degree kufanya MBA or...
kwa kifupi ni kuwa jwtz hawataajiri kwa mwaka huu wa fedha mpaka mwaka ujao wa fedha, hamjackia kuwa serikali ina ukata wa fedha? so jeshi kuanzia july mwaka huu ndo muanze kutolea macho. Cha msingi muandae 2 vyeti vyenu fresh cz jamaa mchujo wao hawana masihala, ukiwa huna living certificate tu...
hivi mnafahamu madai ya madaktari? Kwnn wanapiga chenga kuonana na serikali wakiitwa? Wamefanya hivyo 2 tymz, kwanza kwa naibu waziri na jana kwa waziri mkuu.. Wanataka nn hasa? Hebu watuweke wazi. Na nyie serikali kuweni na maamuzi, kama mtawatekelezea madai yao au mtawapiga chini.. Huu mvutano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.