Jamani PSPF wameshaita watu kazini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani PSPF wameshaita watu kazini?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kalunguine, Jan 10, 2012.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nlifanya interview ya oral PSPF walisema wangeita watu january.
  Mwenye taarifa,msaada please.
   
 2. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  ondoa fikra za kuajiriwa......hii dunia inaongozwa na wajasiriamali...
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ni kweli mkuu but kuajiriwa hata ya mwanzo ya kwenda kwenye ujasiriamali.
   
 4. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  hzo ndo fikra potof believe me...elim ulokua nayo ni investment tosha kabisa...
   
 5. popobawa

  popobawa New Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna taarifa zisizo rasmi kwamba hadi wamtangaze managing director mpya ndo kila kitu kitakuwa hadharani. Lakini ndg yangu hawa jamaa nasikia tayari kuna vimemo vingi vimeshapita, na zile nafasi zilikuwa kumi na siyo nane. watu wawili tayari walishajulikana zamani.
   
 6. popobawa

  popobawa New Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wazo la kujiajiri ni zuri but lina style yake kaka.watu mnadhani kujiajiri ni kitu kirahisi, rahisi tu. watu tunakaa kwa ndugu zetu, msosi wa kuvizia,shule tumesoma kwa tabu, hadi budget ya nauli inagoma.unadhani kujiajiri itakuwa rahisi?
   
 7. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wengine wanaongea tu kujiajiri kujiajiri wakati pengine hawana hata biashara yoyote,mimi huwa hawanisumbui kwa sababu nachanganya na zangu
   
 8. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mazingira ya tz yana vikwazo vingi sana kwa wajasiriamali,kibiashara kidogo tu wanakuambia ukaandikishe mambo chungu nzima
   
 9. a

  ammablaze Member

  #9
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Acheni kumkatisha tamaa mwenzenu, haiwezekani kila mtu akajiajiri lazima wengine waajiriwe, au wewe ushaona wapi mtu kajiajoiri afu kazi zake zote anafanya peke yake, ukweli ni kwamba mwisho wa siku lazima wengine waajiriwe. Pia unaweza ukaanza na kuajiriwa then ukajiajiri badae yaani unatafuta pakutokea
   
 10. P

  Patoshik Member

  #10
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Muulize aliyekufanikisha mpaka ukafanya hiyo oral, taarifa atakuwa nazo tu. Au ndo jembe limeisha makali?
   
 11. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,127
  Likes Received: 1,726
  Trophy Points: 280
  uitwe kazini wakati ile ya kwanza ilikuwa ni just an amptitude test,kuna interview ya pili mjomba,oral,kama mlishaitwa ya pili sawa
   
 12. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Poa mkuu kweli ukimkuta kobe juu ya mti ujue kapandishwa.
   
 13. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu kama unategemea "kamlete" imekula kwako,mimi napambana hiyo ofisi simjui hata mlinzi.nlijibeba ckubebwa.
   
 14. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tuliitwa kitambo kulikuwa na watu kama 97 hivi.
   
 15. popobawa

  popobawa New Member

  #15
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu wengine sijui wakoje. aliyemfanikisha kufanya hiyo oral ni haohao pspf, na walisema watu wategemee taarifa kwa njia kama hizohizo za mawasiliano kama simu, gazetini na kwenye web yao. sasa wapo kimya. unadhani huyo mtu akaulize wapi? hata ndugu yangu kaambiwa hivyohivyo, so watu wanachokiandika wanakijua na wanataka kupata majibu, weye waleta mchezo au kwavile una kazi?
   
Loading...