TRA vp?!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TRA vp?!!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Jasnira, Feb 4, 2012.

 1. Jasnira

  Jasnira JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 80
  Nimeapply TRA field ya Assistant human resources vp wameshaita tayari mwenye infomation yoyote
   
 2. Jasnira

  Jasnira JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 80
  Naona kimya ila vigezo vyote nilitimiza..
   
 3. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wakati una-Apply mbona ukuomba taarifa au ulijua ukienda kimyakimya utakuwa considered kimyakimya!!!!
  ''So far, no any information''
   
 4. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 737
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kuna watu wameitwa/wamepigiwa j3 tar.30, kwenda kuanza kufanya kazi. Sijui na wewe ulikuwa batch moja ama laa?
   
 5. neyl

  neyl Senior Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  zip tena hizo mkuu? ni hiz zilizotangazwa juz juz za siye tuliograduate 2011?
   
 6. G

  Green Apple Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah,hata hapo nimekosa?mwaka wangu,nashukuru kwa information wakuu
   
 7. KIJIKI

  KIJIKI Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tulizia tu baba,,,utapata kwingine sio lazima upate TRA:lol:
   
 8. Jasnira

  Jasnira JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 80
  Ndio hizi zilizotangazwa juzi kwa sie tuliograduate 2011.
   
 9. A

  Andre02150 JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 2, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  walio-graduate 2011 tayari wameshaitwa na kupangiwa vituo..pole
   
 10. Jasnira

  Jasnira JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 80
  Haya asante kwa information...
   
 11. Jasnira

  Jasnira JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 80
  Ila mbona juzi tu interview ilifanyika lini?!!
   
 12. P

  Patoshik Member

  #12
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukisikiliza watu wa humu unaweza ukadata, cjui inakuaje m2 anakuwa anatoa infos ambazo hana uhakika nazo. Watu walioitwa kazini na ni juzi 2 wamepangiwa vituo baada ya kufanya training kwa wiki 1 ni wale walioapply nafac zilizotokaga july 2011 ambozo ni ass tax officers, ass preventive officers n.k. Kwa nafac hizi za juzi juzi maalum kwa waliograduate 2011 ambazo ni ass customs officers, ass accountants, ass hr officer, it n.k mchakato wake bado hata kushortlist hawajaanza.. Kwa kifupi we tulia 2 cz huwa inachukua muda mrefu kidogo mpk washortlist.. HAKUNA ALIYEITWA KAZINI KWA NAFASI HIZI ZA JANUARY 2012.
   
 13. Jasnira

  Jasnira JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 80
  Patoshik nashkuru sana maana watu kwa kukatisha wenzao moyo kisa wao wameshapata...ila wakumbuke aliye juuu
   
 14. Jasnira

  Jasnira JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 80
  Kama hujui kitu its better unyamaze kuliko kupayuka hovyo...yan kujifanya unajua wakati huna lolote. Kwani ukisema hujui kuna nini?!! Ila kujifanya unajua kila kitu wakati huna lolote...
   
 15. Mpiga Nyoka

  Mpiga Nyoka JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Kuna watu kazi yao kuturusha roho tunaochoma mahindi mtaani! Mshindwe na mlegee kama serikali ya jei kei.
   
 16. C

  Chan Senior Member

  #16
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgongee "like" hapo.
   
 17. F

  Ferds JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  we ndio uliebaki mkweli hawa wengine humu chai,
   
Loading...