Hatimaye arusha tech watoa shortlist kazi kwenu wadau

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,307
13,269
chuo cha ufundi arusha kimetoa majina ya waombaji wanaotakiwa kwenda kwenye usaili tarehe 21/3/2012.majina yote yapo kwenye gazeti la DAILY NEWS la leo.kila raheli kwa watakao ona majina yao.Ili kazi ipo hususani walioomba nafasi ya TUTORIAL ASSISTANT nafasi zipo kumi walioitwa wapo 150!!!!!!!Ila msikate tamaa.
 
chuo cha ufundi arusha kimetoa majina ya waombaji wanaotakiwa kwenda kwenye usaili tarehe 21/3/2012.majina yote yapo kwenye gazeti la DAILY NEWS la leo.kila raheli kwa watakao ona majina yao.Ili kazi ipo hususani walioomba nafasi ya TUTORIAL ASSISTANT nafasi zipo kumi walioitwa wapo 150!!!!!!!Ila msikate tamaa.


KUITWA KWENYE USAILI Chuo cha Ufundi Arusha (Arusha Technical College) ni mamlaka mpya ya kisheria iliyoanzishwa na Tangazo la Serikali (Establishment Order) namba 78 chini ya Sheria ya Bunge namba 9 ya mwaka 1997 ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi yaani "The National Council for Technical Education (NACTE)"., ilikipandisha hadhi Chuo hiki kwa kutoa idhini kuwa Taasisi inayojiendesha yenyewe (Autonomous Institution) na hivyo kubadilika kutoka Technical College Arusha (TCA) kuwa Arusha Technical College (ATC). Mabadiliko haya yanalenga kuongeza ubora na ufanisi katika kutekeleza majukumu makuu ya ATC ambayo ni ufundishaji, utafiti na utoaji wa ushauri wa kitaalamu kwa jamii. Chuo Cha Ufundi Arusha kikishirikiana na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kinatarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwaajiri waombaji watakaofaulu usailikamailivyoonyeshwa hapa chini. Wasailiwa wanashauriwa kuzingatia yafuatayo:
  1. Kuja na vyeti Halisi (original certificates) za kuanzia kidato cha nne na kuendelea kutegemeana na sifa za mwombaji
  2. Kila msailiwa aje na picha moja (Passport size).
  3. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
  4. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa.
  5. Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate).
  6. Wale ambao majinayaohayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa maombiyaohayakufanikiwa na wasisite kuomba mara nafasi za kazi zitakapotangazwa tena.
  7. Wale ambao walisoma nje ya Nchi wahakikishe kuwa vyeti vyao vinapata ithibati ya Tume ya Vyuo Vikuu (TCU).
  8. Wale ambao wana Ajira rasmi waje na barua za ruhusa kutoka kwa waajiri wao.
  9. Tangazo hili linapatikana pia katika tovuti ya: - www.atc.ac.tz
Chuo Cha Ufundi Arusha kikishirikiana na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kinawatangazia wafuatao kuwa wanaitwa kwenye usaili kwa nafasi walizoomba. Usaili utafanyika Chuo cha Ufundi Arusha tarehe 21 Machi, 2012 na utaanza saa mbili Asubuhi. Wasailiwa wa nafasi zote isipokuwa Lecturer wataanza na mtihani wa mchujo tarehe 21 Machi, 2012 na kufuatiwa na usaili wa mahojiano tarehe 22 Machi, 2012 kwa watakao faulu kuendelea katika hatua hiyo.
  1. LECTURER (3 Posts: Civil Engineering/Structural Engineering, Irrigation Engineering, Chemistry, Electrical Engineering)
SNO
NAMES
ADDRESSES
1
Dr. Frederick Malembeka
Box33599DSM,

  1. 2. ASSISTANT LECTURER (7 Posts: Computer Engineering/Science/IT, Electrical Engineering, Electronics and Telecommunication Engineering, Land Surveying/Geomatics, Irrigation Engineering/Water Resources/Integrated Water Resources, Transportation Engineering, Automobile Engineering/Mechanical Engineering with a bias in hydraulics and Pneumatics)
S.NO
NAMES
ADDRESSES
S.NO
NAMES
ADDRESSES
1
Adam Mazoya
Box105808DSM
5
LawrenceDeus
Box80152, DSM,
2
Benson H Mbuya
Box283Arusha
6
Salim Losindilo
Box474DSM
3
Geofrey C. Kawono
Box260Iringa
7
Ramadhani Sinde
Box8800DSM
4
Peter Kaaya
Box7212Arusha
8
Hasanal Hakam
Box 138Dodoma

  1. TUTORIAL ASSISTANT (10 Posts: Entrepreneurship, Physics, Biology, Mechanical Engineering with specialization in Energy Technology and Industrial Experience, Electrical Engineering, Electronics and Telecommunication Engineering, Civil Engineering with specialization in Geotechnical Engineering/Pavement Engineering /Highway Engineering/Structural Engineering, Automobile/Autoeletric and electronics Engineering)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Lucas Optat

76
Mussa Miraji
Box296Arusha
2
LawrenceBoaz
Box16419 Arusha
77
Lucas Dawson
Box2012 Arusha
3
Geofrey Katema
Box 2521Dodoma
78
Lazaro Joshua
Box3051Mbeya
4
StanleyMbogela
Box 5478 Morogoro
79
Kombe Adauth
Box54416DSM
5
Happyness Lema
Box7321Arusha
80
Nicodemus Msafiri
Box33897DSM
6
Busumabu Jacobo
Box35091DSM
81
Noel Amon Kikwale
Box 80 Mto waMbu
7
Kelvin L Silayo
Box14214Arusha
82
Audax Andochius
Box8174Arusha
8
Placid B Mushi
Box8861Moshi
83
Ruth Grayson
Box2087Arusha
9
Elia F Mbise
Box1919 Arusha
84
Anselemi Babilas Lukonge
Box2000 DSM
10
Alex S Bunzu
Box40160DSM
85
Joseph Sospeter Salawa

11
Lema Juma Ally
Box772Arusha
86
Renatus Samwel
Box32546DSM
12
Emmanuel J Msele
Box110Maswa
87
Anzamen Uron
Box6446Morogoro,
13
BonifaceE Kema
Box2083Shinyanga
88
Never Zekeya
Box6464Moshi
14
Sunday S. Mwita
Box5342Morogoro
89
Juma Mashauri Wambura
Box268DSM
15
Monica Job
Box3013Arusha
90
Barnaba S Jabery
Box131Mbeya
16
Kadoke Marko
Box34637
91
Haruni John Kidungu
Box27Mafinga
17
Pascal Lucka
Box 54 Same
92
Leornard S Sheka
Box 54678DSM
18
Lufunyo Lupenza
Box595arusha
93
Elizabeth Haule
Box106000DSM
19
Marco P Mwaimu
Box595arusha
94
Kambey Lotoishe
Box1063Arusha
20
Jalala Husein
Box75407DSM
95
Grace Langula
Box70520DSM
21
Boniface kimea
Box20970DSM
96
Juma Bakari Mtimali
Box75015DSM
22
Said H Mdungi
Box457550DSM
97
Jamal W. Kimaro
BOX25254 DSM
23
Maulid Mohamed
Box234Kondoa
98
Agape T. Mnzava
Box223Arusha
24
Crecent Boniface
Box62513DSM
99
Gisandu K. Malunguja
Box186Magu
25
Dismas John
Box1194
100
Joshua Benedict
Box15716Arusha
26
Vicent P Nyakyi
Box931Moshi,
101
Josephat D. Sengura
Box107Nansio
27
Mwambola Simon
Box2157,DSM
102
Fatma B. Kambi
Box6016Arusha,
28
Albert Lutakamate
Box9143DSM
103
Gamalieli Issac
Box1319, Tabora
29
Neema Wofile
Box273,Kilosa
104
Athumani Rashid Hemed
Box164Kidatu
30
Ramadhan Abdallah
Box6134Morogoro
105
Kombo Salehe
Box16362DSM
31
Peter Z Mosha
Box31007DSM
106
Yohana Kitano
Box13134DSM
32
Hassan Marupia
Box1146Tanga
107
George R. Musiba
Box325Tarime
33
Kahumuza Byabusha
Box657Mwanza
108
Florian M. Andrew
Box2329DSM
34
Josina G Mshana
Box5Moshi
109
Gavin K. Mwantimwa
Box77746DSM
35
Emmanuel Kayongoya
Box 54641DSM
110
Ramadhani M. Abdallah
Box6134Morogoro
36
Yahaya A Mbezi
Box30080Kibaha
111
Exavery Tabagi
Box20970DSM
37
Sunday B Kyungai
Box11760Arusha
112
Beatrice T. Mwakasala
Box79522DSM
38
Gift Mgaya
Box 4412Dodoma
113
Joyce Ayubu
Box17010DSM
39
Daudi Mashauri
Box77442DSM
114
Solomon Lomayani
Box1325Arusha
40
Casto Laurent
Box770Mbeya
115
Augustino Anthony
Box308Tukuyu
41
Dominicus Chiwangu
Box4Mbeya
116
Humuri K. Haymale
Box625Arusha
42
Thomas E Kitus
Box 367 Same
117
Ramadhani Rajabu
Box195Singida
43
Temu Stela G
Box1Handeni
118
Lubango Stephen Mayenga
Box1529Arusha
44
Heavy G Njau
Box2052Arusha
119
Happy M. Benedict
Box3084Moshi
45
Jacob Willium
Box24144DSM
120
Balthazar J. Ndakidemi
Box803Morogoro
46
Elihuruma Elia
Box40915DSM
121
Joyce Martin
Box12474Arusha
47
Kaigarula Severian
Box6995DSM
122
Charles Hembe
Box75Bariadi
48
Meckitilda Kazawadi
Box4283DSM
123
Ally A. Shaban
Box180Lushoto
49
Pelagia Kiyizi
Box66548DSM
124
Bosco Sisti
Box164Kidatu
50
Nelea Msyani
Box42Rukwa
125
Walaa Qanne
Box180Karatu
51
Jane Lissah
Box2701Mbeya
126
Cecilia Rolence
Box41463DSM
52
Joseph Mwendwa
Box6220Mbeya
127
Jacob Phaustine Pau
Box45050
53
Nickson John
Box1886Morogoro
128
George Peter Mkomwa
Box8806Moshi
54
Augustine Mbanga
Box15507DSM
129
Rene Costa
Box1994 Moshi
55
Sayyidomar A Idarous

130
LydiaKisula
Box4044Mwanza
56
Stephen Mwita
Box110140DSM
131
Grace Mgalla
Box42Bagamoyo
57
Peter Michael
Box60Geita
132
AntonyMakule
Box198Bukoba
58
Jotham Kimondo
Box68710DSM
133
Edward Mlyambina
Box79Sengerema
59
Wenceslaus P Missana
Box18001DSM
134
EZEKIELS BUCHAFWE
BOX35675DSM
60
Christopher Ernest
Box110110DSM
135
Horace Ndonde
Box78128Dsm
61
Kamnde Joel G
Box60133DSM
136
Anyitike Kisegah Kasongo
Box2580Iringa
62
Erasmos Emmanuel
Box79249DSM
137
Erwin K. Sizinga
Box3317DSM
63
Charles Sungura
Box5733Tanga
138
Jalalya Mabojano
Box1152Musoma
64
Gelion G Mgaya
Box6111Arusha
139
Mwanaisha Rajabu
Box45102DSM
65
NewtonLivingstone
Box12337DSM
140
Imani Hatibu Chambulilo
Box1302Shinyanga
66
Godfrey Babu M.L
Box59Mwanza
141
Adili S. Mwangoka
Box337Mbeya
67
StanleyJetony
Box925Makambako
142
Leticia Francis
Box50177DSM
68
Julius Faustine Jane
Box289Morogoro
143
Sylvester Paschal
Box9123DSM
69
Athumani Omary
Box3014Arusha
144
Benedicto Katole
Box77052, DSM
70
Barnabas Rupilya
Box6401Mwanza
145
Ayoub Hassan
Box9273 DSM
71
Thomas M Kanzungu
Box4Morogoro
146
Elyel Michael
Box 186 Hai
72
Upendo Kadikos
Box 55Bagamoyo
147
Dickson Nkonga
Box 4029DSM
73
Charles Johnstone
Box 60Shinyanga
148
Eugene Sadick
Box 79431DSM
74
Arcado Alphonce
Box 312UsaArusha
149
Shemsa Seleman
Box 4115DSM
75
Lightnes B Masawe
Box 14Bagamoyo
150
Sigifrid Fabian
Box 14672Arusha

  1. 4. SENIOR INSTRUCTOR II (4 Posts: Electrical engineering, Electronics and Telecommunication Engineering, Mechanical Engineering with specialization in Welding/Foundry/ fitter Mechanics, Automobile Eng. and Communication Skills )
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
LawrenceBoaz
Box16419Arusha
14
Abel Bulamu Francis
Box54531Dsm
2
Boniface Kimea
Box2097DSM
15
Doris Exaud
Box14924Dsm
3
Albert Lutakamate
Box9143DSM
16
Emmanuel Kassi
Box34002Dsm
4
Sunday B. Kyungai
Box11760Arusha
17
NewtonLivingstone
Box12337Dsm
5
Eng David Mtunguja
Box58Mtwara
18
Nicodemus Msafiri
Box33897 DSM
6
Paschal P. Duwe

19
Benjamin Charles
Box35Singida
7
Jane Lissah
Box 2701 Mbeya
20
Juma Msafiri
Box15083Dsm
8
Catherine Protas
Box70704DSM
21
Thobias M. Herman
Box814Morogoro
9
Christopher Zacharia
Box4Katesh
22
Salehe Yusuphu
Box72214Dsm
10
Joel Kamnde
Box60133DSM
23
Rashid Mkacha
Box25317DSM
11
Safari S Joseph
Box38423Dsm
24
Prisca Gotrifid
Box35060 DSM
12
Edward S. Mayunga
Box78156Dsm
25
Elias Emmanuel
Box1170, Butimba
13
Joctan Asubiti
Box32478Dsm



  1. ACCOUNTS TECHNICIAN II (2 Posts)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Philemon J Lusingu
Box4670DSM
18
Liston J. Masimba
Box10346Arsh
2
Joseph S Kambaya
Box 1062Dodoma
19
Hildelite P. Temba
Box16097DSM
3
Oscar R Mgowole
Box 910,Dodoma
20
Braison J. Ndege
Box14824DSM
4
Hassan H Msoma
Box2517DSM
21
Phidelis S. Kaombwe
Box6299Mwanza
5
Juma Ally Heri
Box10346Arusha
22
Eva Donatus
Box5551Tanga
6
Damas Duwange
Box84Monduli
23
Emmanuel Masanja
Box3186Mwanza
7
Datsan I Tembo
Box11064Arusha
24
Gladness Ndossi
Box8190Arusha
8
Geofrey H Machusa
Box7194DSM
25
Charles C. Kimaryo
Box13371Arusha
9
Benjamin Kalekezi
Box55007DSM
26
Godfrey John
Box10175DSM
10
Jamila M. Kuwe
Box16308Arusha
27
Clifford M. Gomera
Box32656DSM
11
Gervas E. Masonga
Box9874DSM
28
Majegelo L. Juma
Box11Kasulu
12
Mwinchande Dyandumbo
Box2551
29
Attukengye Massawa
Box2330Arusha
13
Idd Ndaki
Box11945DSM
30
Majid A. Ally
Box138DSM
14
Saraha Bulenga
Box10468Arusha
31
Fatuma Makongoro
Box72439DSM
15
Martina S. Tanda
Box23718DSM
32
Sophia M. Kangozi
Box474Moshi
16
Godfrey Mmbando
Box36140Arusha
33
Halfani S. Nyaki
Box475UsaRiver
17
Rebecca Tumainieli
Box15801Arusha



  1. 6. SENIOR TECHNICIAN I (1 Post: Electrical Engineering)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Costantina Haule
Box11901Arusha
8
Huruma Elieneza
Box10961Arusha
2
Dominic Lumato
Box1566Kagera
9
Sigismundi John
Box 7156Arusha
3
Joseph Mwendwa
Box6220Mbeya
10
Simon Kilian
Box218 Mtwara
4
Emmanuel D. Inga
Box60540DSM
11
Juma P. Kusekwa
Box4257Mbeya
5
Bruno B Monji
Box1352Moshi
12
Christina R Msaki
Box523Arusha
6
Abdulkarim Mchomvu
Box125Mwanga
13
Amani Mashambo
Box1352Moshi
7
Halfan Marijani
Box14Chalinze



SENIOR TECHNICIAN I (1 Post: Laboratory Science – Chemistry)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Wilfred P Shimba
Box23235Dsm
6
Msafiri Samwel
Box78692DSM
2
Florence D. Lyimo
Box3014Arusha
7
Kassim Ambindwile
Box1123Mbeya
3
Emmanuel Fredrick
Box555Mpanda
8
James B. Mankala

4
Shamte Sultan
Box60478DSM
9
Francis M. Tukay

5
Richard Ngowe
Box61026DSM
10
Richard Ngowe Henry
P. OBox6126DSM

  1. TECHNICIAN I (2 Posts: Mechanical Engineering)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Mwidanga W Msuya
Box1955 Moshi
5
Wenceslaus Tesha
Box2001 Shinyanga.
2
Moses R Kirumbi
Box53802DSM
6
AbdulmalickI.Kasigwa
Box7206Arusha
3
Haruna Mwinyimvua
Box254Shinyanga
7
Esau T. Ruheta
Box100086DSM
4
Joachim Ndanzi
Box146Iringa
8
Daniel Cheyo
Box45720DSM
TECHNICIAN I (1 Post: Automotive Engineering)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Prosper Olomi
Box10123Arusha
2
Emanuel Nkindwa
Box17059Arusha
TECHNICIAN I (2 Post: Computer Engineering/Science/IT)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Peter C. Paul
Box15975Arusha
5
Lubango Joshua
Box 2406DodomA
2
Henrick Malecha
Box106065DSM
6
Boniface B Nanai
Box78477DSM
3
Clement C Malai
Box2228Moshi
7
Faraja January
Box1Pangani
4
Innocent F. Mushi
BOX36634DSM
8
Jonas Juma
Box19096DSM
TECHNICIAN I (1 Posts: Transportation/Highway Engineering)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Martin Chomo
Box53Sumbawanga
4
John Mashurano
Box296Arusha
2
Anastazia Saled
Box348Musoma
5
Dotto C. Joseph
Box6Singida
3
Bahati S. Sulle
Box3051Moshi
6
Ramadhani Mzingwa
Box528Mtwara
TECHNICIAN I ( 1 Posts: Civil Engineering)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Ipyana M Mwamwembe
Box1726Mbeya
6
Charles Mathias
Box233Singida
11
Bruno P. Munishi
Box2958DSM
2
Severino Selestin
Box24099DSM
7
Richard Julius
Box22271DSM
12
James Mkidange
Box237Mbeya
3
Frank Benard
Box4565DSM
8
Godfrey Macha
Box32213DSM
13
Jastine Mpinzile
Box1880Morogoro
4
Nabahani B Hussein
Box34Nachingwea
9
Anastazia Saled
Box348Musoma
14
Mulenga Nyabarimb
Box440Bunda
5
Hamad H Mfinanga
Box199Himo
10
Sadick Mbwego
Box3021DSM




  1. 8. HUMAN RESOURCES OFFICER II (1 Post)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Naom Paulo
Box16581Arusha
55
Ester Mtui
Box3043Arusha
2
Furaha A Leornard
Box114459Arusha
56
Adinani H Bilali
Box298Lushoto
3
Amos J Mtimba
Box482DSM
57
Bruno C Kimaryo
Box4938DSM
4
Prisca H Akonaay
Box6024Arusha
58
Lazaro Meshack
Box8319Arusha
5
Joshua G Petro
Box396Arusha
59
Tadeo Ignas
Box6343Mbeya
6
Mashauri Ndebile E
Box77262DSM
60
Kassim Magulumali
Box45884DSM
7
Dixson Bohela
BOX13239DSM
61
Shaban Ramadhan
Box15603Arusha
8
LawrenceC Justine
Box164Rombo
62
Sem A Kakiva
Box9182DSM
9
Eltruda E Ritte
Box1460Arusha
63
Rehema Nzunye
Box1935 Mbeya
10
Alexandra France
Box73Lushoto
64
Onyango Magori
Box149Mwanza
11
Jully M Minja
Box2342Moshi
65
Godfrey Mwangomba
Box423Mwanza
12
Winfred Mhwagila
Box2426Iringa
66
Azizi Ally
Box82Lindi
13
Teresia Mapunda
Box2158Mbeya
67
Robert Mwamasinga
Box126Iringa
14
Martin Samba
Box512DSM
68
Colleta R Simon
Box8203Moshi
15
Shangwe Kapinda
Box67347DSM
69
MagdalenaM Adwell
Box 2103Dodoma
16
Sabela Sanga
Box 1318Dodoma
70
Joseph W Kawia
Box522Iringa
17
WilsonJ Kombe
Box13599Arusha
71
Laura Jeremih
Box500Mwanza
18
Glory R Mosh
Box6328DSM
72
Venance S Ndossi
Box128Tanga
19
Robert K Minga
Box1175Iringa
73
Kwiha Hussein R.
Box50047DSM
20
Emmanuel Nyakumba
Box62Shinyanga
74
Marietha Kyomo
Box363 Mbeya
21
Christopher J Msagat
Box117Monduli
75
Boko Dioniz
Box9190DSM
22
Beatrice V Njau
Box535Iringa
76
Bundala N. Machiya
Box1281Arusha
23
BonifaceE Kema
Box2083Shinyanga
77
Anita Rwezaura
Box77743DSM
24
Agnes P Mlay
Box228Marangu
78
Geophrey Japhet
Box10086Arusha
25
DorisNsari

79
Fredrick J. Massawe
Box67357DSM
26
Agatha Mganga
Box 1146Dodoma
80
Diana K. Wenceslaus
Box76889DSM
27
Stella Shirima
Box -Mbeya
81
Mussa H, Kirunguya
Box 1971Dodoma
28
Mary A Laswai
Box1313Moshi
82
Jovita F. Rwezaura
Box 2753Dodoma
29
Edith Mlay
Box10147DSM
83
Julius R. Ntibhigejeje
Box7131Arusha
30
Alfred A Massawe
Box50Pwani
84
Praygod Lameck
Box1896Arusha
31
Ng'homange Merkiad
Box 45195DSM
85
Irene Killary
Box33392DSM
32
Kalangari Rwehumbiza
Box37Kagera
86
Sakina S. Mbegu
Box2935DSM
33
Sharifa J Kitoi
Box9509Moshi
87
Mariamu J. Mwanga
Box14694Arusha
34
Gloria Ndimbo
Box72167DSM
88
Charles Godfrey
Box4098Arusha
35
Japhet Boniphace
Box18146DSM
89
Neema R. Matagi
Box3011Arusha
36
Dorcas Aaron
Box282Mbeya
90
Aquiline D. Kessy
Box54049DSM
37
Alexandra Mwakyembe
Box2782Arusha
91
Huruma E. Kweka
Box7583Moshi
38
Seleman S Tajir
Box75Tanga
92
Anna Kimbute
Box149Mbeya
39
Elisia Manyanga
Box705Morogoro
93
Rozina Simon
Box 739Dodoma
40
Dominic K Nerrey
Box9140DSM
94
NeemaI.Mzange
Box6111Arsha
41
Salehe Sheghembe
Box101Iringa,
95
Edward Mbasha
Box890Morogoro
42
Mayasa Shemaghembe
BOX32Mtwara
96
Danford L. Mituke
Box8942DSM
43
Digna Donati
Box6756DSM
97
Musa Mkinywa
Box101Mazombe
44
Upendo J Mremi
Box7696DSM
98
Thadei W. Luoga
Box1006Arusha
45
Oscar B Chiombola
Box72704DSM
99
Anthony Bura
Box 2643Dodoma
46
Emmanuel Joseph
Box35062DSM
100
Fatma B. Kambi
Box6016Arusha
47
Hadija A Kiluvia
Box1487Arusha
101
Edgar A. Marandu
Box 1946Dodoma
48
Tatizo Idd Mavunge
Box02Morogoro
102
Michael Mwangobola
Box42507DSM
49
Mote Mahenge
Box2629Mbeya
103
Nahdra B. Batenga
Box1214Tabora
50
Mercy D Malisa
Box07029Arusha
104
Kanyika R. Rukonge
Box94Morogoro
51
Helswida Majula
Box30Mwanza
105
Ivan Kahwa
Box5859DSM
52
ElizabethAden
Box12857DSM
106
Deusdedit L. Maseke
Box2471Mbeya
53
Paulo L Ngomele
Box38072DSM
107
Aisha Mikidadi
Box2669DSM
54
Subiri Kajuni
Box14Mbeya
108
Joyce H.C. Rioba
Box297Usa- River

  1. 9. SENIOR PLANNING OFFICER II (2 Posts)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Aggrey K. Herman
Box174Tabora
5
Sophia B Kornel
Box9024DSM
2
Mbaraka S. Athuman
Box15755Arusha
6
Joseph Mwendwa
Box6220Mbeya
3
Joyce H. C. Rioba
Box297Usa-River
7
Kombe Adauth
Box54416DSM
4
Robi F Mwema
Box78046DSM
8
Chalamanda Ally
Box14224Arusha

  1. 10. SENIOR ESTATES OFFICER GRADE II (1 Post)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Godfrey Mwakabole
Box35744DSM
5
Augustine Paul
Box150Mwanza
2
Saidi H. Bungara
Box296Arusha
6
Denis W. Massoi
Box9542DSM
3
Grayson Libent K.
Box79506DSM
7
Shadrack Ernest
Box12826Arusha
4
Ally A. Ally
Box4235Iyunga
8
Edward A. Amboka
Box3050Arusha

  1. 11. SENIOR LEGAL OFFICER GRADE III (1 Post)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Joseph Hillary
Box17094Arusha
9
Nurudini Saidi
Box77403DSM
2
Charles P. Bogas
Box22Mahenge
10
Lilian R. Gabone
Box523Mwanza
3
Aniceth Gaitan Boyi
Box 57Dodoma
11
Frank Kakwaya
Box1462Mwanza
4
Yusuph Aboud
Box40297DSM
12
Onesmo Nicodemo
Box577Tabora
5
Jane William
Box80348DSM
13
Mathias Safari
Box1096Arusha
6
Sirily A. Mtui
Box10Moshi
14
Mwajabu Ramadhani
Box992Arusha
7
Perfectus J. Kimaty
Box47Arusha
15
Lutufio Mvumbagu
Box63375DSM
8
Jackson Kanyerinyeri
Bof 939 Mbeya
16
Danstun Kaijage
Box38591DSM

  1. 12. WARDEN GRADE I (1 Post)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Mwadia Patrick
Box569Iringa
42
Herieth Lazaro
Box2139Arusha
83
Emmanuel Mhagama
Box1124Songea
2
Robi F Mwema
Box78046DSM
43
Lilian F Kachenje
Box50Mafia
84
Theophil Joel
Box35041DSM
3
Godwin Silem
Box922Mbeya
44
Noel L Mwendo
Box22538DSM
85
Vaileth L Kishoa
Box2012 Singida
4
Maria Joseph
Box3081Arusha
45
JacksonB Lipnga
Box25005DSM
86
Abdul H Mohamed
Box308Singida
5
Samwel L Onesmo
Box715Moshi
46
Wema S Sikoi
Box7737Moshi
87
Olais Maglan
Box13712Arusha
6
Irene Marijani
Box65473DSM
47
Magreth W Magawa
Box 365Dodoma
88
Eliamini Abdalah
Box1541Arusha
7
Said F Mnzava
Box209Arusha
48
Bugwema Karuti
Box32393DSM
89
Linus M Charles
Box16362Arusha
8
Jerome E Mmassy
Box16579Arusha
49
Fanuel Mayombo
Box9542DSM
90
Ruth Limbu
Box665Mwanza
9
Daud J Mkhandi
Box 1952Dodoma
50
Mtweve Meshack A
Box1641Iringa
91
Pacal Enjoylight
Box4006Arusha
10
Rose Andrea
Box3071Arusha
51
Dickson Masambu
Box6298Mwanza
92
Joseph W.B Kawia
Box522Iringa
11
Naom Paulo
Box16581Arusha
52
Riziki A Fungo
Box15088Arusha
93
Hamad Juma
Box2288DSM
12
Innocent Nathanael
Box10346Arusha
53
Juma Seleman
Box459Iringa
94
Valentine Malila
Box144Mbeya
13
John E Ryakitimbo
Tel0763 309773
54
Hassan Msuya
Box35131Dsm
95
Godfrey J Mwangomba
Box423Mwanza
14
Samwel M Aloyce
Box13382Arusha
55
James Cosmas
Box3162Arusha
96
Grace Semindu
Tel 0712 526642
15
Enock M Munyoro
Box10698Arusha
56
Ernest Lutakajack
Box8133Arusha
97
Mussa Rajabu
Box7091Arusha
16
Wendy Y Mwalukasa
Box3011Arusha
57
Violeth D Nelson
Box1304Dodoma
98
Faustina N. Manyangu
Box2716Korogwe
17
Yame L Amnaay
Box141Manyara
58
Benedict Anselim
Box17097Arusha
99
Adhamashari Haji
Box61142DSM
18
Pascal J Mshomba
Box14214Arusha
59
Fadhil A Sanga
Box70Rukwa
100
Paull Tarimo
% Stephen M.Box115Mwanza
19
Elkana Mush
Box5340Dsm
60
Grace H Mbalirwa
Box6070Arusha
101
Christina Johnson
Box154Manyara
20
Charles Mayala
Box1833Mwanza
61
Teete O Mokesen
Box3164Arusha
102
Shaban Ngala
Box 67 Same
21
Emmanuel I Landey
Box11833Arusha
62
Boko Dioniz
Box9190DSM
103
Joyce H.C. Rioba
Box297UsaRiver
22
Erasmo BvFrancis
Box807Arusha
63
Jackline S Shemahonge
Box357Arusha
104
StellaAvelinU.
Box8734DSM
23
Lucy Foya
Box2798Arusha
64
Aloyce M Francis
Box15Mombo
105
Peter Shauri
Box1006Singida
24
Placid B Mushi
Box8861Moshi
65
Jacob Verani
Box33Arusha
106
Hamisi N. Sosses
Box76068DSM
25
Devotha Gille
Box52Morogoro
66
Josephine J Mrema
Box8442Moshi
107
Joseph George
%George J.A. Box 824 DSM
26
Musa Mwalutanile
Box2503DSM
67
Zainabu Mapesa
Box 1330Dodoma
108
Humprey S. Rwazo
Box8493DSM
27
Zawad Kitemangu
Box8043Arusha
68
Joseph Willium
Box2208Morogoro
109
Lusungu B. Lupenza
Box4239Mbeya
28
SianA Swai
Box443Moshi
69
Thomas John
Box7485Moshi
110
Justine A Mvungi
Box1103Arusha
29
Bahat Boniface
Box2108Arusha
70
Sarah F Ng'unda
Box13562Arusha
111
Sion Paul
Box498Arusha
30
Wilfred U Mhwagila
Box2426Iringa
71
Eddah Bwakila
Box337Tukuyu
112
John A. Ndeka
Box15088Arusha
31
Elzabeth Sawike
Box200Iringa
72
Silvanus King'ung'e
Box1704Iringa
113
Jenitha Eliazer
Box32780 DSM
32
Kitamangwa Safar
Box565Arusha
73
Zawad Abbas
Box31902DSM
114
Mary S. Ndele
Box947Singida
33
Tito Mpogolo
Box285Iringa
74
Deodatus Mulokozi
Box6518Morogoro
115
Barakael Lutherson
% Joel ChisanzaBox263Arusha
34
Emmanuel Sing'ambi
Box14146Arusha
75
Chacha Mang'ana
Box60314Dsm
116
Suppet O. Menyal
Box4050Arusha
35
Emiliana Albert
Box3101Arusha
76
Sakina J Kandege
Box12398Arusha
117
Hilder L. Ngowi
Box78405DSM
36
Willium L Shirima
Box538Singida
77
Issac Mathew
Box590Moshi
118
Imani H. Chambulilo
Box1302Shinyanga
37
ShirazS Shebila
Box10050Arusha
78
Anabidze Gang'olo
Box 64 Same
119
Kisali T. Mbise
% Matilda M. Mbise Arusha
38
Devotha B Mwambaya
Box 1786Dodoma
79
Nkole Mpinga
Box380Lindi
120
Tumaini S. Mafole
Box 1546Dodoma
39
Elia Nzigilwa
Box330Iringa
80
Philibert J Mushumba
Box11738DSM
121
Lorivi L. Njololoi
Box626Arusha
40
Sabela Sanga
Box 1318Dodoma
81
Shaban Ramadhan
Box15603Arusha
122
Niveneia Kikaho
Box3013Arusha
41
Willim Francis
Box208Iringa
82
Anyimike H Afwande
Box60Mbeya



  1. 13. ARTISAN I (5 Posts: Fitter and tuner, Carpentry and Joinery, Masonry and Brick laying, Electrical Engineering Automotive Parts Machinist/Automechanics, )
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Yohana S.Kiyowele
Box 138 Same
10
Erasto R.Mshote
Box1738Moshi
2
Emelyus R.Luyanji
Box43093DSM
11
Daniel Mwafongo
Box1020 Mbeya
3
Jacob B.Mwailanga
Box8066Arusha
12
Joseph Raphael
Box DSM
4
Marcel J.Kimolo
Box 29Dodoma
13
George Z. Mrema
Box8244Arusha
5
Godfrey Andrew
Box5Bukombe
14
Mahamudu Mkikima
Box 45339DSM
6
Vaileth Urio
Box713Arusha
15
Zuberi Ringo
Box4299DSM
7
Rogate Kundaeli
Box7137Kilimanjaro
16
Hadija Seif Nguli
Box Arusha
8
Gabriel A. Njoka
Box43093DSM
17
Simon Nduuni
Box15214Arusha
9
Gaston S.Mwaselela
Box72875DSM




  1. 14. SENIOR LIBRARY ASSISTANT II (1 Post)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Getruda Masao
Box1628Moshi
5
Joseph Alex
Box32Bagamoyo
8
Justin K. Matimba
Box 138Dodoma
2
Happy Mgoba
Box60308DSM
6
Frank Kilumile
Box10362DSM
9
Obedy L. Mellusori
Box9511 Simanjiro
3
Moses F. Kadama
Box227Bagamoyo
7
Lucy B. Malupanga
Box55009DSM
10
Rhoda M. Chihemwe
Box16 Bagamoyo
4
Emmanuel Benedict
Box31052DSM







  1. 15. SUPPLIES OFFICER II (2 Posts)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Godwin Willifred
Box717, Arusha
3
Amani A. Sehaiya
Box 138 Same
5
Reginald S. Shio
Box76818DSM
2
Allen J.Mtafya
Box46320 DSM
4
George Mbwambo
Box15124 DSM




  1. OFFICE MANAGEMENT SECRETARY I (1 Post)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Hava George
Box956Arusha
5
Bahati Swalehe
Box4 47 Arusha
8
Flora G.Kipuyo

2
Lucy S. Simtwa

6
Anna G. Swain
Box12368Arusha
9
Audery James
Box 201Dodoma
3
Emmytriza Kinabo
Box76174DSM
7
Magere C. Shilungwa
Box9332DSM
10
Theresia Mayila
Box10906 DSM
4
Comfort Sikwese
Box711Tukuyu







  1. 17. SECRETARY I (2 Posts)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Hana George
Box 956Arusha
3
Nonah M. Kilibika
Box1Kiteto-Manyara
5
Audrey James
Box 201Dodoma
2
Emmytriza Kinabo
Box76174DSM
4
Doreen L. Midas DSM
Box 6000DSM
6
Liliacia Melkizedeck
Box24057DSM

  1. 18. OFFICE ATTENDANT (W) (1 Post: Automotive Stores Attendant)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Victor B. Mndevu
Box8066Arusha
2
Vaileth Urio
Box713Arusha

  1. 19. SENIOR DRIVER II (2 Posts)
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
S/N
NAMES
ADDRESSES
1
Robert Pastory
Box3711DSM
3
Godfrey M. Makinda
Box9143DSM
5
Ponsians K. Sway
Box33814DSM
2
Emanuel E.Abdallah
Box11921Arusha
4
Tito L. Mwanansoka
Box99Mbeya



Limetolewa na: - Mkuu wa Chuo, Chuo cha Ufundi Arusha, S.L.P. 296, Arusha.

CHANZO: ARUSHA TECHNICAL COLLEGE : Skills make the difference
 
Majina ni yale yale na uonevu unaendelea. Ngoja baada ya swala ya Ijumaa, lazima tuandamane kupinga uonevu
 
Duh tupo wengi sana tulioitwa hasa kwenye post niliyoomba nachoshukuru nshapata kaza nyingine ivo niwaachie na wengine wapambane.Jah bless
 
Majina ni yale yale na uonevu unaendelea. Ngoja baada ya swala ya Ijumaa, lazima tuandamane kupinga uonevu

sasa kama hawapo wenye sifa ulitaka waitwe tu...ili iweje? bakini na madrasa wakati wenzenu wakisoma!!!
 
Huo ni upuuzi mtupu, wanapenda sana kunyanyasa watu kwa shida walizonazo, we iweje waite watu zaidi ya 80 kwa post moja tu..they are not serious. Angalia post ya hr...ni upuuzi tu.
 
cjaiona category ya principal internal auditor II, kwa yeyote ambaye ameiona naomba anipe taarifa. Nimejaribu kusoma tangazo hili kwny web ya utumishi na atc wenyewe bt cjaiona hyo category..
 
Huo ni upuuzi mtupu, wanapenda sana kunyanyasa watu kwa shida walizonazo, we iweje waite watu zaidi ya 80 kwa post moja tu..they are not serious. Angalia post ya hr...ni upuuzi tu.
kweli ni upuuzi-utadhani hawana akili-kama post ni moja-kwa nini waite watu zaidi ya 100-
ni bora wangechuja hata waite watu 20 au 10 walio na passmark nzuri then wawafanyie hao interview-
wanachofanya hicho ni kusumbua watu tu
 
satisfied, this shows their system is free and fair though i did not apply, i have seen more than three friends of mine who applied randomly and they know no one there.

kama watu wote wangefuata system hii ingependeza sana kuliko kuapply kazi ambapo sifa zote unazo lakini hata short list haumo.
 
nooooooooooo!!! me mbona nimeitwa na hmna kitu kama uchakachuaji?
 
kweli ni upuuzi-utadhani hawana akili-kama post ni moja-kwa nini waite watu zaidi ya 100-
ni bora wangechuja hata waite watu 20 au 10 walio na passmark nzuri then wawafanyie hao interview-
wanachofanya hicho ni kusumbua watu tu

Mkuu kweli huu ni upuuzi, itakuwaje unataka mtu 1 unawaita wato 100, si unataka kuwapotezea muda na pesa zao, mie niliwahi kuitwa mwaka huu kwenye kampuni ya madini ya Australia ilioko hapa TZ kwenye usaili, walikuwa wanataka watu wa3 na walituita watu 7 tuu kwenye usaili ili wawapate wa3, kwanini upande wa ajira za TZ watu wanaitwa wengi kupita kiasi, waache ubabaishaji au ndo wanataka wawapate wengi wa kutoa rushwa????????
TANZANIA NI ZAIDI YA NIIJUAVYO.
 
Mkuu kweli huu ni upuuzi, itakuwaje unataka mtu 1 unawaita wato 100, si unataka kuwapotezea muda na pesa zao, mie niliwahi kuitwa mwaka huu kwenye kampuni ya madini ya Australia ilioko hapa TZ kwenye usaili, walikuwa wanataka watu wa3 na walituita watu 7 tuu kwenye usaili ili wawapate wa3, kwanini upande wa ajira za TZ watu wanaitwa wengi kupita kiasi, waache ubabaishaji au ndo wanataka wawapate wengi wa kutoa rushwa????????
TANZANIA NI ZAIDI YA NIIJUAVYO.

Hii nchi kuendelea ni ngumu sana, kwa kuwa watu wamejaa ubabaishaji na ubinafsi. Haiingii akilini kabisa kuita watu 150 kwa post chini ya kumi, hao ma-hrm sijui wamesomea wapi. Kweli jamani unaita watu 108 kwa post moja and then watu wanafurahia kisa wameitwa kwenye interview, huko ni kutojiamini. Kuna watu wanafurahi na kuenjoy sana kuona wenzao wakiteseka ktk shida, thats why hudai rushwa. Unaita watu 108 kwa post moja why? Then unajua fika kuwa watatumia pesa nyingi kwa nauli, chakula, na malazi. Kwa nini wasingechuja wakaita kumi then wachuje tena wabaki watatu ndipo wawafanyie interview ya kina ili kupata mmoja?
 
Hii nchi kuendelea ni ngumu sana, kwa kuwa watu wamejaa ubabaishaji na ubinafsi. Haiingii akilini kabisa kuita watu 150 kwa post chini ya kumi, hao ma-hrm sijui wamesomea wapi. Kweli jamani unaita watu 108 kwa post moja and then watu wanafurahia kisa wameitwa kwenye interview, huko ni kutojiamini. Kuna watu wanafurahi na kuenjoy sana kuona wenzao wakiteseka ktk shida, thats why hudai rushwa. Unaita watu 108 kwa post moja why? Then unajua fika kuwa watatumia pesa nyingi kwa nauli, chakula, na malazi. Kwa nini wasingechuja wakaita kumi then wachuje tena wabaki watatu ndipo wawafanyie interview ya kina ili kupata mmoja?

kweli mkuu ni ubabaishaji wa hali ya juu, kuna dada angu yupo kati ya hao 150, naye anashangilia.
 
yaani hicho ndo kilichonifanya nisiende huko kbsaa, dho nilijiona. Watu 108, anahitajika m1,,sasa hata kama ni akili hapo no too much, all the way from huko uliko af unaambulia patupu!! Af hakuna kua refunded,,woooy
 
Hii nchi kuendelea ni ngumu sana, kwa kuwa watu wamejaa ubabaishaji na ubinafsi. Haiingii akilini kabisa kuita watu 150 kwa post chini ya kumi, hao ma-hrm sijui wamesomea wapi. Kweli jamani unaita watu 108 kwa post moja and then watu wanafurahia kisa wameitwa kwenye interview, huko ni kutojiamini. Kuna watu wanafurahi na kuenjoy sana kuona wenzao wakiteseka ktk shida, thats why hudai rushwa. Unaita watu 108 kwa post moja why? Then unajua fika kuwa watatumia pesa nyingi kwa nauli, chakula, na malazi. Kwa nini wasingechuja wakaita kumi then wachuje tena wabaki watatu ndipo wawafanyie interview ya kina ili kupata mmoja?
Utachaguaje 10 wakati wote 108 wanasifa?? Je yule atakayeachwa, si ndo atajua kua wale 10 wametoa rushwa??? Mie nafikiri hawa jamaa walikuwa sawa kabisa. Jambo kuu hapa ilikuwa wale wasailiwa kujichuja kwa kujua uwezo wake. Yaani angejirank kama ataweza kupambana na wale wenzake 107 waliobaki.
 
Back
Top Bottom