Recent content by pathfinder95

  1. pathfinder95

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kagame ampongeza Rais Mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta

    Wote ni wale wale tu ,,,oooh africa my africa ni wapi waelekea Sent using Jamii Forums mobile app
  2. pathfinder95

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kagame ampongeza Rais Mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta

    Wote ndo wale wale tu,ooooooh africa my africa ni wapi waelekea Sent using Jamii Forums mobile app
  3. pathfinder95

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Taasisi ya Imamu Bukhary Sheiky Khalifa Hamisi anashikiliwa na Polisi

    Kumbukeni ni bora kufa kishujaa kuliko kuendelea kuishi kama mtumwa.na maisha ya hapa duniani ni ya mpito tu kuna wa2 walikuwepo na sasa hawapo hvyo tusijidanganye ya kwamba tutaishi milele na huu uonevu ipo siku mungu hatoufumbia macho.walikua wakina firauni wana nguvu kubwa na jeshi kubwa sasa...
  4. pathfinder95

    JamiiForums Tanzania Cardinal namba 3 wa Vatican ashitakiwa kwa ulawiti

    Haa kwa hiyo akampaka mtoto wa wa2 mafuta
  5. pathfinder95

    JamiiForums Tanzania Nampenda msichana fulani lakini ana boyfriend

    Na ukitaka kujijua dem kama si wa kwako peke ako bas shika sim yke just masaa 3 tu zen uone kitachokukuta
  6. pathfinder95

    JamiiForums Tanzania Nampenda msichana fulani lakini ana boyfriend

    Acheni hizo nie 99% ya madem tuliokuwa nao ni ex wa m2 so tusjidanganye.jarib bahat yko akikukubali unabeba mazima sio mke wake wa ndoa
  7. pathfinder95

    JamiiForums Tanzania Kunyewa na ndege mara kwa mara huashiria nini!?

    Una nyota ya mavi broo
  8. pathfinder95

    JamiiForums Tanzania Polisi yazuia kongamano la chama cha kisiasa chenye asili kutoka bara arab..

    Makaffir bwana watoka mapov mengi sabab waona waliozuiliwa ni waislam bila ya kuangalia muktadha wa hili jambo,uislam leo hii wapigwa vita sana dunian ila uwepo wa mungu anailinda dini yke hii mpaka siku ya mwisho,hivyo kaeni makafir mkijua uislam hautoisha kwa majungu yenu hata mkatuua waislam...
  9. pathfinder95

    JamiiForums Tanzania Sirro: Jambazi aliyevamia gari ya fedha Kurasini, alikufa akisema Allah U Akbar

    Maisha ya duniani always ni yenye kupita na tukae tukijua tutarejea tu siku 1 binafs inaniuma sana na sana na mungu atawachoma moto madhalim wote wanaotegemea mabavu ya dola,,kwani siku 1 watakufa kama wanavyoua wenzao .aaamiyyyyn
  10. pathfinder95

    JamiiForums Tanzania BAKWATA mnaufedhehesha umma wa waislam, mko kimya juu ya kuuawa kijana Salum kwanini?

    Innalillahi wainna ilayhi raaji'un hakika mungu atalipa tu kwa kila udhwalim unaofanyika
  11. pathfinder95

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bongo movie kuanzisha tv station

    Tupo pa1 nao
  12. pathfinder95

    JamiiForums Tanzania Mambo ya bongo movie hayo

    Hahaha
Back
Top Bottom