Kunyewa na ndege mara kwa mara huashiria nini!?

nyocksie

JF-Expert Member
May 10, 2015
396
500
Hivi karibuni nimekua nikinyewe na ndege Mara kwa Mara Haswa napokua nipumzika mahali (kwenye kivuli au chini ya nyaya za umeme). Naomba kujua tukio hili huashiria nini!?
 

nyocksie

JF-Expert Member
May 10, 2015
396
500
Mkuu ukiwa unanyewa sana na ndege ujue wewe kazi zao ni outdoors au ni maskini sana. Kwanini unyewe na ndege?
Nafikiri itakua kwasababu nashinda maeneo yao ya kupumzika. BTW mie ni mwananchi wa kawaida tu(sijui hii ndo hiyo tafsiri yako ya kua maskini sana!)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom