Recent content by paruanja

  1. paruanja

    JamiiForums Tanzania Pakistan, India wana silaha za nyuklia kwanini Iran ikatazwe?

    Tatizo liko hapa anafadhili Hammas,Hezbolla,Houth,Alqaida,Talliban
  2. paruanja

    JamiiForums Tanzania Sijaona Jeshi Bora kwa sasa Afrika nzima kama letu la JWTZ, pongezi nyingi mno Kwao

    Amani hii ipo tu nafikir ni Mungu Mwenyewe kaamua iwe hivyo.sio Taasisi Wala chama flani.Kama Israel na Mossad na IDF na Taifa Teule kimenuka.Marekani na CIA na FBI Alipigwa sembuse Tanzania na vijana wa kuvunja Tofali pale Uwanja wa Uhuru
  3. paruanja

    JamiiForums Tanzania Kuipigana na Israel ni kutafuta kifo chako na cha watu wako!

    Inashangaza sana Aliyeanzisha vita hivyo Tarehe 7/10/2023 Wala hazungumziwi ila anazungumziwa yule Anayetaka kutoa onyo Ili cku nyingine Asirudie Tena kufanya Alichokifanya
  4. paruanja

    JamiiForums Tanzania Nalipongeza Jeshi la wananchi Tanzania (Kawe) kuwakomesha raia wa ovyo Kawe

    Jeshi No 6 kwa ubora Duniani likifanya yake
  5. paruanja

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar acheni kuwatelekeza ndugu zenu stendi

    Kuna jamaa Alifika stendi ya Magufuli wakati ndugu anamuuliza uko wapi yeye Akamwambia njoo hapa Kuna Taa inawaka sana
  6. paruanja

    JamiiForums Tanzania Pentagon kuja na Bomu la Nyukilia lenye nguvu mara 24 zaidi ya lile la Hiroshima, Japan

    Hilo bomu lingejaribiwa pale Jangwani
  7. paruanja

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mbagala na Gongo la Mboto wapi kuna watu wengi?

    Mbagara Noma sana
  8. paruanja

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina waandishi /wanahabari wengi wa "hovyo" wasiojitambua kabisa!

    Kweli kabisa
  9. paruanja

    JamiiForums Tanzania Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kikubwa, nitasema kuwa Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania

    Huyo Mwamba Acha apumzike usimsubue
  10. paruanja

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya nakuhurumia, hukumjua Mbowe ni nani?

    Ni sare 1 kwa 1
  11. paruanja

    JamiiForums Tanzania Kati ya ferreri na bugatti ipi ni bora zaidi?

    Zimewekwa mikeka ya hatar saiz kama ulipita mwaka 2018/19 hutaamini saiz buggat inachapa mwendo uleule
  12. paruanja

    JamiiForums Tanzania Kati ya ferreri na bugatti ipi ni bora zaidi?

    Kweli inatisha
  13. paruanja

    JamiiForums Tanzania Kati ya ferreri na bugatti ipi ni bora zaidi?

    Jamani kuna gari inaitwa Bugatt chiron.mwenye picha Aturushie hilo bei Yake ukitamka hakuna mbongo atakuelewa
  14. paruanja

    JamiiForums Tanzania Macron yamemkuta, Waislamu wamjia juu na kususia bidhaa za Ufaransa

    Asubir kipigo kutoka kwa wenye Misimsmo yao
Back
Top Bottom