Recent content by Pare Mountains

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mnaosafiri kwa ndege mna kazi ya ziada!

    Me wanaonikera ni marubani na wahudumu wa ndani ya ndege wa Precision, yani ni kama wananong'ona au labda ni ubovu wa pa system. Kwa upande wa Airport i hv no complain
  2. P

    JamiiForums Tanzania Taarifa:kwa wana UDSM.

    Nakumbuka sana hustle za udsm wakat nasoma migomo, boom kuchelewa, mean testing, accomodation, shuttle, maji, kusapu, etc etc polen wadogo zangu yana mwisho haya. Ni kwel hamna tena revo. sq?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Laana ya wazazi na kuchizika kwa mtoto, kuna scientific connection?

    Hii thread imetulia sana, kuleni like wote mliochangia so far
  4. P

    JamiiForums Tanzania Best Watch Brands for Men!

    Ben Shermon
  5. P

    JamiiForums Tanzania ITV muwe mnatumia akili wakati mwingine kwenye kipima joto chenu..

    tena dsm kwenyewe ni either makumbusho maeneo ya millenium towers or bamaga
  6. P

    JamiiForums Tanzania Komla Dumor of BBC is no more

    May her soul rest in peace we love you but GOD love you more! Mkuu ni 'His' not 'Her'
  7. P

    JamiiForums Tanzania 'Double Standards' katika ukaguzi Airports

    Nimekuwa nikishangazwa na taratibu za ukaguz kutofautiana katika airports 3 nilizowah kupita hapa tz za Mwz, JNIA na KIA. Mwz lazima mzigo wako waufungue pamoja na kupita kwny scanner, siku moja nikiwa na hand luggage nikaambiwa deodorant yangu lazima ibaki, next tym nikamkuta mtu tofauti...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wa enzi hizo mnayakumbuka haya?

    Ingawa mimi sio wa zamani kihiivyo lakini nimeshuhudia kaka zangu wakikamatwa eti kwa kosa la 'uzembe na uzuluraji' in mid-90s, mpaka leo sijawah elewa tafsiri ya lile kosa
  9. P

    JamiiForums Tanzania NI KAULI GANI AMBAYO WANAUME HUTAMKA PALE WANAPOKUWA WAMEACHWA NA MADEMU ZAO.a.k.a KIBUTI...??

    Kicheche akinikimbia muache atarudi analia
  10. P

    JamiiForums Tanzania New member: mmenivuta nijiunge na jf

    Ngoja nikukaribishe mgeni mwenzangu, karibu!!
  11. P

    JamiiForums Tanzania Tuliopata barclays bank lead generator

    Kwa Barclays LG kazi yake kubwa ni kutafuta wateja wa persönal/consumer loans na wateja wa kufungua a/c so its more or less like direct marketing for the bank's products na hauwi permanent employee rather an agent of the bank and u get paid commission kadri ulivyouza products. Tafuta viatu...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua BabyShop Mwanza: Ushauri

    Habari wakuu, niko Mwanza maeneo ya pasiansi nataka kufungua babyshop itakayouza vitu kama nguo,pampers,diapers,vyombo vya kuwalishia, basins, midoli, baby walker etc. Soko lipo. Naomba ushauri kuhusu wapi ntapata mzigo(supplier)? Nimetenga 2m kwa kuanzia apart from rent. Kwa ambao washafanya...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wana JF nauza Samsung Home theatre yangu ipo katika Hali nzuri nimetumia mwaka mmoja tu!

    Mkuu ushapata mteja? Naihitaji nko Mwz
Back
Top Bottom