qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,382
Mmh hizo taarifa umezipata wapi ww? Mbona mm niliambiwa ni mwez huu trh 10?
Sidhani na probably wanaweza kuanza february 1 au kuanzia tarh 15 ili february waanze kazi.
Mmh hizo taarifa umezipata wapi ww? Mbona mm niliambiwa ni mwez huu trh 10?
Hizi ni ajira zile 1m za kikwetee
Mlifanimiwa endeleeni kumtukanaaa
Ni kazi ngumu sana kulinganisha malipo yake.Security ya kazi ni ndogo sana tena ni mkataba unaotegeme utendaji kazi
Kivipi? Embu nidadafulie apo inawezekanaje hii position ya chini kabisa ilipe kuliko hata managers? Kwan income yake inarange ngap kwa hao unaowaita wachapa kazi?Acha kuwavunja moyo ngumu ukiwa mvivu ukiwa mchapa kazi inalipa sana kuliko hata wale ma teller na managers.
Kivipi? Embu nidadafulie apo inawezekanaje hii position ya chini kabisa ilipe kuliko hata managers? Kwan income yake inarange ngap kwa hao unaowaita wachapa kazi?
Kivipi? Embu nidadafulie apo inawezekanaje hii position ya chini kabisa ilipe kuliko hata managers? Kwan income yake inarange ngap kwa hao unaowaita wachapa kazi?
Kikwete na Barclays wapi na wapi ile inaendeshwa kwa matakwa ya ya Barclay Group Africa na sio huyo rais wenu,wanaajiri wanapo jisikia wao sio serikali ya tz.
Bado subirini mtaitwa tu.na training bado labda wiki ijayo au wiki linalofata wanawataka wengi tu na anaye taka km hajaomba aombe au apeleke cv yake kwa mkono pale branch yao ya Morroco mlipofanyia interview na hao anaosema wa zanzibar au arusha sio kwa post hiyo labda nyingine.
Kikwete na Barclays wapi na wapi ile inaendeshwa kwa matakwa ya ya Barclay Group Africa na sio huyo rais wenu,wanaajiri wanapo jisikia wao sio serikali ya tz.
Mkuu palipo na changamoto nyingi ndipo penye mafanikio, acha makamanda wakajaribu bahati yao usiwavunje moyo kwani huo ugumu wa kazi ndio utawajenga mwisho wa siku utawapa chachu ya kutafuta kazi nyingine nzuri zaidi ya hiyo. Siku zote lazima tukubali tu kwamba hata mambo ambayo kwa jicho la kawaida tunayaona mabaya lakini kwa wakati mwingine ukiyatafutia majawabu mambo yako yatakuwa poa na ndio maana ukipata boss mkorofi usimchukie kinachotakiwa ni kuweka way forwardNi kazi ngumu sana kulinganisha malipo yake.Security ya kazi ni ndogo sana tena ni mkataba unaotegeme utendaji kazi
Habari!
Bado wanahitaji watu wa post zipi? Kama tunataka kutuma application tuna address kwa nani?
Asante, ila lead generator ni kazi inayohusu nini? Ndio naisikia mara ya kwanza. Tafadhali ni brief...Hizo hizo za u lead generator adress angalia kwenye web yao au ukipeleka by hand hata hamna shda ht usipoandika adress
Asante, ila lead generator ni kazi inayohusu nini? Ndio naisikia mara ya kwanza. Tafadhali ni brief...
Wait, what do you mean by employed and selfemplyoed hapo kwenye maelezo yako?Kama loan officer tu kwa bank nyingine ni watu wanaouza loan kwa wateja but ni employed tu sio selfemployed km benki nyingine mf akiba,finca,access n.k
Nevermind, I googled. Dahh.. Bongo kugumu jamani! :crying:Wait, what do you mean by employed and selfemplyoed hapo kwenye maelezo yako?
Wait, what do you mean by employed and selfemplyoed hapo kwenye maelezo yako?