TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,196
- 13,025
RRONDO acha urongo. nakujua fika hujawahi kupanda ndege. hata boti ya Bakhresa hujawahi kupanda. Usijitafutie ujiko bure.
Hahahahahaaa,
Kwani kupanda Ndege ni Ujiko Mkuu?
Nimecheka sana Aisee.
RRONDO acha urongo. nakujua fika hujawahi kupanda ndege. hata boti ya Bakhresa hujawahi kupanda. Usijitafutie ujiko bure.
Me wanaonikera ni marubani na wahudumu wa ndani ya ndege wa Precision, yani ni kama wananong'ona au labda ni ubovu wa pa system. Kwa upande wa Airport i hv no complain
Lile tangazo ni kwa watu ambao wapo kwenye chumba cha wasafiri tayari kwa kuondoka hivyo anapotangaza wale ambao wapo ndani wamesha-check in wanasikia vizuri ila sauti ikitoka kwa nje inasikika vile kutokana na muingiliano wa sauti za hapa na pale, by the way ile ni nyongeza tu kwani tiketi ya abiria inaonyesha na kama kuna mabadiliko ya muda utapigiwa simu kujulishwa plus ukitia timu tu pale uwanjani kuna bango kubwa la electronic linaonyesha muda wa kuingia na kuondoka ndege
Lakini mkuu kuna kitu kimoja pia. Ulishagundua kuwa kwenye check-in lounge/waiting lounge za International Departures kule juu ghorofani hamna vyoo? Ikitokea ukabanwa hata na haja ndog tu pendig check-in procdures, inabidi ushuke ground floor halafu wakati wakurudi ufanyiwe tena security checks upya kwenye entry points. Unless kama mimi huwa sijui vilipo sababu ya kutokuwa mweniyeji pale, lakini hata usipokuwa mwenyeji si unaelekezwa? Maana airports zote ni kwa ajli ya wageni
ha ha hahHapa sio sanduku la maoni
wenyewe tumezoea tunasikia vizuri tu.
Umezoea makelele ulijua ile station ya tren!
Nafikiri tatizo lililolipotiwa sio kudanganya CV, ila kudanganya kwamba anaumwa na kuendelea kulipwa mshahara wakati tayari ameacha kazi. Mbaya zaidi yeye ni kiongozi wa nchi. Sasa mimi nilidahni Kikwete alifanya home yake vizuri katika kuteua timu yake, lakini kwa kashfa hii inaonekana uteuzi wake una walakini. Kumbuka huyu ni kiongozi wa pili kuibuka na udanganyifu ukiacha wale waliodanganya PhD zao!
teh teh teh teh teh,mi sipandi ndege kwa usafiri wa ndani,labda niwe naenda abroad!