Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
rip komla dumor
Nilikuwa namkubali sana huyu jamaa akipenda kuvaa miwani mikubwa ya rangi nyeusi na suti maridadi.
Ametangulia tunafuata.
source: bbc news
teh teh teh..dah, ngojea niandae bizness plan nianze kula vichwa ...roho ya uganga wa kienyeji imekupenda mkuu.
Nilikuwa namkubali sana huyu jamaa akipenfa kuvaa miwani mikubwa ya rangi nyeusi na suti maridadi.
Ametangulia tunafuata.
source: bbc news
Jamani!!!to soon Komlar.Ni kitu gani kimepata??Anyone with full details please share!!
Du inasikitisha daaa apepe komla,heart attack kwa africa kuidhibiti ni kazi sana labda mtoni.