Recent content by papillon

  1. P

    JamiiForums Tanzania Looking for a handsome man aged 32 - 40

    Hahaaaaaa [emoji23][emoji23]
  2. P

    JamiiForums Tanzania All the best: Nawatakia mitihani mema CPA

    All the best, tutamaliza tu
  3. P

    JamiiForums Tanzania Maafa Dodoma: Mvua yasababisha Mafuriko Mpwapwa, Watu zaidi ya wanne wapotea

    Poleni sana Daniel Mbega, Mungu awape Faraja katika kipindi hiki kigumu kwenu
  4. P

    JamiiForums Tanzania MIKUMI: Mkulima aliyechomwa mkuki na Wafugaji apata nafuu baada ya matibabu

    Ndugu hakuna watu hatari kama wafugaji, haswa jamii ya kimasai. Kulisha mifugo Yao mazao kitu cha kawaida.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nyanja pekee inayompatia Urusi nguvu ni kwenye ICBM

    Inter Continental Ballistic Missile
  6. P

    JamiiForums Tanzania Bei ya kubota na wapi zinapatikana kwa Mbeya au Dar

    Cheki na Manji , nafikiri quality group ndio msambazaji wa Kubota. Sina taarifa za bei
  7. P

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Huku nilipolima Sijaona watu wakichanganya mazao mengine baada ya kuvuna. Maeneo ni chepechepe , mazao mengine yatashindwa kuota vizuri.
  8. P

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Ukilima vizuri eneo la ekari tano na kufuata mbinu zote unapata zaidi ya gunia hizo. Tafuta eneo lenye maji ya uhakika Kama kwenye irrigation schemes.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha umwagiliaji

    Wanajamvi Habari za mihangaiko ya kupambana na maisha. Naomba msaada wa taarifa ninapoweza kupata drippers kwa ajili ya Kilimo cha bustani eneo la ekari mbili
  10. P

    JamiiForums Tanzania BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

    Jamani hakuna mwenye hiyo clip atuonyeshe na wengine. Kwa mwenendo huu hadi Juni lazima zipigwe mjengoni. Wapi Spika na kauli za jana?
  11. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Bi Kidude afariki dunia!

    Hata Ahmada atapokea habari hii kwa majonzi. RIP Bi Kidude
  12. P

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia: Nazungumza na Mwenye Mbwa sio Mbwa!

    Huyu jamaa anayaleta ya mtaani mjengoni. Sugu kamzidi spidi mahala.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya mapato ya kilimo cha michungwa 1000 baada ya miaka 3

    Hiyo irrigation ya 700 thou ikoje kiongozi, umefunga kwenye kila mche?
  14. P

    JamiiForums Tanzania NAPE ajibu hoja ya Kudhoofishwa kwa Dr. Slaa...

    Teh teh. Tatizo notes za mwalimu yule yule...
Back
Top Bottom