All the best: Nawatakia mitihani mema CPA

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,360
Natanguliza kila la kheri kwa ambao kesho tunaanza mitihani ya bodi ya wahasibu na wakaguzi katika stage mbalimbali, Mitihani hiyo itaanza kesho na kuisha ijumaa, Kwangu hapa hapatakuwa shwari kabisa hii wiki maana nitajikaza nipige msuli yatima wa kurevise maswali mengi iwezekanavyo ambayo nilikwisha ya review ,,

ALL THE BEST CPA CANDIDATES, HAKUNAGA MKATE MGUMU MBELE YA CHAI YAMOTO
 
Ongezea elimu hata siku ukisepa mavumbini historia yako iwe ndefu kidogo
Hahahaaa,, una masihara sana mkuu, but all the best wafany mitihani, lakin pia bila kuwasahau wadogo zangu form6 mtihani mwema pia…!!
 
kila la kheri bhana, kama wameacha michezo yao yakuamua wangapi wafaulu tutarudi tena ..
yeeah visingizio haviishi kwetu
 
Back
Top Bottom