Bei ya kubota na wapi zinapatikana kwa Mbeya au Dar

Alkarima

JF-Expert Member
Mar 27, 2016
223
173
Wakuu habari za usiku!!
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, naomba kujua wapi na weza kupata Kubota kwa Mbeya pia bei gani. Pia vipi kwa Dar zina patikana maeneo gani na kwa shingapi?
Natanguliza shukurani zangu
 
Huku uchagani tumezoea ukisema "kubota" utakuwa unamaanisha sifa ya wanawake wa Rombo...
 
Wakuu habari za usiku!!
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, naomba kujua wapi na weza kupata Kubota kwa Mbeya pia bei gani. Pia vipi kwa Dar zina patikana maeneo gani na kwa shingapi?
Natanguliza shukurani zangu
Cheki na Manji , nafikiri quality group ndio msambazaji wa Kubota. Sina taarifa za bei
 
Back
Top Bottom