Recent content by PAPANDO

  1. PAPANDO

    JamiiForums Tanzania Soma hii unishauri

    Jamaa yangu hapo hakuna cha deal wala mama yake na deal, kimbia mbio za Usain Bolt, tapeli hilo
  2. PAPANDO

    JamiiForums Tanzania What quote changed your approach to life or opened your mind?

    "Avoid the sweet which is likely to become a bitter"
  3. PAPANDO

    JamiiForums Tanzania Profile picha ya DC Kingu fb

    Na kafanya hivyo ili iweje??
  4. PAPANDO

    JamiiForums Tanzania Soma hii huenda ukajifunza kitu

    Hii imekaa sawa, thanx
  5. PAPANDO

    JamiiForums Tanzania Kuna ukomo maalumu wa 'Ndude' ya mwanaume kuacha 'kusoma mnara'?

    Haka kauzi ni kazur maana katatuhakikishia matumizi ya hiki kiungo, embu wataalamu njoeni mtupe data
  6. PAPANDO

    JamiiForums Tanzania Angalia mwenyewe CCM 'B' wakipanga mikakati mikali Chadema

    Bado mkuu
  7. PAPANDO

    JamiiForums Tanzania Life

    Noted Red Scorpion
  8. PAPANDO

    JamiiForums Tanzania Picha Ya Kufungulia Mwaka Mpya Munaionaje?

    Bila shaka hii picha ni ya kutengeneza (Photo shop) au kitambo sana
  9. PAPANDO

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi Mwenye Taaluma Ya Computer

    Aisee kuhusu hiyo taaluma yako kwenda kuitumia huko jeshini wala usitie shaka, huo ujuzi unahitajika sana na kutikana na mendeleo ya sayansi na teknolojia, vitu vingi vipo computerized hivyo nafac ya kuonesha ujuz wako utakuwa nayo, kila la kheri
  10. PAPANDO

    JamiiForums Tanzania Polisi Ahukumiwa Kifungo cha Maisha Jela Kwa Kubaka na Kumlawiti Mtoto

    Mlinzi kala mali, duh!
  11. PAPANDO

    JamiiForums Tanzania Kati ya kitunguu na maziwa ya mtindi kipi hunukisha zaidi mdomo wa mtumiaji wake?

    Kitunguu ni kiboko jamaa yangu
  12. PAPANDO

    JamiiForums Tanzania Mlinzi mwaminifu

    Duh! Hilo jembe aisee, hakuna kujali moto wa kaharufu kazuri
  13. PAPANDO

    JamiiForums Tanzania Majina ya vijiji ambayo ukiyasikia unacheka

    Nanguruwe, nakapanya, nanyumbu mkoani Mtwara
Back
Top Bottom