Habari wadau naomba niende kwenye mada moja kwa moja
Leo nimepigiwa simu na mtu mmoja mida ya saa 6 mchana akajitambulisha kwa majina na wasifu wake na akaniambia ni wa iringa alikuwa anafanya kazi tanesco, ni kweli nimeishi iringa ila hili jina silikumbuki japo kaforce nilikumbuke. Baada ya utambulisho akasema kwa sasa yupo kwenye shughuli za kuendeleza kilimo cha mpunga huko pawaga iringa anasimamia miradi hiyo, nikampongeza alichonichosha mpaka niombe ushauri kwenu ni hili hapa
kasema kulikuwa na maofisa wa kilimo walikuwa wana semina hapa landmark hotel hapa ubungo mi napajua kwasababu ninaishi maeneo hayo sasa wamemaliza semina kuna mmoja akawa interested na kuwa supply wa vipuri vya trekta i mean hydrolic zake akasema kuwa kuna ofisa mmoja anafahamiana nae ila ni wahuko na kaambiwa atafute mtu mwenye addres nzuri kwa hapa dar, i mean mtu atakaye kuwa kama mdhamini wake na wakufanya nae deal na akasema nipate tyme ya masaa 2 au 3 ili nikaongee nao leo nikamkwepa kuwa nina shughuli mchana huu, akasema basi cheki tyme yako ili nikuunganishe nae ukaongee ili mkielewana tupige pesa nikamwambia poa basi nitakujulisha.
Sasa kwa haraka nimegundua huyu atakuwa ni tapeli kabisa kwa maelezo yake so imebidi nitulie tuu kimya na kuleta jukwaani hapa huwa sina tyme ya kushare na mtu any deal linalohusu pesa never en i cant do it so naombeni nitambue nadahani inawezekana ikawa kuna mtu ameshawahi kupigiwa simu ya namna hii