Profile picha ya DC Kingu fb

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,369
8,072
ImageUploadedByJamiiForums1452947467.198332.jpg

Hiyo ni profile picha ya dc Kingu mtandao wa facebook
 
Kwanza Sio DC ni Mbunge, pili mimi naona wanaoneshana kitu sasa sjajua cha ajabu apo hadi kuanzishia thread ni kipi
 
Kama ni kweli ni kosa sheria za jeshi haziruhusu kuvaa uniform na kuweka mtandaoni hata ktk whatsapp tu ni kosa!
 
Back
Top Bottom