What quote changed your approach to life or opened your mind?

seriously unasema hutakiwi kuwaza kuhusu kesho au unataka kuendeleza tu mjadala for fun? umekua ndege au ng'ombe wewe usiwaze kuhusu kesho? au tumetofautiana kuhusu maana ya " kuwaza kesho"? huwa hupangi hata bajeti? huwa huna plan yotote kabisa kwenye maisha yako?
Naomba unielewe nimesema tumia siku yako vizuri (wakati uliopo) uyo bata sijui mbuzi wewe ndo umesema izo budget sijui plan ni masomo tu yasiyo na uhalisia, ivi kwa mfano ukitaka kuvumbua, kuunda kitu unapanga budget, plan kwa ajili ya kesho? Sio muda huo ambao umepata wazo?

THERE'S NO ANY OTHER CREATOR THAN THE MIND.
 
kutumia siku yako vizuri ndio kutopanga vya kesho? na kufanya plan ni mambo yasiyo na uhalisia? duhhhhhhhhh
 
Utawekaje mipango ya kesho wakati ya leo imekushinda?

Jibu swali langu kwanza ukitaka kuvumbua, kuunda kitu unatumia wakati upi? Uliopo, uliopita au ujao?
 
leo imemshinda nani?
ukitaka kuvumbua kitu ubaangalia wakati uliopo na wakati ujao pia, hicho utakachovumbua kama kitaendana na mazingira ya sasa yaliyopo na kama kitaendelea kusaidia siku za usoni
maana mtu hawezi kutumia muda mwingi na resources nyingine kutengeneza kitu kitakachotumika kwa muda mfupi
 
"Kitu ambacho hakieleweki zaidi kuhusiana na dunia ni kwamba,dunia inaeleweka"
 
leo imemshinda nani?
ukitaka kuvumbua kitu ubaangalia wakati uliopo na wakati ujao pia, hicho utakachovumbua kama kitaendana na mazingira ya sasa yaliyopo na kama kitaendelea kusaidia siku za usoni
maana mtu hawezi kutumia muda mwingi na resources nyingine kutengeneza kitu kitakachotumika kwa muda mfupi
Leo imemshinda nani?
Namaanisha kwamba huwezi kuwaza kesho kwasababu hauishi kesho binadamu anaishi wakati uliopo hata hivyo umekiri kwamba ukitaka kufanya kitu unatumika wakati uliopo na ujao lakini wakati uliopo ndio unaoanza na kama hicho kitu ni constructive maana yake kitaendelea kutumika as physical thing lakini wazo lilianza katika wakati uliopo kwa umakini mkubwa sana bila kupoteza muda nazani tumeelewana.
 
All weapons stand on me...shall not be prosper!
 
Leo imemshinda nani?
Namaanisha kwamba huwezi kuwaza kesho kwasababu hauishi kesho binadamu anaishi wakati uliopo hata hivyo umekiri kwamba ukitaka kufanya kitu unatumika wakati uliopo na ujao lakini wakati uliopo ndio unaoanza na kama hicho kitu ni constructive maana yake kitaendelea kutumika as physical thing lakini wazo lilianza katika wakati uliopo kwa umakini mkubwa sana bila kupoteza muda nazani tumeelewana.
hatujaelewana bado nadhani, mkuu hivi wewe unajitegemea au unamtegemea mtu fulani au ni vp? maana mtu anayejitegemea lazima awaze kesho kwa namna moja au nyingine, anawaza kuhusu mapato yake atayatumiaje kwenye vitu kama kodi, umeme, chakula, mzigo wake wa biashara labda, muda wake kwenye assignment zake za kazi ofisini au shuleni,n.k
yaani kwa kifupi mtu ambaye hawazi mbele huyo atakua ni mtu hohehahe ambaye hana mbele wala nyuma
 
Huwezi kunielewa milele na mimi nakaa kwa baba na mama nasubiri urithi sasa wewe endelea kuwaza kesho labda nitajaribu kukuwekea mifano usipoelewa kaaga ivyo ivyo!
 
The best kind of friend is the kind
you can sit on a
porch swing with , never say a word ,
and then walk away
feeling like it was the best conversation
you' ve ever had .
 
Back
Top Bottom