Polisi Ahukumiwa Kifungo cha Maisha Jela Kwa Kubaka na Kumlawiti Mtoto

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imemhukumu askari polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, G 9762 PC Daniel (24) kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na makosa ya kubaka na kumlawiti mtoto wa miaka 13.

Mbali na kifungo hicho, mtuhumiwa huyo ameamriwa kulipa fidia ya Sh milioni 2 ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hizo.

Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi, Said Mkasiwa baada ya kukamilika ushahidi uliowasilishwa mahakamani hapo na upande wa mashtaka uliokuwa na mashahidi wanne.

“Mahakama inatoa hukumu kwa mtuhumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 kwa kosa la kubaka na kutumikia kifungo cha maisha jela kwa kosa la kulawiti mtoto na baadaye atalipa fidia ya Sh 2,000,000 ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hizo,” alisema Mkasiwa.

Katika utetezi wake, mtuhumiwa kupitia kwa wakili wake ambaye alitajwa kwa jina moja la Manzi, alidai kosa hilo ni la kwanza na ni kijana mdogo ambaye ni nguvu kazi ya taifa, pia alifanya kosa hilo akiwa amelewa, hivyo hakujua alichokuwa akikifanya.

Awali Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Elik Shija, alidai hakukuwa na kumbukumbu za makosa ya nyuma dhidi ya mshtakiwa, hivyo aliiomba mahakama hiyo kutoa adhabu kali kwa mtuhumiwa ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hiyo.
 
Nakubaliana na hakimu kwa hii adhabu ndogo ya kifungo cha maisha. Adhabu kubwa ilitakiwa anyongwe hadi kufa.
 
ANATAKIWA ANYONGWE KABISA, SASA ET MILIONI MBILI NAYO IWE FUNDISHO, KWELI? nilidhan ni milioni ishirini
 
Ha ha ha! Do, Mkuu Kidudu nikiangalia na ulivyosema kwenye ile post ya kuporwa baada ya kuchukua fedha benki naona wewe ungekuwa Magufuri ungekuwa unatumbua majipu kwa sime bila ganzi!
 
Ingekuwa inawezekana Huyo Afande Mbakaji unatengeneza mazingira wezeshi akifika huko Segerea anawekwa Selo ya Watemi usiku wanammtoa Bikra ya Tigo yake. Kumnina zake.
 
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imemhukumu askari polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, G 9762 PC Daniel (24) kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na makosa ya kubaka na kumlawiti mtoto wa miaka 13.

Mbali na kifungo hicho, mtuhumiwa huyo ameamriwa kulipa fidia ya Sh milioni 2 ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hizo.

Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi, Said Mkasiwa baada ya kukamilika ushahidi uliowasilishwa mahakamani hapo na upande wa mashtaka uliokuwa na mashahidi wanne.

“Mahakama inatoa hukumu kwa mtuhumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 kwa kosa la kubaka na kutumikia kifungo cha maisha jela kwa kosa la kulawiti mtoto na baadaye atalipa fidia ya Sh 2,000,000 ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hizo,” alisema Mkasiwa.

Katika utetezi wake, mtuhumiwa kupitia kwa wakili wake ambaye alitajwa kwa jina moja la Manzi, alidai kosa hilo ni la kwanza na ni kijana mdogo ambaye ni nguvu kazi ya taifa, pia alifanya kosa hilo akiwa amelewa, hivyo hakujua alichokuwa akikifanya.

Awali Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Elik Shija, alidai hakukuwa na kumbukumbu za makosa ya nyuma dhidi ya mshtakiwa, hivyo aliiomba mahakama hiyo kutoa adhabu kali kwa mtuhumiwa ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hiyo.
Ana bahati kosa kubwa namna hiyo bado ni mzima wa afya na yupo hai?
 
Kubakwa na kulawiti watoto ni tatizo kubwa sana hapa dar hasa Tanzania kwa ujumla... Jamii inabidi ibadilike aisee...... tuwalide watoto wetu juu ya manyanyaso ya kijinsia.....
Mimi mwaka huu nilifanya field katika hospitali moja ya rufaa hapa Dar
Kesi zilizohusu kubaka na kulawiti watoto zilikuwa nyingi na kila siku "at least" kesi moja nilikutana nayo kwa siku......
Hali ni mbaya sana majumbani mwetu
Sio ndungu sio jirani sio mtu yeyote wa kumwani.... Kila mtu awe mlinzi wa mtoto wa mwenzie
 
Back
Top Bottom