Samahani Wadau Naomba Kuuliza Kama kuna mtu anamfahamu wanajeshi wenye taaluma zao kwa mfano wataalam Wa computer (IT) Hua wanafanya vipi kazi zao ..
Ni kama uraia tu .. Au Hua wana kua busy na kuenjoy wanachofanya au kazi zao ni ndogo sana..
Nauliza hivi ili nifahamu kama wanapata muda wa kufanya mambo yao mengine au wanakua full commited na kazi moja ....
Nataka kwenda huko ila nisingependa niwe mtaalamu wa jeshi alafu nakuta hamna kazi nyingi za kufanya huko jeshini za kuhusu taaluma yangu hii ya computer ..
Naombeni msaada kwa anaefahamu Please