hao swala la usafiri bado kitendawili kwao kuna usafiri wa chuo tu mda wa vipindi,kwa starehe au shughuri zako binafsi usafiri akuna ni mwendo wa kuchanganya kwako
:flypig:
poleni sana najua nashangaa sana wabunge walidai waongezwe posho kwa kudai kuwa dodoma maisha yamepanda sasa hayo maisha yamepanda kwa wabunge tuu,mbona wanachuo awapatiwi pesa kwa wakati je wataishije
ushauri wangu wewe kuwa mpole kwani ukilianzisha tu utapoteza masomo si umeona yaliyo wakuta udsm,je wale wenzenu walio timuliwa wameludishwa hadi leo? hii nchi ni watu wachache na familia zao
haya hadi watakatifu nao wanagoma ukiona hivyo mwisho umefika unajua tumezoea kusikia vyuo vya umma kama udom,udsm na leo st john hii inaonesha ni jinsi gani hii nchi inakwenda pabaya,ki ukweli awa vijana wanaishi katika mazingira magumu ya kifedha
inaonekana ninyi nyote amjapendana,kwani naona unataka kuamia kwa huyo dada mwingine kwa sababu kuwa mpenzi wako wa mwanzo aeleweki,lakini hicho sio kigezo inabidi mkutane na inabidi wawe wazazi wa pande zote mbili muyaongee kama itashindika ndyo ufikilie kwa mwanamke mwingine
yaani kama kunauwezekana na likazibitishwa hili inabidi azabu kali itolewe kwa muhusika na wasimamizi na uongozi wa shule inabidi nao waadibishwe inaonekana ni kamchezo cha shule hilyo,au kama vipi shule ifutiwe usajiri hapo tunaandaa mafisadi wa taifa la kesho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.