Nyepesiiiii!!!!

Lazima wanaume wenye sperm zuri waonekane wazuri kwa wanawake, kama vile wanawake wazuri wanakua na uwezo zaidi wa kuzaa watoto wenye afya. Hii ni nature inatafuta perpetuation ya specie. labda hao wabaya ndio wazuri ila nature imetuunda na program yakuwaona wenye sperm nzuri kua wazuri kwa macho yetu.
 
Mweeeeeeee!!!! Kwa hiyo ina maana na hii sura nlokuwa nayo miye sperms zangu kwishneeeeeee? Maana nashabihiana na masudi sura mbaya kwa ukaribu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom