Jaman sikien na mtoe mawazo yenu, UDOM College of EDUCATION mwaka huu wamepunguza idadi ya udaili wa wanafunz wa degree kwa mwaka wa kwanza badala yake wameanzisha DIPLOMA Lengo nikomesha migomo, je hii njia sahihi ya kukomesha migomo UDOM Kwa kubana nafas kwa wanafunzi wanaojiunga na degree?.