Iko hivi- Industries ambazo ukiacha au kuachishwa kazi unaruhusiwa kufungua madai yako papo hapo na ndani ya siku 21 unavuta vyako ni (MINING) Ila kwingineko inabidi utulia kwanza mpaka ipite miezi sita ndo ufungue madai yako.Unatakiwa uwe na vielelezo vifuatavyo- kadi ya uanachama, Barua ya...
MUNGU hausiki na kifo cha aina yeyote ile,yeye alituumba tuishi milele ila Shetani ndo alidanganya mwanamke kuwa hatokufa hakika naye mwanamke akakiuka sharti alilopewa na mwanamume nae mwanamume akakiuka sharti alilopewa na MUNGU na hapo ndo kifo kikaanza kufanya kazi so anaemiliki kifo ni...
Pole sana kaka,Barrick ni mabingwa wa media kujiosha kuwa wako sawa,kwanza kabsaa mishahara njiwa na kazi za mining kaka ni ngumu usiombe afu pressure za kufa mtu,so huenda wanapata watu wasio na sifa kwani wao ni kama Magamba walivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.