Namkubali naibu spika mh Ndugai

Namkubali naibu spika mh Ndugai

Jamani wanajf wenzangu poleni na mikikimiki ya leo toka bungeni.Nionavyo mimi sina imani kabisa na simuamini kabisa mama yetu spika wa bunge,na ninamuamini sana na ninampenda sana naibu spika anavyoliongoza bunge.Na matunda yake yameonekana kwa hizi siku mbili ambazo huyu mama yetu hakuwepo bungeni.HOngera sana JOB NDUGAI fuata nyayo za Sitta.

Angeongoza mama, leo sijui tungekuwa wapi?
 
naibu spika jembe lile yaan amekomaa kisiasa anazikabili hoja haziogopi.big up
 
for me Ndugai is the best than Bi. Kiroboto, mambo yote ya maana ya nchi hii yanatokea kama jamaa yupo! Mfano la Jairo na the biggest one hii la leo, PM kutolewa! Bi. Kiroboro ni tatizo lingne la kuondolewa!
 
Bibi Kiroboto hana confidence na hiyo inatokana na uwezo wake mdogo wa kuzielewa kanuni za bunge hivyo kuficha udhaifu wake anatumia ubabe!!
 
Ni kweli kabisa Ndugai amebadilika sana, lakini nadhani wanaostahili pongezi ni wananchi kwani hii inatokana namwamko ambao wanachi huku chini wameanza kuuonyesha, kiasi kwamba mtu akikaa pale kwenye kiti na yuko live lazima aanze kukumbuka na huku site. Binafsi huwa namkubali sana Mh. Simbachawene, is a good guy, anapokuwa pale kama M/kiti wa bunge
 
Mimi baada ya kufanya kazi na Ndugai, nawaambieni hakuna mtu hopeless kama Job Ndugai!
 
Mimi baada ya kufanya kazi na Ndugai, nawaambieni hakuna mtu hopeless kama Job Ndugai!

Hebu andika kama mtu wa JF na siyo Kariakoo shimoni.

Kazi gani muliyofanya wote?

Hapa tunamuita Naibu Spika ndiyo kazi tunayo-assess. Au alishindwa kutunga mistari ya Bongo fleva pamoja nawe? Huoni kwamba ulimpa kazi isiyo yake na sasa huenda ndo yuko kwenye kazi anayoiweza?

Tafadhari sema hiyo kazi.
 
Ndugai bomba sana pamoja na manyonge aliyonayo, kila anapoongoza vikao niburudan, zaidi mwenyewe anaeleza hisia zake, tofauti na bi Kiroboto ata serikali ikienda haja kubwa hadharani atafagilia.
 
Jamani wanajf wenzangu poleni na mikikimiki ya leo toka bungeni.Nionavyo mimi sina imani kabisa na simuamini kabisa mama yetu spika wa bunge,na ninamuamini sana na ninampenda sana naibu spika anavyoliongoza bunge.Na matunda yake yameonekana kwa hizi siku mbili ambazo huyu mama yetu hakuwepo bungeni.HOngera sana JOB NDUGAI fuata nyayo za Sitta.

hakuna hata spika mmoja anaefaa sema kabanwa hana la kufanya kwani sasa hakuna pesa ile party corcas kwasasa haina nguvu kubwa kwani baadhi ya wabunge wa ccm wameshasoma alama za nyakati wamegunduwa jahazi lao linazama wewe tizama sura ya ndugai wakati wamichango ya wabunge hana raha usoni

ile jeuri waliokuwa nayo hao maspika haipo tena mbunge akiomba muongozo ansikilizwa si huko nyuma mnyika alikuwa akiomba muongozo wao wanakataa azi wazi
unakumbuka siku zile alimwambia halima mdee kwa jeuri kubwa kaa chini ninamamlaka ya kkukufanya chochote
 
Wabunge wa CCM akiwemo ngugai wamegungua kuwa wananchi wamewaweka kwenye Micriscope,wakijichanganya tu,2015 hawana chao,Nadhani wanajua kilichotokea Arumeru
Ngoja niwakumbushe kigodo
KATIKA KATA 19 NA VITONGOJI VYOTE VILIKUWA CHINI YA CCM,MWANA CDM NASS JOSHUA AKASHINDA UBUNGE.hii inamaanisha ni wana CCM ndio walimchagua
Sasa endeleeni kuleta ujianga nyie wabunge wa ccm hapo bungeni.
 
LETS CUT IT SHORT AND CLEAR NDUGAI AYUBU HAS NEVER AND WILL NEVER BE THE ONE YOU ARE TRYING TO DEPICT AS MR CLEAN AND SMART...HE'S AS SIMPLE MIN-DEAD AS THE REST IN HIS FALLIN POLITICAL PARTY....am clear and out
 
hakuna kama mh Samwel Sitta alijitahidi sana kuwa fair kwa pande zote na ndiyo maana magamba wakamwona ni threat kwako wakatengeneza sera ya jinsia washe***i kweli magamba
 
Alitakiwa ndie awe spika bi kiroboto ni kibaraka ashangaa wakuu wa idara wanavyopatikana wanajua wakubwa


Bi kiroboto kusimamia mapishi tu hajui ataweza kuendesha bunge??? Dogo alionyesha ujasiri sana jana. Hivi Lukuvi akili yake ikoje huyu mzee? hajui watanzania tayari wanajua kusoma na kuandika na pia wamepanua uelewa wao wa utandawazi?? nilimshangaa eti Serikali imejipanga kuwa inachapicha ripoti. Hawa ni Gasia kama jina lake tu manake aliongea ***** ule ule wa siku zote..

tumejipanga tumejipanga....wanajipanga foleni ya kuiba tu hawa.
 
Inawezekana wote ni vilaza kwa nyakati tofauti. Ila Bi Kiroboto naona amezidi ukilaza. She is talking beyond her capacity coz si yeye anayeendesha bunge bali watu walio nyuma yake...
Huyu ni kilaza zaid; as for now hatuna mwingine zaidi ya hao wawili, bora Ndugai kuliko Bi. K...
 
Back
Top Bottom