CHADEMA yapoteza mvuto majimboni..Tumewachoka

wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

Maendeleo yanaletwaje? Unafikiri yapo kwenye mfuko unayatoa mahala A kwenda mahala B? Maendeleo ni dhana inayohusu matokeo ya mabadiliko ya jamii kutoka hatua moja ya chini hadi hatua nyingine ya juu. Maendeleo yaweza kuwa ya kijamii, kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa n.k.
Kiongozi wa kisiasa hawezi kuleta maendeleo bali kuwahamasisha wananchi kufanya kazi bidii, kuongeza uzalishaji mali ambao utaongeza ajira n.k. matokeo yake ni maendeleo.
Maendeleo ya kiuchumi yatatokana na wanajamii wenyewe. Hayamilikiwi na kiongozi yeyote na ni matokeo ya kazi iliyofanywa na mtu mmoja mmoja, kaya na jamii kwa ujumla.
Mbunge akiwaletea wapiga kura wake msaada wa chakula atakuwa ameleta maendeleo?
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

Sasa hao wanaohamia CDM inakuwaje,kama kimechokwa inakuwaje sasa watu kuhamia huko?
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

au muda wako wa period umefka? Katoe janaba na ukanunue ped ya alwayz ubandike kweny hcho kidonda!Maana muda wake wa kuugua umefka.Wewe unaota mchana kweupee huna hata haya.
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

Taja hayo majimbo unayosema. Usilete mambo yenu ya ccmafisi za kuvizia mkono wa mtanganyika kuwa utadondoka uku ukitafuna madini yetu
 
Majimbo yepi hayo??
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

Jamani JUDI mbona wasema hivyo? Umefanya utafiti wowote hadi umeanzisha uzi huu? Hata Mtanzania wa kawaida kabisa leo hii anaona (bila hata ya kufanya uchunguzi wa kina) kuwa upeo wa CDM unavuma mithiri ya vimbunga. Uthibitisho mdogo ni namna ya wananchama wa Chama tawala wanavyohamia CDM. Kuhamasisha maandamano mikoani kupitia maandamano ni strategy ya chama hicho. Nadhani kiujumla kinawavutia wengi zaidi ya unavyofikiria na Chama Tawala wawe na strategy mbadala (fair strategies) kama wanataka kuwazidi kete hawa wana M4C
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

Mapoyoyo kama wewe mko wengi mnaofikiri kwa kutumia makalio,na huenda kimepoteza mwelekeo kwenye kibanda chako na familia yako.
 
Acha unafiki wewe, wewe unatokea jimbo la CCM afu unadai CDM inapoteza mvuto, mvuto gani katika jimbo ambalo nyie wananchi hamjajitambua?? Sisi tuliowachagua wabunge wa CDM katika majimbo yako tunafurahia utendaji wao wa kazi na tunaahidi kuwapa tena miaka yote ijayo. Bila kuiba kura hamtachukua tena majimbo yanayokaliwa na CDM!!
 
Ulikwenda majimbo gani ukakuta kuwa cdm wamechokwa? Au unaleta habari ya jumla jumla tu bila hata utafiti wa jimbo 1? Nashawishika kuamini kuwa ukweli umetoka Corner Bar.
 
Nakuhurumia brother, hivi ulikuwa unaota au, maana ciamini kama haya yanatoka kwa mtanzania, labda umeshalogwa na hivo vijisenti vya mafisadi, wamekugea ili uzibe mdomo na kupost upupuu, huku tunataka hoja za msingi acha ujinga, kama wewe ni mgeni uliza kilicho jiri Meru, wananchi tuliomsindikiza Msh.Lissu Mahakamani kusikiliza hukumu ya kesi yake.
 
Kichaa sio lazima arushe mawe, hawa mbona wapo wengi humu, kuna mwingi jana kaniambia lisu angeshindwa eti angefurahi
 
Hata Jk anaipenda CHADEMA. huo utafiti wako ni batili.
Au umekosea badala ya kusema CCM yapoteza mvuto ukaandika CHADEMA. Fanya correction sasa

wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo chadema kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

magamba at work
................
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo chadema kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

fanya uolewe wewe .. Umri unaenda...achana na siasa
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

:frusty:Lazima utakua mtoto wa waziri anayekaribia kupugwa wizarani!kweli mfa maji haachi kutapatapa!avatar yako tu inatosha kutuambia jinsi ulivyo kilaza!nadhani utakua ulizungushwa nchi nyingi ukijaribu kuunga unga elimu yako!Waambie hao magamba hujatukuta humu!:frusty:
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

de.mu wa rizione, leo amekekuna sana umeamua kumsifia. GAMBA
 
Umeniudhi sana kuwastua mapema hawa,wenzako hilo tulilijua siku nyingi sana lakini kwa kuwa tunajua kula na vipofu tumekua tukiwachunia tu ili waendelee kupoteza muda kwenye kususa na kuandamana huku wakiendelea kupoteza umaarufu,sasa kwa thread kama hizi wataamka hawa watu,ungewaacha tu.

Kweli wazimu umesambaa ndani ya damu na mifupa yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom