Bungeni kumechachamaa, Msigwa awambia ukweli Usalama wa Taifa kuwa ni usalama wa CCM

hahahaahaaaaa.....Siwezi amini, kuna mbunge anamtetea Wassira kwa kulala Bungeni eti kadhalilishwa na picha, eti anamjua ni mfanyakazi hodari toka akiwa naibu waziri mwaka 1970 mpaka 1975

mmmh ina maana alikuwa waziri akiwa na umri wa miaka 25? nimeona mahali amezaliwa mwaka 1945.
 
Ndio si lazima sana kujua kazi zao,lakini cha msingi watu wajue kuwa hawa ndio moyo wa Taifa linapokuja swala la USALAMA WA TAIFA.yaani mambo yote yanayotishia ustawi wa maisha yangu mimi,wewe,jirani yako,mkweo,binamuyako,shangaziyako,mwanao,na kizazi cha mtoto wako,hawa ndio watu wa kwanza kujua.Na pengine kwa faida yako unaweza wewe na watanzania wengine tusijue kuwa kunawakati adui alikusudia kutudhuru lakini kwa uwepo wao na ujuzi wa kutambua wanakabilina nae juu kwa juu,kisha wanapima faida za kuweka wazi jambo hilo au kukaa kimya. Wakiona kukaa kimya ni heri kwa faida ya nchi basi wanachuna.Wanakuacha wewe tajiri unakula bata na mkeo Ndani wao wako nje wanateseka na baridi kukulinda,kwa sababu wewe ni mlipa kodi ya Taifa hili unastahiki kulindwa kupitia kodi yako unayolipa. Mfano nitatumia mfano wa masai mlinzi uliyemuacha pale mlangoni si lazima kila siku akwambie kuwa kuna watu wangapi walipita nje ya geti lako au mlango wako.

Ni kazi inayotegemea akili sana [Intellectul]
Je nawe u mmoja wapo wa watu hawa?????????? Usalama wa taifa nchi hatuna, kama ungewkuwepo ufisadi na mabilioni yanaibiwa usiku na mchana usingekuwa kwa kiwango hicho, wewe unafanisha na wakati wa Nyerere wakati nchi inaongozwa na wazalendo
 
Kwanza hili la siri za ikulu kuvuja jamani sio kwamba UWT wamepoteza maadili,halafu kuwa na viongozi wabovu kiasi hiki,kweli UWT wanashiriki kuwachuja kweli watu wenye uzalendo,halafu mbona UWT wameshikwa uoga sana kuwavua viatu watu wanapomkaribia Raisi imekuwaje UWT wameshajua wananchi hawaamini tena
 
Kwanza hili la siri za ikulu kuvuja jamani sio kwamba UWT wamepoteza maadili,halafu kuwa na viongozi wabovu kiasi hiki,kweli UWT wanashiriki kuwachuja kweli watu wenye uzalendo,halafu mbona UWT wameshikwa uoga sana kuwavua viatu watu wanapomkaribia Raisi imekuwaje UWT wameshajua wananchi hawaamini tena

Wanapigwa mpunga!! pesa ina nguvu especially kwenye nchi zetu hizi za kiafrica ambapo watu wamekua wakilia lia kila wakati bila kujua solutions za matatizo yao ni wao wenyewe kuacha uvivu wa kufanya kazi.
 
Je nawe u mmoja wapo wa watu hawa?????????? Usalama wa taifa nchi hatuna, kama ungewkuwepo ufisadi na mabilioni yanaibiwa usiku na mchana usingekuwa kwa kiwango hicho, wewe unafanisha na wakati wa Nyerere wakati nchi inaongozwa na wazalendo

Mkono ukishika kinyesi si unaoshwa,sikatai kuna kuna mambo mengi yamepita,na watanzania wanataka majibu yake,ndio na kweli hata mimi kama wewe nataka majibu.Logic ambayo mimi na wewe tunapaswa kuitumia katika kujiuliza hawa jamaa walikuwepo ndio,uwepo wao sasa iweje?,yaliyotokea nini kifanyike?yaani watu waone majibu ya tokeo?au tukio lizuiwe lisitoke?

Naaam Mlinzi wa nyumbani kwako taarifa za ulinzi zinasohusu nyumbani kwako zinakabidhiwa kwa nani? ili atoe maelekezo ya nini kifanyike?Ni maswali mengi sana ya kujiuliza mimi na wewe hatuna majibu kwa kuwa hatujui wao wana nini au wanafahamu nini katika hilo,inabaki kuwa ni taarifa zao ndani ya idala yao hiyo.

Mimi binafsi ambacho ningependa kusema kwa kuwatetea hawa jamaa kama mtu wa kawaida mwenye uelewa kama mwana JF [Great Thinkers] ni kujua kuwa hawa jamaa nao ni binadamu sio maraika na wanafanya kazi kwa kanuni na sheria.Nikilijea kwenye utetezi wangu nilipata kuchangia kwenye thread moja kuwa imefika sehemu idala hii,sasa isimame kama taasisi [Institution][Bofya].kuwa kwake kama Taasisi hayo madudu yote ya Richmond,EPA na mavimbwanga yose ya ufisadi saizi idala hii [By then ingekuwa taasisi ] ingekuwa ndio mtu wa kwanza kuninginizwa kitanzi na Watanzania kuwajibu Watanzania kupitia BUNGE LETU TUKUFU.Yaani kwa tafsili nyingine mkurugenzi wake anaitwa BUNGENI kujibu live maswali ya Wabunge wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.Mbali ya hapo wajumbe wa kamati ya USALAMA WA TAIFA nao wanakula kitimoto kwanini nao wamekubali kuacha taasisi inayaona madude haya yanawapita wakati ni jukumu lao kujua na kuzuia.Ndio hapo kila mtu anatafuta pakutokea yaani hapatoshi.

Lakini sheria baba!!!!!!!!!!!!!!!!.ndio maana watoke kuwa idala iwe taasisi yenye mamlaka kamilifu.
 
Kwa hiyo JK anaongozana mara nyingi na huyu Maji Marefu uko ughaibuni!!! sasa hapo utaona jinsi gani hizo safari hazina faida kwa nchi yetu, huyu si mganga wa kienyeji anaejiita Profesa!!

Jk amezindua ujenzi wa Daraja Kigoma ambapo gharama za ujenzi bilion 140 ni mkopo kutoka Korea. Hayo ndo mambo ambayo Maji marefu anayasifia kua ni mafanikio. Sasa angalia huo mkopo unavyotumika. Hao wakorea wanajenga wenyewe hilo daraja, wanaishi Kigoma mjini na kila siku wanaenda na kurudi site ambapo ni urefu wa km 200. Sasa gharama za magari waliyoyanunua, hotel wanazoishi Kigoma mjini, na gharama za kusafiri kila siku hadi site pamoja na mishahara mizuri wanayojilipa hao wakorea ikijumuishwa ndo tunapata hiyo bilion 140 ambayo wametupa kama mkopo na tutailipa kwa Riba. Tunaulipa huo mkopo kwa Riba na wakati huo karibu nusu ya hela hiyo ilirudi kwao, pia walifanikiwa kutoa Ajira kwa watu wao. Sidhani kama huyo mbunge anaelewa hii hali. Tanzania tuna raslimali za kutosha, Madini yamejaa, mito na maziwa, misitu na vivutio kibao vya watalii lakini tunajiendekeza kua ombaomba. Shame on you CCM
 
Kwahiyo maji marefu ni miongoni mwa wanaoamini katika kuomba omba? Sasa kama sera ya CCM ni kuomba omba kwani Makamba alimfukuza Matomya Dar maana Matonya kumbe alikuwa anatekeleza ilani ya CCM!
 
Hali mbaya sana kwa kweli, maana ukiwaona baadhi mitaani wakiringa na bia na wanawake inasikitisha sana, nchni ipo uchi kabisa.

Wanatunyanyasa sana kwenye stori ndefu kumbe ni pesa zetu wenyewe walipa kodi dah inauma sana
 
Bado Kuna watu ktk usalama wa taifa walio safi ingawa hawachoki umia roho kwa wanaoyaona.Na wao wanaumia zaidi kwani wao ndio wanaoona madhara ya maamuzi mbalimbali....kwa wanaofahamu madhara ya petrol na moto, wakiona mtu anataka ingia na moto ktk tank lilinyonywa petrol anapata hofu kwa vile anajua kinachoweza tokea.So nao wapo wanaoyaona hayo.Ama kwa kuwa wna uzoefu sana hata kosa kidogo wanaliona ,ama uchafu na uzembe mwingi kiasi hata mtu wa kawaida anaouona.Na kuna ambao waliingia kwa deal ,hawa hawawezi ona tatizo.Ila sasa wanahitaji rudisha respect kwani bado wanaweza shape Ikulu na taasisi zingine.
 
Siku zote huwa nawaita uhasama wa taifa. Hawa ni mafisadi wa kawaida wanaotumia nafasi zao kuwatisha watu na kuwatoa upepo. Hawana tofauti na ile Taasisi ya Kupamba na Kuruhusu Rushwa ya Hosea Edward. Bahati mbaya wanalipwa kodi zetu kwa ajili ya kufua nepi za CCM.
 
Kwa hiyo JK anaongozana mara nyingi na huyu Maji Marefu uko ughaibuni!!! sasa hapo utaona jinsi gani hizo safari hazina faida kwa nchi yetu, huyu si mganga wa kienyeji anaejiita Profesa!!
ni mbadala wa ustaadh Yahya plus si lazima sana watembee wote physically nadhani sometimes ufundi unahusika siye twamuona kimwili huku kumbe kiroho yupo na mkuu wa kaya huko safarini
 
Ndio si lazima sana kujua kazi zao,lakini cha msingi watu wajue kuwa hawa ndio moyo wa Taifa linapokuja swala la USALAMA WA TAIFA.yaani mambo yote yanayotishia ustawi wa maisha yangu mimi,wewe,jirani yako,mkweo,binamuyako,shangaziyako,mwanao,na kizazi cha mtoto wako,hawa ndio watu wa kwanza kujua.Na pengine kwa faida yako unaweza wewe na watanzania wengine tusijue kuwa kunawakati adui alikusudia kutudhuru lakini kwa uwepo wao na ujuzi wa kutambua wanakabilina nae juu kwa juu,kisha wanapima faida za kuweka wazi jambo hilo au kukaa

Acha kudanganya waTZ, kuna umuhimu wa hii idara kufutwa, ili ibaki idara ya usalama jeshini, hiyo ndio inayofanya kazi ya kugundua maadui wanaotaka kutuvamia. TISS ni jumuiya za CCM, kama UWT, UVCCM, GREEN GUARDS, tena ni kitengo cha Green guards ,
 
Back
Top Bottom