Ajira za Barrick Gold zipo au ni ujanjaujanja TU? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira za Barrick Gold zipo au ni ujanjaujanja TU?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by luck, Apr 25, 2012.

 1. luck

  luck JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 772
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 80
  Kwa wastani kila wiki huwezi kukosa matangazo kibao magazetini ya hawa jamaa wakitangaza Kazi. Hivi ni kweli kuna watu wanaitwa huko au ni changa la macho?
   
 2. i

  interlacs Senior Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  Kusema kweli hata mimi hua na jiuliza kila wiki lazima watangaze, au mishaara yao midogo nini, mwenye taarifa kamili atujuze
   
 3. M

  Mbofu JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huwa wanaitwa! Ma husband anafanya nao kazi,so huwa ananhakikshia hl! Bt huwa waangalia km kna m2 wa ndan(mfanyakaz) ameomba na anasifa anafkriwa kwanza ndo nawanje mnafata.
   
 4. d

  dav22 JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  da mwenyewe naomba kila wakitangaza na cjawahi kuitwa hata cku moja sasa hadi nashindwa kuelewa kama ni changa la macho au vipi
   
 5. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kazi zipo...na kwenye migodo kuna creation ya kazi kila kukicha na wanafukuza kila kukicha..kwa ajiri ya mambo mengi sana...so usichangae sna....katika migodi 4 waliyo nayo...lazima kazi ziwe nyingi....sana...
   
 6. J

  John Kangethe Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli, hizi kazi zipo, wala siyo changa la macho.
  Mahitaji ya nguvu kazi migodini ni kubwa, japo changamoto inayokabili migodi yetu ni wafanyakazi kuhama-hama hovyo hovyo, kutafuta yalipo masilahi makubwa.
   
 7. P

  Papaandenga Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana kaka,Barrick ni mabingwa wa media kujiosha kuwa wako sawa,kwanza kabsaa mishahara njiwa na kazi za mining kaka ni ngumu usiombe afu pressure za kufa mtu,so huenda wanapata watu wasio na sifa kwani wao ni kama Magamba walivyo.
   
 8. K

  Kundikili Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kazi zipo ila kwa kiasi fulani kuna kujuana,kwa maana mimi ilisha nikuta hiyo.
   
 9. King2

  King2 JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Zitakuwa zipo kweli. Kwani zisingekuwepo zisingekuwepo wasingekuwa wana zi advartise magazetini.
   
 10. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,600
  Likes Received: 1,678
  Trophy Points: 280
  Poleni sana rafiki zangu ukweli ni kwamba ni CHANGA LA MACHO. Nina rafiki anafanay kazi huko na ni manager mwajiri, Anasema wanalazimika kufanay hivyo hili serekali ionekuwa wnatoa ajira kwa watanzania kwani serekali yetu vivu yenyewe inakuwa inakusanya tu magazeti na matangazo mwisho wa siku ina sema kuwa waweklezaji wameajiri watu 1000 kwa mwaka huu au uliopita. Mimi niliambiwa siku ikiwa ya kweli nitaambiwa nitume maombi ila nyingi zina zotangazwa nizipotezee kwani ni kujisafaisha tu mbele ya serekali.
   
 11. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  kweli nchi ya ahadi kufika wengi watabaki inaa maana serikali inapingwa shanga la macho mmmh hii ni hatari sana na inaumizaa sana
   
 12. Captain Phillip

  Captain Phillip JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 900
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Kazi zipo na matangazo ni real kabisa.Migodi minne ina wafanyakazi takriban elfu nne na utaratibu wao ni kutangaza kazi zote kupitia media so hata zikitangazwa kazi 40 kwa mwezi bado kwa idadi yao ni kidogo.Nina rafiki yangu anafanya huko na ali-apply kupitia matangazo ya magazeti.
   
 13. Masulupwete

  Masulupwete JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Kwa uzoefu wa kawaida,kama kampuni inatangaza kazi kila kukicha yafuatayo yanawezekana;
  1. Mazingira magumu ya kazi (manyanyaso kibao,mshahara/marupurupu mbuzi,kazi ngumu)

  2. Mf'kazi Kukosa uhakika wa kuendelea na kazi (Kazi ambayo unaweza kutimuliwa muda wowote)

  3. Kazi za muda mfupi ‘tempo’ (Kampuni zinazoajiri watu kwa kazi za muda mfupi)
  4. Kampuni zinazokuwa kwa kasi (mahitaji ya wafanyakazi yanaongezeka kila kampuni inapoongezeka)
   
 14. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,033
  Likes Received: 2,648
  Trophy Points: 280
  Sio changa la macho,kazi zipo ila hakikisha kwamba afya yako ni njema sana,unapofika kule unapimwa kila kitu na ukioneka afya yako ina mgogoro huchukuliwi ndio maana wengi wanaishia kwenye vipimo,si unajua wazungu hawataki mambo ya zugazuga wanataka kazi sio kila baada ya siku mbili unaumwa.Nina rafiki yangu alipata kazi kupitia magazeti hayohayo ila sasa hivi yuko hoi kiafya,kazi za mgodini kaka sio masihara,i wish u luck nisikukatishe tamaa,maisha ni kujaribu but it is very risky and dangerous job.
   
 15. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kazi za Barrick ni kwa Network..ila zipo! Unaweza kuwa na qualifications lakini wasikuchukue, zinaozitwa ajira za ngono kule ndio kwenyewe! Mabinti walioko kwenye migodi nakuishi kambini wanatumika sana.....
   
 16. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Wanaongoza kwa kufukuzana kazi kila kukicha ni kufukuzana tu!!kazi kwako apply ila uwe na aklili zako zote..anytime pressure ikikukumba ujue out
   
 17. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Acheni kelele.....kule ni kazi tu...una qulification unapata kazi...ile pressure na delivery inahitajika...tunafukuzwa kwa ajiri ya kutofata sheria..uzembe uzembe...usio na msingi...ukifanya kazi kwa bidii..utafurahi.
   
Loading...