Recent content by PAPAA JIWE

  1. PAPAA JIWE

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    MUNGU mbariki Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  2. PAPAA JIWE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenyeji wa Mikoa ya Kaskazini Wana Haki ya Kuongoza Majimbo Yao

    Soma tena sifa za kuwa Mbunge kisha ujenge hoja yako vizuri.
  3. PAPAA JIWE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki angu anaomba ushauri analipwa 1.5M, mchumba wake 4M anamwambia ndogo kwa matumizi ya mtoto wao?

    Kufungua biashara nyingine ni wazo zuri sana. Apokee wazo hilo la kulifanyia kazi kwa manufaa ya sasa na baadae.
  4. PAPAA JIWE

    JamiiForums Tanzania Ushauri jamani, nimeshaharibu sinunui tena vitu used

    Wachana na electronics zilizotumika. Nunua mpya mahala panapoeleweka.
  5. PAPAA JIWE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Tanzania mnataka simba iifunge timu gani hapa Africa?

    Yanga
  6. PAPAA JIWE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hii timu inaelekea njia ya Portsmouth
  7. PAPAA JIWE

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

    Pumzika Kwa Amani. Mwendo Umeumaliza, Imani umeilinda. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. PAPAA JIWE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

    Wakili Msomi Mwangomango, mwana maendeleo wa kweli, kijana mchapakazi, msomi, mtu mwenye misimamo, hakika wana Rungwe watakuwa wamepata mwakilishi wa kweli. Nitumie MB zangu kumshauri afikirie kuchukua fomu kama bado hajafikiria, wakati ni sasa. Naiona Rungwe mpya
  9. PAPAA JIWE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kichwani kwa Bondia Mwakinyo kupo sawa sawa? Amuombe Radhi upesi sana ' Legend ' Rashid Matumla kabla hajatuudhi zaidi

    Weka mapambano aliyocheza ili tukuelewe
  10. PAPAA JIWE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tumeanza vizuri
  11. PAPAA JIWE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akikutongoza kwa njia ya kuchat WhatsApp utafanyaje?

    Hahahah, ukitaka kuruka agana na nyonga.
  12. PAPAA JIWE

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya kuuza viatu vya mtumba

    Habari wadau? Naomba kupata ushauri na uzoefu kutoka kwenu. Ningependa kujua jinsi ya kuanzisha BIASHARA ya viatu vya mtumba (vya kike na vya kiume), mahala napoweza kupata viatu hivyo (kwa bei ya jumla), gharama ya kununulia na kuuzia, na faida pia. Pia ningependa kujua vibali navyotakiwa...
  13. PAPAA JIWE

    JamiiForums Tanzania Wasanii waliovuma lakini wakashindwa kutengeneza pesa

    Komando Jide, Navy Kenzo, Jux
  14. PAPAA JIWE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Dah, pigo kubwa hili hasa kipindi hiki ambacho "tunaunga unga mwana"
Back
Top Bottom