Wasanii waliovuma lakini wakashindwa kutengeneza pesa


Ambition plus

Ambition plus

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2018
Messages
912
Points
1,000
Ambition plus

Ambition plus

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2018
912 1,000
Hapo ukiangalia tatizo kubwa lililowarudisha nyuma ni bangi/madawa

Msanii pekee hivyo vitu vimemkubali ni TID
Huyu huyu TID ninayemjua mimi ama mwingine?
 
Pax Vobiscum

Pax Vobiscum

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Messages
262
Points
500
Pax Vobiscum

Pax Vobiscum

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2018
262 500
Wagosi wakaya
Juma nature
Mr Nice
Afande Sele
Ray C
Joslin
Z Anto
Ferooz
Jmo
N.k
 
The Great Emanuel

The Great Emanuel

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
2,153
Points
2,000
The Great Emanuel

The Great Emanuel

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2015
2,153 2,000
Hawakushindwa kutengeneza pesa, pesa walitengeneza sema walishindwa kuzitumia wakaendekeza ujinga ujinga na starehe ndo wameishia pabaya.
 
M

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Messages
304
Points
500
M

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2015
304 500
nitajie msanii mwenye uhakika wa milo minne na geto la maana tofauti na diamond and kiba
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
34,767
Points
2,000
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
34,767 2,000
Huyo ni wa kike sio mbaya sana, nadhani kwa sasa yuko kwenye government quarters!
Hata wa kiume sioni tatizo, kwa nini akakae sehemu nyingine kama kwao kupo na nyumba iko tupu
 

Forum statistics

Threads 1,295,408
Members 498,303
Posts 31,211,193
Top