Recent content by PAPA OBAMA

  1. PAPA OBAMA

    JamiiForums Tanzania Njia gani nitumie watoto wangu wawe na akili darasani?

    Mkuu Hapo unaweza kuta ni genetics fact lakini kuna watu wanaamini Hakuna mjinga duniani kazana tu badilisha mbinu utafanikiwa
  2. PAPA OBAMA

    JamiiForums Tanzania Jinsi panya wanavyofundishwa kugundua mabomu SUA Morogoro kitengo cha APOPO

    Da wabongo hutusomi kabisa na kuelewa thread mleta Mada wala hajazungumzia panya kutegua mabomu Bali Hawa panya hunusa tu nakubaini mabomu yalipo kisha binadamu huja kutegua simple
  3. PAPA OBAMA

    JamiiForums Tanzania Kuna under 30 anayemiliki gari na nyumba?

    Kama ulishindwa enzi ya mkwere kwa age hiyo kwa Magu sahau plus ten years Magu akiondoka ndio utamiliki
  4. PAPA OBAMA

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kigamboni jirani na Ferry

    Hapana wenye uhitaji tayari wako inbox huu mchezo hauhitaji hasira wandugu
  5. PAPA OBAMA

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kigamboni jirani na Ferry

    Ule mradi hapo tena tulishapewa go ahead
  6. PAPA OBAMA

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kigamboni jirani na Ferry

    Nauza kiwanja kipo km 5 toka Kivukoni Ferry na km 7 toka daraja la mwalimu nyerere, kama unaelekea njia ya mjimwema maeneo ya kwa mwingira. Kina hati miliki ukubwa wa eneo ni mita za eneo 935, kimezungukwa na majengo mbalimbali umeme upo ni nguzo moja tu hadi kiwanjani maji kipo kisima eneo...
  7. PAPA OBAMA

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga

    Anza na hotel zilizopo uswazi kwanza upate uzoefu
  8. PAPA OBAMA

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga

    Wabongo wengi huwa tunaogopa kwenda kula au kulala kwenye ma Hotel makubwa tunaishia guest house nenda hotel bufee kuanzi tsh 15000 vinywaji lain kuanzia tsh 3000 kulala kuanzia 40000
  9. PAPA OBAMA

    JamiiForums Tanzania Nauza shamba la mitiki

    Da tatizo namna ya kupost pics shida ntastrugle kuziweka ila liko ktk hali nzuri sana
  10. PAPA OBAMA

    JamiiForums Tanzania Nahitaji elimu ya maxcom malipo na selcom malipo

    Selcom wako juu
  11. PAPA OBAMA

    JamiiForums Tanzania Nauza shamba la mitiki

    Ni hekari 5 lina jumla ya miti 3500 yenye umri wa miaka 8 lipo Matombo Morogoro bei 120million kwa aliye serious anione pm
  12. PAPA OBAMA

    JamiiForums Tanzania Tazama watoto wanavyochagua wazazi kabla hawajazaliwa

    Da najiandaa kuzaliwa state USA mara ya pili
  13. PAPA OBAMA

    JamiiForums Tanzania Meli ya Vitabu Logos Hope

    Nikuepo last weekend mazingira kwa watoto zaidi
  14. PAPA OBAMA

    JamiiForums Tanzania Shamba la mitiki linauzwa

    Ni hekari tano lina jumla ya miti 3500 yenye umri wa miaka 8 liko Tulian Morogoro bei milion 120 aliye serious ani pm
Back
Top Bottom