Kuuliza si ujinga

Kuuliza si ujinga

nunueni asset vijana acheni na mambo ya kupita!iyo 80,000 si bora ununuwe kuku watatu na misosi upike kwako na chenji ya nauli itabaki! shida yetu ni matumizi! wewe huna pesa ungekuwa nayo usinge kuja kuomba ushari umu! usipende sifa fanya vitu vya maana!
 
Wabongo problematic sana.

Mtu anaomba ushauri, anapewa za uso. Anakandiwa demu wake badala ya kumsaidia.

Hapa hatujuani na si vema kumpangia mtu maisha yake wakati humjui.

Haituhusu, KWA NINI anataka kwenda Sea Cliff na KWA NINI anataka kutumia 80,000 na demu yake.

Tuache tabia za kitoto. JF siyo FB.
 
UNGEKUWA KE! PENGINE JIBU LANGU LINGEKURIDHISHA! LAKINI WW NI MR.! ANYWAY NI USD115 EQUIVALENT NA TSH(MADAFU LAKI 260!) VIPI?
Haki ya Mungu walahi wacha tule tu mihogo na chips za wapemba ,hiyo bei ni ya Sea food platter ???
 
Hivi mods kwa Teknolojia yote hii hamuwezi mkatengeneza ka program kanacho onyesha IDS za JF zikipasuana ???
 
  • Thanks
Reactions: 365
Kwa bajeti yako hiyo kama utataka ulale pale sidhani kama itakutosheni na huyo mpenzi wako mkuu, labda kama mtaspend time mchana na jioni mnaondoka zenu
 
Wabongo problematic sana.

Mtu anaomba ushauri, anapewa za uso. Anakandiwa demu wake badala ya kumsaidia.

Hapa hatujuani na si vema kumpangia mtu maisha yake wakati humjui.

Haituhusu, KWA NINI anataka kwenda Sea Cliff na KWA NINI anataka kutumia 80,000 na demu yake.

Tuache tabia za kitoto. JF siyo FB.

Tatizo letu tuna roho mbaya sana.

Hatupendi tumuone mtu anaishi maisha yake.
 
Back
Top Bottom