Kuuliza si ujinga

Kuuliza si ujinga

Hilo ni taizo lako sio letu kama unavyo nena,usijilinganishe maisha yako na yeye ama mtu mwingine,Huo ndo ukweli,kama budget ni ndogo unaanzaje kuwazia kwenda sehemu ambayo unakaa bila kuwa na amani kisa kumfanya mtu unayemtoa afurahi wakati wewe tumbo linawaka moto, ni heri kuishi katika uhalisia wako kama Budget ina ruhusu katumie ipasavyo once in a year lakini kama Budget ni ndogo tafuta mahala pengine patakapo lingana na pesa yako sio kuenda mahala unatumia pesa pasipo kukuweka wewe huru ukiwazia Bill itakujaje
we we mngese sana. na mshamba.

huyu jamaa anaakili, ameamua aende akapate exposure. We una discourage

80 ndio ameamua akaile wew haukuhusu
toa ushaur au tembea
 
Mkuu hiyo bajeti yako ya elfu 80 sio kubwa wala ndogo inategemea siku hiyo mtakula nini ww piga moyo konde mchukue mtoto muende mkapasue Raha.
 
Mkuu toxic9 una Roho mbaya kama kunguni aisee. Hilo jina unalotumia explains it all. Lighten up dude.
Mkuu hebu tuache ujinga wakubishina kama watoto,
66723e3e5abc8e0b979bef0143b71e5e.jpg
 
Umetia kidonda chumvi kwa kuleta upuuzi wa Huyo MUHINDI R. Tata afte all Watanzania tunayopotia kwa sasa na Wahindi umechagua muda muafaka sana kuleta maandiko ya Huyo shenzi mwenzako. Ungetumia hata maandiko ya King Majuto ungeeleweka. Kwa taarifa yako Mr Duttu ataenda kula maisha na picha ataweka hapa ili ukalambe cyanide.
 
Umetia kidonda chumvi kwa kuleta upuuzi wa Huyo MUHINDI R. Tata afte all Watanzania tunayopotia kwa sasa na Wahindi umechagua muda muafaka sana kuleta maandiko ya Huyo shenzi mwenzako. Ungetumia hata maandiko ya King Majuto ungeeleweka. Kwa taarifa yako Mr Duttu ataenda kula maisha na picha ataweka hapa ili ukalambe cyanide.
Sijawahi kuona mtu mjinga kama wewe, bt u deserve ur iq iz damp, jinga jinga kama wewe siwezi ku-hojiana nawe, sioni sababu ya wewe to bring huu uzi to this level of argument so childish, so rubbish so inappropriate,
 
Sijawahi kuona mtu mjinga kama wewe, bt u deserve ur iq iz damp, jinga jinga kama wewe siwezi ku-hojiana nawe, sioni sababu ya wewe to bring huu uzi to this level of argument so childish, so rubbish so inappropriate,
Mjinga huwa anamtambua mjinga mwerevu siku zote. Wewe ni Nyumbu shoga uliyejaa ute kwenye nanilii. Unaweza kuhojiana na mashoga wenzako. Nenda katafute bwana Segerea mbwa wee. Mwanaume wa mbegu hana wivu Kama mbwa wewe.
 
Jamani mimi nahitaji kujua hivi pale Sea Cliff Hotel Masaki bei ya kuingia ni shilingi ngapi pamoja na bei za vinywaji pamoja na chakula kwa ujumla, mwenye experience ya eneo lile anipe detail vizuri.
"..pale pesa ya chini ya kuingilia ni kiwango cha mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi, nimeeleweka"
 
Hii mitusi yote hapa ya nini? mwenzenu kaomba muongozo tu ujuaji wote wa nini??
 
Vyumba vinaanzia $185- na kundelea...

Vyakula vinaanzia elfu25 vya kawaida ila pia unaweza lipia kwa dollar.... ukitaka na nyama na mizaga zaga huanzia elfu90....

Vinywaji ni bei za kawaida tu... cha chini ambayo ni maji huanzia elf2 na miatano..

Rate ya dollar leo ni tsh. 2175
 
Muulize borat69
Tatizo wanajiona wajanja sana kumbe maboya tu!
Hapa duniani hakuna mwelevu wa kupitiliza, leo hii Money May akija Bongo na kutumia usafiri wa Bus kwenda Mwanza akisikia "jamani huu ni muda wa kuchimba dawa" lazima, hata kama atajua maana yake atashangaa kuona uwingi wa abiria wanavyotililika kushuka chini as if ndo mwisho wa safari!
 
remember that we are great thinkers...!
We both knw dat mkuu, ila borat sijawahi kutana najitu bogasi kichwani kama yeye hana uwezo wakufikiri,he knows nothing bt he act like he knows,halafu he seems yupo sekondari bado maana ni shame kuona mtu he argues for stupidity stuff like this,
 
Wabongo wengi huwa tunaogopa kwenda kula au kulala kwenye ma Hotel makubwa tunaishia guest house nenda hotel bufee kuanzi tsh 15000 vinywaji lain kuanzia tsh 3000 kulala kuanzia 40000
 
Back
Top Bottom