PAPA OBAMA
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 204
- 87
Nauza kiwanja kipo km 5 toka Kivukoni Ferry na km 7 toka daraja la mwalimu nyerere, kama unaelekea njia ya mjimwema maeneo ya kwa mwingira.
Kina hati miliki ukubwa wa eneo ni mita za eneo 935, kimezungukwa na majengo mbalimbali umeme upo ni nguzo moja tu hadi kiwanjani maji kipo kisima eneo linafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi hata ya biashara.
Kipo karibu na barabara ya mtaa na ni km moja toka barabara ya mjimwema bei ni million 60 dalali hatakiwi, kwa walio seriuos tu karibu inbox.