PAPA OBAMA JF-Expert Member Dec 27, 2013 204 86 Feb 10, 2016 #1 Ni hekari 5 lina jumla ya miti 3500 yenye umri wa miaka 8 lipo Matombo Morogoro bei 120million kwa aliye serious anione pm
Ni hekari 5 lina jumla ya miti 3500 yenye umri wa miaka 8 lipo Matombo Morogoro bei 120million kwa aliye serious anione pm
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Jan 19, 2010 6,829 1,300 Feb 10, 2016 #2 weka picha za kutosha, ukianzia na za jumla na close ups za baadhi ya miti as well as cross sections katikati ya shamba lenyewe
weka picha za kutosha, ukianzia na za jumla na close ups za baadhi ya miti as well as cross sections katikati ya shamba lenyewe
PAPA OBAMA JF-Expert Member Dec 27, 2013 204 86 Feb 10, 2016 Thread starter #3 Da tatizo namna ya kupost pics shida ntastrugle kuziweka ila liko ktk hali nzuri sana