Recent content by panyampole

  1. P

    Joshua Nasari (MB) na mtarajiwa wake

    Mungu akupe maisha ya upendo na amani katika ndoa ya Mbunge wetu Hongera kwa kupata jiko
  2. P

    Nataka kujiunga na TANAPA

    Du hiyo Tanapa ni tasisi ya watu Ukimaliza hiyo Diploma watakwambia wanataka Diploma ya mweka
  3. P

    Lukuvi: Tumetenga milioni 80 kununua gari aina ya RAV4

    Wizi mtupu kwa hesabu ya haraka RAV 4 ya mwaka 2013. mpaka ifike Port DSM nh M50 Hiyo M80 ni pamoja na ni atufafanulie sio watanzania wote masikio lala
  4. P

    Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    MKINDE.Kama unataka umaarufu usio na tija fanya jinsi kichwa kinavyokutuma.I kama ni mimi Bereta inakuhusu :(:cool::(:(
  5. P

    Kwa Wanaopenda Uchoraji

    Nimependa picha zako zinaonyesha jinsi gani ulivyo talent Na zinanyesha uhalisia Kaza buti Mbuyu ulianza kama mchicha
  6. P

    Smartphone kwa 100,000/=

    Naihitaji ni pm
  7. P

    TMA wametoa tena tahadhali ya kuwepo kwa upepo na mvua kubwa usiku wa Feb 7, 2014, isome hapa

    Naona wingu zito Arusha itatuhusu pia au ni kwa mikoa iliyotajwa
  8. P

    Kipanya unaakili sana!

    Du niliiona kwenye gazeti lakini sikuelewa Kipanya uko juu Kaza buti usirudi nyuma Huo ndio usani waukweli
  9. P

    Majangili ni zaidi ya serikali,wauwa tena Faru serengeti

    Nimejaribu kupata coment kutoka kwa park ranger leo hili swala lina mkono wa ndani .Sidhani kama kuna mtu kutoka njee aweze kuingia moru bila kunekana cause kuna O P kila kona na patroo za magari lukuki.Watendaji wanalijua hilo Haituingi akilini kabisa.
  10. P

    Majangili ni zaidi ya serikali,wauwa tena Faru serengeti

    Wana jamvi tusingize siasa hapa hii ya Faru ina impact kubwa sana Jana kwa macho yangu park ranger wa ngorongoro crater walikua wanamkimbiza faru crater ukiwauliza reason behind hawana majibu ya kueleweka it was more than five car runing with one rhino Iliku kero hata kwa watalii waliokua...
  11. P

    Majangili waua tena faru Serengeti, jana usiku!

    Du kwa ulinzi ninaoufahamu Moru. Yani hainihngii kirahisi akilini.Hawa park warden wanahangaika na Guide kuwa wameoff road.Wanahamwgaika na kukagua parmt wanasahau ulinzi wa wanyama While they use lot of fuel an time Huwa najiuliza hizo hela za adhabu zinaenda wapi. Inakera sana kusikia faru...
  12. P

    Nini kili inspire Uwe na Jina hilo humu JF?

    Kifupisho cha majina yangu na upole wa kufakari
Back
Top Bottom