Kilmo kwanza kwa jembe la mkono. na viwanda bado vya kugonga vyuma kwa nyundo, maendeleo yatapatikana wapi?
Zidumu Fikira na mawazo ya Mwenyekiti...........................................Kidumu chama cha mapinduzi.
Nalog off
kuna vivuli vya pembe za ndovu
Naona kama kuna mavivuli ya ma-Kinana vilee......
.........trekta & vifaa vya kungo'lea meno&kucha bila kusahau chopa la kuwapeleka south (S.A)kutibiwaMarekebisho yanakuja hadi rangi yake
nadhani kwenye jembe&nyundo panaweza
wekwa Tembo&Dhahabu.
Kidumu chama cha mapinduzi.
Nalog off