Lukuvi: Tumetenga milioni 80 kununua gari aina ya RAV4

Lukuvi: Tumetenga milioni 80 kununua gari aina ya RAV4

Ngoja wanunue titaifatilia mpaka ajute tutahitaji kila document. Waizi wakubwa hawa....
 
wanaccm muwe ata mnafanya utafit mitandaon na co mnakurupuka kutetea wenye chama wanavyotuumiza watanganyika
 
Kwenye ofisi ya waziri mkuu wametenga mil80 ya kununua gari ya mkuu wa idara aina ya RAV 4 mil80, Lukuvi akajibu wameweka hiiyo kwa kujumlisha na kodi.

Kwani magari ya serikali yanalipiwa kodi wakuu?

Hongera Lukuvi!
 
The maximum price for Toyota Rav 4 2014 model is $29,000 sasa wazee wa kuchakachua watakua washa overprice kama kawaida
 
The maximum price for Toyota Rav 4 2014 model is $29,000 sasa wazee wa kuchakachua watakua washa overprice kama kawaida

Ukiuliza utaambiwa balance ni kwa ajili ya mafuta na alawansi ya dreva kutoka japan chezea wana wa ccm....
 
Lukuvi anawaza kupaka karolite tu na kubinua binua midomo kama aunti asu..mxxxxuiiii
 
Kwenye ofisi ya waziri mkuu wametenga mil80 ya kununua gari ya mkuu wa idara aina ya RAV 4 mil80, Lukuvi akajibu wameweka hiiyo kwa kujumlisha na kodi.

Kwani magari ya serikali yanalipiwa kodi wakuu?

Ndio kwa sababu magari haya hayanunuliwi na Serekali moja kwaa moja , ila ni tender inatangazwa na maakmpuni binafsi wanaleta huo mzigo.
 
RAV 4 brand new from the manufacturer ndio bei yake hiyo. Wengi wenu mnadhani serikali inanunua magari chakavu.

Acha upoyoyo wewe hapo TOYOTA kununua RAV 4 new model imeshalipiwa kila kitu si zaidi ya 40 milioni,.acheni kutetea upuuzi hata kwa vitu vilivyo wazi na kutufanya watanzania wote wajinga'
 
RAV 4 brand new from the manufacturer ndio bei yake hiyo. Wengi wenu mnadhani serikali inanunua magari chakavu.

Wewe kweli MSALANI. Sawa kabisa MSALANI. Maana huwa unaniacha hoi na hoja zako. Una-support hata ujinga
 
Wizi mtupu kwa hesabu ya haraka RAV 4 ya mwaka 2013. mpaka ifike Port DSM nh M50 Hiyo M80 ni pamoja na ni atufafanulie sio watanzania wote masikio lala
 
Ukiyashangaa ya #lukuvi utayaona ya #mbowe , msisahau na yeye alipokiuzia Chama chetu fuso used kwa mamilioni,
Wanasiasa wa bongo hawaaminiki wote, ni majambazi, wanafiki, malaghai,wapo kimaslahi yao na family  zao tu,nashangaa kuna watu humu hawalali wako tayari kufa kwa ajili yao,

Kwa hiyo mwenzetu unachangia humu kichama siyo!!?? Au CDM nao walitumia bajeti ya serikali kununua hayo mafuso??
 
Ile aliyokuwa nayo / iliyokuwepo imekwenda wapi ? Na Last time waliinunua lini ?, na hivi sio huyu huyu Waziri Mkuu aliyesema hataki / hatachukua gari la wabunge sababu ni kufuja pesa
 
Back
Top Bottom