Recent content by Panga la Yesu

  1. Panga la Yesu

    Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi?

    Hapa naona kama ALAF inapata kura nyngi pamoja kuna watu wamenifuata inbox wanashauri pia ANDO je niende na ipi sasa kati ya hizi, nani anamawasiliano ya ofisi zao Hapa Arusha? na Je ofisi zipo wapi?
  2. Panga la Yesu

    Mliowahi kutumia bati za kampuni ya BATI BOMBA LTD au kampuni zozote ndogo za mabati

    hii nayo sasa ni mtiti, tunaamani bati lisilo pata kutu na lisilo pauka mapema! je ni kampuni gani bora? ALAF AU ANDO?
  3. Panga la Yesu

    Mliowahi kutumia bati za kampuni ya BATI BOMBA LTD au kampuni zozote ndogo za mabati

    hiyo reswerh unaifanyaje kama wewe mwenye uzoefu hujasema pa kuanzia?
  4. Panga la Yesu

    Ipi ni kampuni yenye mabati bora Tanzania?

    Kuna mtu kaniambia kuwa hata huku ALAF pia kuna uwezekano wa kuchanganyiwa pia unafanyaje ili usichanganyiwe?
  5. Panga la Yesu

    Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi?

    Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi? Je ni kampuni gani ya mabati ambayo hayapauki haraka, niliambiwa ALAF na ANDO sasa sijui ni ipi niondoke nayo? Yamkini wewe uajua kampuni nzuri pia nitapokea ushauri, nataka ati zuri kwajili ya nyuma nzuri. Tupo Arusha
  6. Panga la Yesu

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata kibali cha kufanya biashara ya mazao ya msituni yaani MBAO na MKAA

    Naomba Unisaidie tafadhali mimi nina mti yangu ipo Kilimanjaro na ninahitaji hzo kuni nizilete Arusha Utaratibu unakuwaje?
  7. Panga la Yesu

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    KWa mtazamo wangu na Experience niliyo nayo kwenye utumiaji wa Simu za Mkononi ninapata shaka inayoniaminisha kuwa wezi wa mtandaoni wanashirikiana na watu wa Simu, siamini kuwa hawa provider wanahitaji kufanya kazi kubwa kumpata mwizi wa mtandaoni hasa wakiashaambia number ya mtu aliye tapeli...
  8. Panga la Yesu

    Huduma ya channel kwenye startimes, Startimes watoa angalizo

    Ndg Star Times, Minipo Arusha Maeneo ya Mianzini – Ikiurei naitwa Pius NInatumia Kingamuzi no 02035295385 Natak kujua mbona ninapoangalia inaniambia no Signal au not Subsribed, sipati hata TBC je shida nini? Nisadie tafadhali
  9. Panga la Yesu

    Hotel ya Iliboru Safari Lodge Arusha yateketea kwa Moto ,watalii wajeruhiwa vibaya

    FOR IMMEDIATE RELEASE: Ilboru Safari Lodge Arusha Tuesday, 12 March 2019 RE: INCIDENT AT ILBORU SAFARI LODGE We would like to advise our tour operators and the general public about an incident this morning at Ilboru Safari Lodge. Please be assured that the lodge is open and functioning as of...
  10. Panga la Yesu

    Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

    #Kiduni nafikiri ni vema ukafahamu kuwa Team Lowassa Iikuwa Nchi nzima na hilo unalifahamu, hivyo sitegemai kuwa Lowassa alikuwa kipenzi wa kila mtu na hakuna mantiki kuwa rais akitoka kwenu basi lazima kuwe na maendeleo. Huo ni mtazamo tu wa watu wasiofikiri. Watu wa Arusha tunataka RAis Bora...
  11. Panga la Yesu

    Meya Arusha awavimbia CHADEMA na kusema hang'oki kwenye kiti chake.

    Kwa taarifa yako Arusha hakuna ukabila ila WATU HASA WANASIASA WANAJARIBU KUONYESHA HIVYO, ARUSHA NIMCHANGANYIKO WA MAKABILA YOTE NA TUNAISHI PAMOJA SANA KINACHOTUTOFAUTISHA NI ZILE ITIKADI ZA SIASA LAKINI TUNASHIRIKIANA KWA MAMBO YOTE YA KIJAMIII. WANASIASA WACHENI KUTUPANDIKIZA HISIA ZENU...
  12. Panga la Yesu

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Kwanini wasitudi tunakiri udhindi na Amani na Amani itakuwepo
  13. Panga la Yesu

    Polisi wa Arusha walalamika kutengwa na jamii

    Tena hawa Poly CCM hawatakiwi kujenga katika maeneo yetu wakajenge kwenye quoters za Polisi. Mimi sipendi kuwasikia kabisa na tena na sema wakikaidi kuondoka na wapigwe kabisa! Kama hawafuati maelekezo wapigwe tu!!!!!!!
  14. Panga la Yesu

    Jaji Lubuva: Tukio la Arusha ni 'fujo tu zilizotokea katika mkutano wa CDM!'

    ----! Wewe ulikuwa arusha na unathibitisha vipi kwamba cdm wamelikoroga? Wakati bomu linalipuliwa wewe unahakikika kwamba kulikuwa na fujo? Pumbavu kabisa!
Back
Top Bottom