Polisi wa Arusha walalamika kutengwa na jamii

Polisi wengi wanaofanya kazi Arusha pamoja na Traffic wamesikitika sana na wanatengwa na jamii.

Wengi wa Polisi wemepanga mitaani, wanaenda bar za mitaani, wamejenga pia..

Sasa kitendo cha kutumika na Nyinyiem kulipua mkutano wa chadema na kesho yake kupiga mabomu kumewatenga na jamii, wanaonekana kama magaidi.

Polisi wanajieleza sana na kuomba msamaha na kusema wao hawahusika, Polisi walioletwa kutoka Morogoro na Kibaha ndo walitumika.

Huu mtindo wa serikali kuhamisha polisi kwenda kuua mikoa mingine ni cha kukemewa na watanzania wote wapenda amani. Mashirika ya Haki za binadamu na vyama vya wafanyakazi mbona wako kimyaaa??

Kwa mfano chama cha waaalimu, chama cha madaktari, TUCTA, chama cha wanasheria tanganyika, viongozi wa dini, kwa pamoja wakemee vitendo vya polisi kutumika na mafisadi na pia kauli ya PM.

Natoa wito kwa Polisi na JWTZ, wawe wazalendo kama baadhi ya usalama wa taifa, ambao wanasaidia kuvujisha siri za vikao vya kuihujumu CHADEMA.

Mie nashangaa, Polisi akistaafu hapewi hata ukuu wa wilaya, ukuu wa Mkoa ama ujumbe wa board!!!!!.....
Leo ndio wanajua kwamba wao ni sehemu ya jamii? Kwakitendo cha juzi kupiga watu hadi sehemu zao za biashara kimenifanya kufuta urafiki na polisi wotw walio kuwa marafiki zangu, hata watoto wao nimepiga marufuku kuwaona nyumbani kwangu,
hawa sio binadamu wa kawaida
 
kweli kabisa huwa nawaza, itafika wakati polisi watakuwa na wakati mgumu sana kuishi huku uraiani kwa sababu ya mambo yao wanayoyafanya haijalishi ni polisi wa mkoa gani. Na itafika wakati hatutahudhuria shughuli yoyote iwe msiba, harusi nk. washirikiane wenyewe kama vile wanavyoshirikiana kutuua.
 
Yaani nikikutana na polisi/Mwanajeshi hata awe na shida vipi siwezi kumsaidia hata iwe ya Shillingi mia tano.....................
 
Mkuu ulifutwa but it was too late, habari zilisha enea mtaani wala si siri tena!

Tena hawa Poly CCM hawatakiwi kujenga katika maeneo yetu wakajenge kwenye quoters za Polisi. Mimi sipendi kuwasikia kabisa na tena na sema wakikaidi kuondoka na wapigwe kabisa! Kama hawafuati maelekezo wapigwe tu!!!!!!!
 
Polisi wengi wanaofanya kazi Arusha pamoja na Traffic wamesikitika sana na wanatengwa na jamii.

Wengi wa Polisi wemepanga mitaani, wanaenda bar za mitaani, wamejenga pia..

Sasa kitendo cha kutumika na Nyinyiem kulipua mkutano wa chadema na kesho yake kupiga mabomu kumewatenga na jamii, wanaonekana kama magaidi.

Polisi wanajieleza sana na kuomba msamaha na kusema wao hawahusika, Polisi walioletwa kutoka Morogoro na Kibaha ndo walitumika.

Huu mtindo wa serikali kuhamisha polisi kwenda kuua mikoa mingine ni cha kukemewa na watanzania wote wapenda amani. Mashirika ya Haki za binadamu na vyama vya wafanyakazi mbona wako kimyaaa??

Kwa mfano chama cha waaalimu, chama cha madaktari, TUCTA, chama cha wanasheria tanganyika, viongozi wa dini, kwa pamoja wakemee vitendo vya polisi kutumika na mafisadi na pia kauli ya PM.

Natoa wito kwa Polisi na JWTZ, wawe wazalendo kama baadhi ya usalama wa taifa, ambao wanasaidia kuvujisha siri za vikao vya kuihujumu CHADEMA.

Mie nashangaa, Polisi akistaafu hapewi hata ukuu wa wilaya, ukuu wa Mkoa ama ujumbe wa board!!!!!.....
Chama cha madaktari?Wakemee polisi?kwa grounds zipi?Waacheni wafanye kazi zao za kitaalamu na iwapo wananchi wanaona hali ya kukandamizwa imezidi,na hawana jinsi ya kujinasua,wamlilie Mungu na machozi yao hayataenda bure.Kazi ya viongozi wa dini ni kuombea haki itendeke kwani kwa mujibu wa biblia kitabu ninachokiamini,imeandikwa 'haki huliinua taifa'.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
huyu JK NA said mwema icc inawangoya wewe subiri ni upumbavu kuamini kuwa katika mkutano wa chadema wote walioko pale ni wanachama wa chadema,wapo wengi tu hawana hata chama wapo wengine ni CCM sasa unapo piga bomu eti kuikosoa na kuharibu taswira ya CHADEMA kweli walichemka na wanazidi kuhairisha tu uchaguzi mpaka 2015
 
Kule SA wakatai wa apartheid POLISI karibu 99% walikuwa weusi....wakitumika kuuwa weusi wenzao!

2012-08-17-Marikana_massacre.jpg
 
Big up wa ARUSHA wote endeleeni na msimamo huo huo.
 
Hao polisi wa Arusha walifanya jitihada gani za kuwaokoa wananchi na dhahama hizo kama kweli wao hawakuhusika? Acheni kujisafisha
 
Polisi wengi wanaofanya kazi Arusha pamoja na Traffic wamesikitika sana na wanatengwa na jamii.

Wengi wa Polisi wemepanga mitaani, wanaenda bar za mitaani, wamejenga pia..

Sasa kitendo cha kutumika na Nyinyiem kulipua mkutano wa chadema na kesho yake kupiga mabomu kumewatenga na jamii, wanaonekana kama magaidi.

Polisi wanajieleza sana na kuomba msamaha na kusema wao hawahusika, Polisi walioletwa kutoka Morogoro na Kibaha ndo walitumika.

Huu mtindo wa serikali kuhamisha polisi kwenda kuua mikoa mingine ni cha kukemewa na watanzania wote wapenda amani. Mashirika ya Haki za binadamu na vyama vya wafanyakazi mbona wako kimyaaa??

Kwa mfano chama cha waaalimu, chama cha madaktari, TUCTA, chama cha wanasheria tanganyika, viongozi wa dini, kwa pamoja wakemee vitendo vya polisi kutumika na mafisadi na pia kauli ya PM.

Natoa wito kwa Polisi na JWTZ, wawe wazalendo kama baadhi ya usalama wa taifa, ambao wanasaidia kuvujisha siri za vikao vya kuihujumu CHADEMA.

Mie nashangaa, Polisi akistaafu hapewi hata ukuu wa wilaya, ukuu wa Mkoa ama ujumbe wa board!!!!!.....
Wapumbavu tu hao, nao watuambie waliopiga mabomu na risasi Morogoro walitoka wapi?
 
Ama kweli mheshimiwa alichafua hali ya hewa
 
Pinda awajengee kambi wote waishi kambini, vinginevyo.......tunawajua na sehemu wanazoishi hatushindwi kudili nao moja moja baada ya saa za kazi.
 
Hii mbinu ilitumiwa na wakoloni miaka ya 1890 na 1900. Wazungu walikuwa wanatumia jeshi lijulikanalo kama ruga ruga. Wanatolewa kutoka himaya moja kupelekwa himaya nyingine. Kwa mfano wanatolewa Congo wanaletwa Tanganyika ili kuua wanaopinga serikali ya mkoloni. Sasa kumbe CCM wameamua kuwa mkoloni mweusi mara mbili na kutumia mbinu zile zile za kikoloni kupambana na kuua watanzania wenzao, pambafu zao.
 
polisi wanakisaidia chama chetu kuwadhibiti maghaidi wa CDM.
Inabidi mpigwe hadi mshike adabu. Kazi nzuri waziri mkuu
 
Back
Top Bottom