Huduma ya channel kwenye startimes, Startimes watoa angalizo

Habari zenu!

Startimes tunapenda Kuwataadharisha watumiaji wa ving'amuzi vyetu kuwa huduma kama hii na nyingine zinazofanana na hizi si za kweli na zinaudanganyifu ndani yake, tafadhari epukana nazo.

Kama unahitaji huduma yoyote toka Startimes tafadhari tembelea maduka yetu, au piga namba zetu za huduma kwa wateja 0764700800 au 0677700800
Nyie mnazingua kinoma customer care mbovuu, local channels hazionekani bure, hakuna mwongozo kwa mteja wa juu ya kifurushi na channels utazopata. Mnashindwa hata kuandaa kijarida kinachoelezea channels, vifurushi na bei zake hadi uende kwa wakala tena nae hana bali anatumia uzoefu tu, NAJUTA KUNUNUA STARTIMES AISEE
 
Habari yako kabwigwa pole sana kwa usumbufu unaoupata

Startimes tuna ving'amuzi vya aina mbili cha kwanza ni "FTA decoder" bei ya king'amuzi hiki ni Shilingi 89,000, ukiwa na king'amuzi hiki utafurahia chaneli zote za ndani bure kwa muda wote, hii ni kwa mujibu wa sheria na muongozo toka kwa mamlaka husika ikiwemo TCRA.

Kutokana na gharama ya 89,000 kuonekana kubwa na watu wengi kushindwa kuimudu, na ili kuhakikisha kila mtanzania anafurahia huduma ya Television bila kujali uwezo wake startimes kwa kuzingatia maombi na pia maoni toka wa wateja iliamua kupunguza bei ya ving'amuzi na kuwa na kingamuzi chenye bei maalumu, startimes ikaweka ving'amuzi vyenye bei maalumu 'STARTIMES SUBSDIZED DECODER', bei yake ni bei ya chini kulinganisha na bei ya soko (unalipia shilingi 34,000 kupata king'amuzi hiki, hii 34,000 ni hela ya huduma tu) , lengo kubwa ni kuhakikisha mteja anapata na king'amuzi kwanza. kupitia king'amuzi hiki mteja analipia gharama ya huduma tu ambayo anaweza kulipia kwa siku, wiki au mwezi ili kupata chanel za ndani na chaneli za nje.

Lakini baadae mteja mwenye king'amuzi hiki 'SUBSDIZED DECODER' akipata fedha anaweza kukibadilisha kuwa king'amuzi cha FTA, mteja anaweza kukibadilisha kwa kufika katika duka letu la startimes lililo karibu yake na kulipia 'PRICE DIFFERERENCE' (Tofauti ya bei kati ya SUBSDIZED Decoder na FTA Decoder) yaani 89,000-34,000 ambayo ni 55,000. ukifanya hivyo utakuwa sawa na aliyenunua king'amuzi cha FTA utafurahia chanel zote za ndani bure muda wote.

Startimes tumekuwa tukijitahidi kuwaeleza wateja wetu kabla hawajanunua ving'amuzi vyetu, tofauti ya ving'amuzi hivyi ili kumpa nafasi mteja kufanya chaguo sahihi, lakini tumekuwa tunapata changamoto nyingi sokoni kwani mawakala na maagenti wetu wengi hawatoi taarifa hizi kwa wateja ipasavyo. Tafadhahari tunaomba radhi kwa usumbufu wowote ulioupata kama hukupata maelezo haya, Pia tunakukaribusha katika duka la startimes kwa ajili ya kubadilisha king'amuzi chako kuwa cha FTA. Startimes tutaendelea kufuata sheria na mwongozo toka kwa mamlaka husika

Ahsante!

Mimi nimenunua cha sh.75000 mwaka juzi,na bado sipati hizo local channel,,tatizo nini?
 
Yaani unatoa majibu mepeeesi wakati watu wanaumia na udanganyifu au makosa yenu! Mzee anapofanya makosa wakala ujue mkosaji ni muhusika. Hii haiondoi tuhuma ya kuhusika katika huo udanganyifu. Kwa maana nyingine, akikosea Agent, muhusika yaani Principal (ambapo kwenye hili sakata ni StarTimes) hawezi kujiweka kando kwenye hayo makosa yaliyofanywa na Agent. Hivyo basi kwa maana halisi, StarTimes imehusika kwenye udanganyifu!
 
Nyinyi StarTimes ni wezi, waongo na wapuuzi kabisa, mnajaribu kutaka kucheza na Akili za watanzania wajinga. Nitafafanua kila kitu hapa hapa.

Kwanza, niweke wazi, mimi ni mteja wenu, na ninavyo ving'amuzi vyenu vya vizazi vitatu.
Vile vya kwanza kabisa, Kizazi cha pili na hivyo vya Punguzo.

1/Ving'amuzi vyote hivyo nimevinunua kupitia ofisi zenu kuu, tena kwa kupata maelezo kutoka kwa Senior salers na technical personnels wenu. Na wote walinipa maelezo yaliyokuwa matamu mdomoni lakini ni tofauti na huduma zenyewe. Kifupi ni usanii fulani hivi. Hivyo tuache kabisa kuwasingizia hao mawakala wenu, wakati nyinyi na wao mko kitu kimoja. Suala la kutakiwa kuonyesha Channel Sita bure sio la sasa ni takwa la kisheria kabla hata ya nyinyi kuanza kuoperate biashara ya kuuza ving'amuzi mwaka 2010. Hivyo kizazi cha kwanza na vizazi vyote vya ving'amuzi vyenu vilipaswa kuwa na mfumo huo kwanza kabla ya nyongeza au badiliko lolote litakalofuata. Na kitu hicho kwenu nyinyi kimekuwa cha kutegea tegea kihuni huni.

2/Kiutalamu(mimi pia ni mtaalamu katika mifumo ya Sateliti na mzoefu kidogo kwenye mambo ya IT), haijarishi ni king'amuzi kipi au Kadi ipi, setting zote zinafanyika ofisini, na mteja huko huko alipo akaona matokeo tu. Ndio maana hata vifurushi vyenu na channel zenu kwenye ving'amuzi mnaweza kuziset tu wakati wowote na athari zikamfikia mteja. HIVYO HAIHIHITAJI KUNUNUA KING'AMUZI KIPYA ILI KUWEZA KUONA HIZO FREE CHANNELS.

3/Ndio maana hata sasa kwenye king'amuzi cha StarTimes mnacho kifurushi cha Local Channel kinacholipiwa Shilingi 6000/= kwa mwezi. Kwanini msigeuzi kifurushi hicho kuwa bure ili kukidhi takwa la TCRA la kuonyesha Channel Sita za ndani bure?

4/Yapo mambo muhimu na nyeti kuhusu michezo fulani fulani hivi michafu ya kibiashara kwa sasa mnaicheza, sitaiweka hapa kwa sasa, Lakini naapa kuifikisha kwenye vyombo fulani vya mamlaka hapa Tanzania, tujipe muda kidogo sana na mtaona reaction yake.
 
Habari yako kabwigwa pole sana kwa usumbufu unaoupata

Startimes tuna ving'amuzi vya aina mbili cha kwanza ni "FTA decoder" bei ya king'amuzi hiki ni Shilingi 89,000, ukiwa na king'amuzi hiki utafurahia chaneli zote za ndani bure kwa muda wote, hii ni kwa mujibu wa sheria na muongozo toka kwa mamlaka husika ikiwemo TCRA.

Kutokana na gharama ya 89,000 kuonekana kubwa na watu wengi kushindwa kuimudu, na ili kuhakikisha kila mtanzania anafurahia huduma ya Television bila kujali uwezo wake startimes kwa kuzingatia maombi na pia maoni toka wa wateja iliamua kupunguza bei ya ving'amuzi na kuwa na kingamuzi chenye bei maalumu, startimes ikaweka ving'amuzi vyenye bei maalumu 'STARTIMES SUBSDIZED DECODER', bei yake ni bei ya chini kulinganisha na bei ya soko (unalipia shilingi 34,000 kupata king'amuzi hiki, hii 34,000 ni hela ya huduma tu) , lengo kubwa ni kuhakikisha mteja anapata na king'amuzi kwanza. kupitia king'amuzi hiki mteja analipia gharama ya huduma tu ambayo anaweza kulipia kwa siku, wiki au mwezi ili kupata chanel za ndani na chaneli za nje.

Lakini baadae mteja mwenye king'amuzi hiki 'SUBSDIZED DECODER' akipata fedha anaweza kukibadilisha kuwa king'amuzi cha FTA, mteja anaweza kukibadilisha kwa kufika katika duka letu la startimes lililo karibu yake na kulipia 'PRICE DIFFERERENCE' (Tofauti ya bei kati ya SUBSDIZED Decoder na FTA Decoder) yaani 89,000-34,000 ambayo ni 55,000. ukifanya hivyo utakuwa sawa na aliyenunua king'amuzi cha FTA utafurahia chanel zote za ndani bure muda wote.

Startimes tumekuwa tukijitahidi kuwaeleza wateja wetu kabla hawajanunua ving'amuzi vyetu, tofauti ya ving'amuzi hivyi ili kumpa nafasi mteja kufanya chaguo sahihi, lakini tumekuwa tunapata changamoto nyingi sokoni kwani mawakala na maagenti wetu wengi hawatoi taarifa hizi kwa wateja ipasavyo. Tafadhahari tunaomba radhi kwa usumbufu wowote ulioupata kama hukupata maelezo haya, Pia tunakukaribusha katika duka la startimes kwa ajili ya kubadilisha king'amuzi chako kuwa cha FTA. Startimes tutaendelea kufuata sheria na mwongozo toka kwa mamlaka husika

Ahsante!
Sisi Wa mwanzoni tulionunua decoder kwa 79000 tunawekwa upande gani,mbona mnatuonea jamani,bora nihame niende dstv kuliko kuendelea kuwa na huduma mbovu kiasi hicho
 
Afadhali mkuu umetoa maelezo yanayojitosheleza,tcra nao hawana msaada kwa wananchi,kazi yao ni kutafuta wanaokosoa serikali tu
 
Habari yako kabwigwa pole sana kwa usumbufu unaoupata

Startimes tuna ving'amuzi vya aina mbili cha kwanza ni "FTA decoder" bei ya king'amuzi hiki ni Shilingi 89,000, ukiwa na king'amuzi hiki utafurahia chaneli zote za ndani bure kwa muda wote, hii ni kwa mujibu wa sheria na muongozo toka kwa mamlaka husika ikiwemo TCRA.

Kutokana na gharama ya 89,000 kuonekana kubwa na watu wengi kushindwa kuimudu, na ili kuhakikisha kila mtanzania anafurahia huduma ya Television bila kujali uwezo wake startimes kwa kuzingatia maombi na pia maoni toka wa wateja iliamua kupunguza bei ya ving'amuzi na kuwa na kingamuzi chenye bei maalumu, startimes ikaweka ving'amuzi vyenye bei maalumu 'STARTIMES SUBSDIZED DECODER', bei yake ni bei ya chini kulinganisha na bei ya soko (unalipia shilingi 34,000 kupata king'amuzi hiki, hii 34,000 ni hela ya huduma tu) , lengo kubwa ni kuhakikisha mteja anapata na king'amuzi kwanza. kupitia king'amuzi hiki mteja analipia gharama ya huduma tu ambayo anaweza kulipia kwa siku, wiki au mwezi ili kupata chanel za ndani na chaneli za nje.

Lakini baadae mteja mwenye king'amuzi hiki 'SUBSDIZED DECODER' akipata fedha anaweza kukibadilisha kuwa king'amuzi cha FTA, mteja anaweza kukibadilisha kwa kufika katika duka letu la startimes lililo karibu yake na kulipia 'PRICE DIFFERERENCE' (Tofauti ya bei kati ya SUBSDIZED Decoder na FTA Decoder) yaani 89,000-34,000 ambayo ni 55,000. ukifanya hivyo utakuwa sawa na aliyenunua king'amuzi cha FTA utafurahia chanel zote za ndani bure muda wote.

Startimes tumekuwa tukijitahidi kuwaeleza wateja wetu kabla hawajanunua ving'amuzi vyetu, tofauti ya ving'amuzi hivyi ili kumpa nafasi mteja kufanya chaguo sahihi, lakini tumekuwa tunapata changamoto nyingi sokoni kwani mawakala na maagenti wetu wengi hawatoi taarifa hizi kwa wateja ipasavyo. Tafadhahari tunaomba radhi kwa usumbufu wowote ulioupata kama hukupata maelezo haya, Pia tunakukaribusha katika duka la startimes kwa ajili ya kubadilisha king'amuzi chako kuwa cha FTA. Startimes tutaendelea kufuata sheria na mwongozo toka kwa mamlaka husika

Ahsante!
huu ni uonezi je sisi tulionunua mwanzo kabisa yale matoleo ya kwanza mnatusaidiaje? kwa vile hiyo fta decoder haikuwepo na tuliaminishwa tutapata local channel bila tatizo.na ninavyojua serikali wakati inaingia mkataba mlikubali kuachia hizo local channel tano bure iweje sasa mje na matamshi sijui ya fta decoder?hivi kweli mnampango wa kutuasaidia watanzania wa hali ya chini? haya mnipige tafu na Mimi nione yanayoendelea 02035348177 ac ya decoder yangu.vyuma vimekaza
 
Nyinyi StarTimes ni wezi, waongo na wapuuzi kabisa, mnajaribu kutaka kucheza na Akili za watanzania wajinga. Nitafafanua kila kitu hapa hapa.

Kwanza, niweke wazi, mimi ni mteja wenu, na ninavyo ving'amuzi vyenu vya vizazi vitatu.
Vile vya kwanza kabisa, Kizazi cha pili na hivyo vya Punguzo.

1/Ving'amuzi vyote hivyo nimevinunua kupitia ofisi zenu kuu, tena kwa kupata maelezo kutoka kwa Senior salers na technical personnels wenu. Na wote walinipa maelezo yaliyokuwa matamu mdomoni lakini ni tofauti na huduma zenyewe. Kifupi ni usanii fulani hivi. Hivyo tuache kabisa kuwasingizia hao mawakala wenu, wakati nyinyi na wao mko kitu kimoja. Suala la kutakiwa kuonyesha Channel Sita bure sio la sasa ni takwa la kisheria kabla hata ya nyinyi kuanza kuoperate biashara ya kuuza ving'amuzi mwaka 2010. Hivyo kizazi cha kwanza na vizazi vyote vya ving'amuzi vyenu vilipaswa kuwa na mfumo huo kwanza kabla ya nyongeza au badiliko lolote litakalofuata. Na kitu hicho kwenu nyinyi kimekuwa cha kutegea tegea kihuni huni.

2/Kiutalamu(mimi pia ni mtaalamu katika mifumo ya Sateliti na mzoefu kidogo kwenye mambo ya IT), haijarishi ni king'amuzi kipi au Kadi ipi, setting zote zinafanyika ofisini, na mteja huko huko alipo akaona matokeo tu. Ndio maana hata vifurushi vyenu na channel zenu kwenye ving'amuzi mnaweza kuziset tu wakati wowote na athari zikamfikia mteja. HIVYO HAIHIHITAJI KUNUNUA KING'AMUZI KIPYA ILI KUWEZA KUONA HIZO FREE CHANNELS.

3/Ndio maana hata sasa kwenye king'amuzi cha StarTimes mnacho kifurushi cha Local Channel kinacholipiwa Shilingi 6000/= kwa mwezi. Kwanini msigeuzi kifurushi hicho kuwa bure ili kukidhi takwa la TCRA la kuonyesha Channel Sita za ndani bure?

4/Yapo mambo muhimu na nyeti kuhusu michezo fulani fulani hivi michafu ya kibiashara kwa sasa mnaicheza, sitaiweka hapa kwa sasa, Lakini naapa kuifikisha kwenye vyombo fulani vya mamlaka hapa Tanzania, tujipe muda kidogo sana na mtaona reaction yake.
mkuu umemaliza kila kitu hawa jamaa ni wajanja wajanja sana mwemyewe nilinunua kingamuzi toka 2011 huko then sahizi unaniambia habari sijui za FTA decoder wapi na wapi.hivi hatuwezi pata mwanasheria mzuri sie wa mwanzo tukawastaki hawa jamaa? Mimi nina hadi risit zao kabisa
 
Kwanini Startimes king'amuzi chenu hakina radio stations?
 
Nilipowapigia simu wakasema inabidi nibadili card,nitoe elfu kumi na mbili ili nipate card mpya,pasua kichwa hawa wachina,,,
 
Habari zenu!

Startimes tunapenda Kuwataadharisha watumiaji wa ving'amuzi vyetu kuwa huduma kama hii na nyingine zinazofanana na hizi si za kweli na zinaudanganyifu ndani yake, tafadhari epukana nazo.

Kama unahitaji huduma yoyote toka Startimes tafadhari tembelea maduka yetu, au piga namba zetu za huduma kwa wateja 0764700800 au 0677700800

Ndg Star Times,

Minipo Arusha Maeneo ya Mianzini – Ikiurei naitwa Pius
NInatumia Kingamuzi no 02035295385
Natak kujua mbona ninapoangalia inaniambia no Signal au not Subsribed, sipati hata TBC je shida nini?
Nisadie tafadhali
 
Back
Top Bottom