Hotel ya Iliboru Safari Lodge Arusha yateketea kwa Moto ,watalii wajeruhiwa vibaya

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Hotel ya Kitalii ya Ilboru Safari Lodge iliyopo Ilboru ,wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha imeteketea kwa moto kiasi cha kutookoa chochote .

Moto huo unadaiwa kuzuka majira ya SAA mbili asubuhi na kuunguza kila kitu ikiwemo nyumba mbili za kulala wageni pamoja na nyumba ya kuishi Mkurugenzi wa Hotel hiyo na kujeruhi baadhi ya watalii waliokuwa wamelala katika nyumba hizo.

Hotel hiyo inayomilikiwa na kanali mstaafu wa jeshi aitwaye Mika Metili inadaiwa kuwa chanzo cha moto hakijajulikana ila inahofiwa kuwa ni hitilafu ya Umeme.

Jeshi la wokozi na zima moto walifika katika eneo la tukio na kukuta moto umeshateketez kila kitu katika hotel hiyo.

IMG-20190312-WA0001.jpeg
IMG-20190312-WA0000.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole yao sana wahanga,moto sio kitu kizuri sikia tu hivi kwa wenzako,ninakumbuka jamaa yangu moto ulivyochoma nyumba yake na kila kitu kilichoko ndani,alitoka nje na mkewe wakabaki wanaitazama nyumba ikiteketea huku wameshikana mikono,na ghafla mke alidondoka chini na kuzimia kwa siku tatu,ni hatari kwa kweli..
 
Hotel ya Kitalii ya Ilboru Safari Lodge iliyopo Ilboru ,wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha imeteketea kwa moto kiasi cha kutookoa chochote .

Moto huo unadaiwa kuzuka majira ya SAA mbili asubuhi na kuunguza kila kitu ikiwemo nyumba mbili za kulala wageni pamoja na nyumba ya kuishi Mkurugenzi wa Hotel hiyo na kujeruhi baadhi ya watalii waliokuwa wamelala katika nyumba hizo.

Hotel hiyo inayomilikiwa na kanali mstaafu wa jeshi aitwaye Mika Metili inadaiwa kuwa chanzo cha moto hakijajulikana ila inahofiwa kuwa ni hitilafu ya Umeme.

Jeshi la wokozi na zima moto walifika katika eneo la tukio na kukuta moto umeshateketez kila kitu katika hotel hiyo.

View attachment 1043684View attachment 1043686

Sent using Jamii Forums mobile app
FOR IMMEDIATE RELEASE:

Ilboru Safari Lodge
Arusha

Tuesday, 12 March 2019

RE: INCIDENT AT ILBORU SAFARI LODGE

We would like to advise our tour operators and the general public about an incident this morning at Ilboru Safari Lodge. Please be assured that the lodge is open and functioning as of now and the operations of the lodge have not been interrupted.

This morning a fire occurred on the lodge property which was quickly responded to and extinguished by the local fire brigade. A private residence on the property suffered considerable damage and one nearby cottage had minor damage.

Other than this damage to property there were no personal injuries nor were guests staying at the lodge impacted in any way.

Business continues as usual and we appreciate your ongoing support.

Annelies Metili
Managing Director
 
Business at Ilboru safari lodge in Arusha Tanzania continues as usual and we appreciate your ongoing support.

Annelies Metili
Managing Director

Thanks for a speedy response about the real situation at the lodge. And sorry for the unfortunate fire incident.
 
Back
Top Bottom