Recent content by pandii

  1. P

    Dodoma: Viongozi wa BAVICHA Taifa wakamatwa kwa tuhuma za kuvaa T-Shirt zenye maneno ya kichochezi

    Taifa lishakombolewa na MAGUFULI,ebu mumwache atimize ahadi zake.tena nawapongeza police kwa kuwakamata hao wahuni,huu sio muda wa siasa jamani.aaaaaahhhhghha
  2. P

    Rais Magufuli ateua Wakurugenzi wa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya za Tanzania Bara

    Mama sipora ni wakawaida sana katika utendaji,hapa tabora kwenyewe sijaona alichofanya,dar ndo atakimbia asubuhi,mnaomsifia hamumjui kabisa
  3. P

    Rais Magufuli alia na ufisadi Jeshi la Polisi na Rushwa ofisi ya DPP

    Mmetuchosha na kujifanya kujua visheria vyenu hivi vya tumaini,saut,ruco.mwacheni RAIS afanye kazi jamani,nyie kila siku kukosoa tu yaani hamna jema lolote mnalotoka nalo kuhusu kauli ya MH.MAGUFULI?
  4. P

    Umeya wa Dar Utamponza Magufuli

    Sahau kabisa,MH,RAIS MAGUFULI HAWEZI HATA SIKU MOJA KUPONZWA NA MANENO YENU HAYO YA KIPUMBAVU,huu ni muda wa kujenga nchi sio maneno.hata mkimwombea mabaya,ila watanzania wengi tunampenda na tunamuombea zaidi ya 99.9,nyie kijiasilimia 0.0001 hata hamtusumbui
  5. P

    INTELIJENSIA: Ziara ya Waziri Mkuu Bandarini

    Hayo mashaka ndo mwanzo wa kuonesha kweli huna uelewa na usalama wa taifa,information kumfikia nayo yawezekana ni mbinu ya ushahidi kwa kilichotarajiwa,no link of info wewe hujiongezi kuwa waziri mkuu anajua kuwa alitumiwa sms? Kama wanauwezo wa ku track kuwa alitumiwa sms unakuwaje na mashaka...
  6. P

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    We fundisha,au ulikuwa tawi la sagenge nn? Hahahahahahaaaaa,nahisi fimbo kakutisha kukupeleka ikomwa
  7. P

    David Kafulila aibwaga serikali

    Kesi hii kama kafulila angeweka wakili mzuri angeshinda,ila huyu wakili wake ndg Daniel Lumanyila hana uzoefu na anaelea sana kwa wakili wa hasna ndg fungamtama.nayasema haya kwasababu nimeudhuria kesi hii tangu mwanzo,hata jana trh 14/1/2016 nilikuwepo mahakamani.Ni huruma tu ya jaji ndo...
  8. P

    Cannavaro astaafu rasmi timu ya Taifa, Kujikita na Yanga

    Kwanza ni mzanzibar,timu yetu atuachie
  9. P

    Mbunge Martha Mlata azuiwa JKNIA kusafiri, hakuwa na kibali cha Ikulu

    Kilichosababisha martha kuzuiwa ni kwamba alikuwa anatumia diplomatic passport kwa safari yake binafsi,hiyo paspot inalipiwa na serikali.sasa kama anataka kutumia hiyo paspot ni lazima apate kibali cha katibu wa bunge kutoka kwa katibu mkuu maana fedha inatoka hazina kulipia safari,lakini...
  10. P

    Tabora ni sawa na Torabora

    Na itaendelea kuwa ya mwisho maana wafanyakazi wa manispaa hapa ni mizigo,mfAFISA UTUMISHI ANAITWA FRANK,NI MZIGO SANA.WALIMU WALIPANDA MADARAJA TANGU MWEZI WA 30/6/2015 LAKINI MPAKA LEO WALIMU HAWAJAPEWA MISHAHARA MIPYA,KILA SIKU STORY HAZIELEWEKI.SASA KWA HALI KAMA HII ELIMU ITAPANDA? AFISA...
  11. P

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Mimi chochote atakacho fanya magufuli naunga mkono maana sisi wananchi wa chini tumenyanyasika saaana kwa mambo ya kichuki chuki tu na sio ya kiutendaji.WAISLAMU WANAPENDA KULALAMIKA SANA,WAFANYIE WAISLAM NA WAKRISTO JAMBO LA KUUMIZA KWA LEVEL SAWA,WAISLAM WATATOA MPAKA MATAMKO YA KULAANI,LAKINI...
  12. P

    Utumishi/Hazina: Watumishi wa serikali walishwa mkono mtupu sikukuu ya Krismas na mwaka mpya

    Afisa utumishi tabora manispaa ni mzigo sijawahi ona duniani hapa,walimu wamepandishwa daraja 30/6/2015 mpaka leo mishahara haijabadilika,natamani sana ziara ya waziri husika tabora.yaani ni shida kubwa saaaannaaaaaa
  13. P

    King'amzi kipi kizuri kwa hapa Tanzania

    Azam bei gani kwa sasa,maana hata mm nataka king'amuzi
  14. P

    Huyu ni mtu wa watu na sio kama yule mwengine

    Mungu yupo na Rais wetu,nasi wa tz tuko nae ktk maombi
Back
Top Bottom