Tabora ni sawa na Torabora

Juma123

Senior Member
Jan 23, 2012
193
47
Hi wanabodi

Kuna Mwandishi moja wa Gazeti la Rai enzi za Jenerali Ulimwengu, aliandika Tabora ni SAWA NA torabora ya Afghanistan. Baada ya Mkoa huu kushika mkia katika matokeo ya darasa la Saba mwaka 2015, mwenye Hilo andiko, Hebu atupiemo humu ili tuchambue NA tuwashtue wabunge wote wa Mkoa wa Tabora, aka Tabola, waamke toka kwenye usingizi wa pono kwa ajili ya mustakabali wa Mkoa
 
Wewe ndo umetukana unawezaje kulinganisha kwetu na Torabora

Tungepata hiyo makala, ungemuelewa mwandishi alikuwa ana maanisha nini, kwa taarifa yako hata mimi ni mwananzengo, kwa pamoja tuoendoe hii aibu ya Torabora
 
Tungepata hiyo makala, ungemuelewa mwandishi alikuwa ana maanisha nini, kwa taarifa yako hata mimi ni mwananzengo, kwa pamoja tuoendoe hii aibu ya Torabora

Wa kulaumiwa ni Wabunge wote wa Tabora na ujue zao LA Tumbaku ndio limefanya TB tuwe masikini wa kutupwa wazazi wakati wa kumwagilia mabedi (bedseeds) watoto hawaendi shule ni aibu sana .zao hili hovyo sana umasikini na ujinga umetamalaki home
 
Asante sana wakwetu, inabidi tusimame kwa pamoja ili Mkoa wetu uondokane NA hii aibu, Kweli Tabora ya mwisho mtihani darasa la Saba? Tuwaambie wabunge wetu hili halikubaliki kabisa, NA tuwape malengo ya kufikiwa kabla ya 2020, NA hiki ndicho kiwe kipimo chair kwetu kwa utendaji wao kwa wananchi
 
Wa kulaumiwa ni Wabunge wote wa Tabora na ujue zao LA Tumbaku ndio limefanya TB tuwe masikini wa kutupwa wazazi wakati wa kumwagilia mabedi (bedseeds) watoto hawaendi shule ni aibu sana .zao hili hovyo sana umasikini na ujinga umetamalaki home

Tumbaku inasingiziwa hapa, kwa sababu inalimwa sehem ndogo tu ya mkoa wa tabora, urambo, kaliua, sikonge ndio maeneo wanaolima tabora, nzega, igunga, tumbaku hawalimi mpaka bukene huko zaidi mpunga na mahindi kwa mbali, huu mkoa bwana umedumaa ile mbaya sijui Hata kuukwamua tuanzie wapi
 
Wabunge hakuna ndugu yangu nenda wakati wa campaign ndo utakua criteria zinazowapitisha amini nakwambia ukifika kijijini kwetu hali mbaya sana kijana anesifiwa kupata pesa ni yule alievuna tumbaku na akapata m.3 kwa mwaka na akitoa makato ya wagubi anabaki na m.2 hivi kwa mwaka akijenga nyumba ya bati ndo milionea huyo watoto wanalimishwa balaa shule ni kiangazi tu . hata walimu wako busy na tumbaku
 
Sad inabidi tusimame kidete, tuondokane NA hii aibu kwa kweli
 
Unajua kuna vitu huwa pia vinachangia mkoa kuwa na mwamko wa kielimu.Ukiondoa sera nzuri za elimu, vitendea kazi, uwezo wa wazazi kuwagharamia watoto wao elimu, kuna kitu watu wanakisahau ambacho mimi huwa nakina ni cha muhimu sana yaani uwepo wa watu mashuhuri ambao wanafunzi watapenda kwenda shule ili wawe kama wao. Sasa huko tabora wanafunzi wakiangalia watu wao ambao ni maarufu kama prof kapuya,prof lipumba, sitta, Dr kitila mkumbo,rage wanafeli wakiwa darasa la kwanza.So sishangai kwa haya yanayotokea.
 
Duu!!! Hii Tabora yetu ni balaa tupu.

Ila sasa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ni Mnyamwezi wa kwetu huku. Sijui atasaidia walau kidogo?

Sitta na Prof. Juma Kapuya ilikuwa ni SHEEDA Mwana Wane.

Ngoja nijilie tu wali wangu wa NSANSA aka RASTA.
 
Mimi nashangaa Sana watu wanaendelea kutete tumbaku, yaani hiyo tumbaku ni shida Sana, yaani kuanzia mwezi wa tisa kuotesha vitalu hadi mwaka unaofuata mwezi wa sita wakulima wa tumbaku wanakuwa kama watumwa tena hadi afya zao zinadolola, hapa hatujaongelea mazingira, miaka ya themanini tabora ilikuwa nyika ya misitu ya miyombo hivi sasa ni jangwa, lakini tuna chuo kikuu cha kilimo, kwa kauli mbiu ya HAPA KAZI TU, chuo kikuu cha kilimo kifanye utafiti wa zao mmbadala kwa mkoa wa tabora ili tuokoe watu na pia mazingira yasizidi kuteketea, zao la tumbaku linaweza likawa kigezo cha matokeo mabovu ya shule za tabora kwani linahitaji watu wengi wakati wa kuvuna na kukausha. Jamani wataalamu wetu tuokoe mkoa wa TABORA.
 
Na itaendelea kuwa ya mwisho maana wafanyakazi wa manispaa hapa ni mizigo,mfAFISA UTUMISHI ANAITWA FRANK,NI MZIGO SANA.WALIMU WALIPANDA MADARAJA TANGU MWEZI WA 30/6/2015 LAKINI MPAKA LEO WALIMU HAWAJAPEWA MISHAHARA MIPYA,KILA SIKU STORY HAZIELEWEKI.SASA KWA HALI KAMA HII ELIMU ITAPANDA? AFISA UTUMISHI TABORA,MKURUGENZI,NA AFISA ELIMU WAMULIKWE.
 
Tatizo letu wanyamwezi hatujitambui,hao wabunge wote hawana msada kwetu,kwa sababu ya ujinga wetu huwa tunaletewa picha ya mgombea kwenye kampeni,wapambe wanainadi picha mgombea yuko Dsm,kubadilike vadugu vane,wulele wiswe ho mtaji gwao,Rage alihe nsikwezi?kenehe SITTA,vihe KAPUYA?
 
Duu!!! Hii Tabora yetu ni balaa tupu.

Ila sasa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ni Mnyamwezi wa kwetu huku. Sijui atasaidia walau kidogo?

Sitta na Prof. Juma Kapuya ilikuwa ni SHEEDA Mwana Wane.

Ngoja nijilie tu wali wangu wa NSANSA aka RASTA.

Hee mdugu wane mnya Sikonge selesele.........
 
Sasa limeongezeka balaa lingine la madawa ya kulevya.. Watoto wanaanza kutumia bado wadogo.. Unga unauzwa bila kificho kwenye mitaa ya Tabora mjini.
 
Back
Top Bottom