Kwa kenya tunawapongeza kwa hilo kwa kua bajeti yao ipo juu zaidi ya yakwetu,kinachosikitisha kwetu ni pale ambapo hoja za kujenga na kuimariha jehi kwa vifaa zikitolewa kuna baadhi ya wabunge watapinga kwa kuleta hoja laini kama madawati, hakuna shule ,mara madawa ,,,,hapo ndipo ugonjwa na...