Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,909
Wadau,
Kama mnavyojua lile chama Kubwa ,Chama Cha Watanzania wazalendo waliochoshwa na Wizi, Ujanja ujanja na Ufisadi wa Mali ya umma katika nchi hii.
Chadema tutakuwa na Baraza Kuu la Chama Tarehe 27.05.2017 huko Dodoma. Ni ombi langu kwa uongozi wa Chadema Wananchi tunahitaji kufuatilia kwa karibu Mkutano huo kama tungeweza kuoneshwa Live kupitia Vyombo mbali mbali vya Habari hapa Nchini.
Ni hayo tu.
Viva Chadema Viva Tanzania. Ushindi 2020 ni lazima. Kumtoa mkoloni mweusi Ikulu.