Msanii Ali Kiba avaa nguo za kike stejini, wanaume wakware wampigia miluzi

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Msanii Ali Kiba alijikuta akivaa nguo za jinsia isiyo yake yaani za kike na kujikuta ametokelezea kama Aunt Asuu, Dan mtoto wa Mama, James Delicious au Bilal Mashauzi.

Ali Kiba kama wengine wanavyomsifia kwa kukata viuno basi alijikuta anazungusha mauno kama Fifi Moto hali iliyopelekea wanaume wakware kupagawa na kujikuta wakimpigia miluzi.

Huyo ndio King Kiba.. Yooooo.... Pop it innnn....

DAV7_snXoAEb-Q1.jpg:large.jpeg
 
Ali Kiba ni mwanamuziki,na muziki ni burudani.
Sioni ubaya wowote maana yuko stejini ambako ndiko ofisini kwake.
Binafsi nimeipenda sana,big up Ali Kiba.

Wengine hapa wanatokwa mapovu,wanatoa kejeli kwa Kiba ambaye kwa show moja anaingiza zaidi ya Mil. 15 huku wao walio ofisini (white collar job) wanalipwa laki 3 wanajiona bora!
Huu ni zaidi ya uwendawazimu!
 
Asante dada kwa kuwachana ,,ukichunguza watanzania wengi wenye vijembe mtandaoni ni wale kula kulala,au kulala kwa shem ,au kama ni kazi analipwa laki 3 kwamwezi alafu anampiga kijembe mtu ambaye yupo ofisini pale anazaidi ya mamilion yake ,,,da aliyetuloga bongo kashaoza kaburinii
 
Sawa bilionea panda lee, hapa hatushindashi vipato vyetu wala mali, hapa tuangalie maadili yetu ya kitanzania. Kama kuingiza mtonyo hata Ben Pol kaanika makalio yake na kaingiza mtonyo.
 
Asante dada kwa kuwachana ,,ukichunguza watanzania wengi wenye vijembe mtandaoni ni wale kula kulala,au kulala kwa shem ,au kama ni kazi analipwa laki 3 kwamwezi alafu anampiga kijembe mtu ambaye yupo ofisini pale anazaidi ya mamilion yake ,,,da aliyetuloga bongo kashaoza kaburinii
Hahahaaaaaa kwakweli alishaoza hadi mifupa yake!
 
Hii ilikua Lip Sync Battle Mtv Africa kati ya Alli Kiba(Tz) na ndege mnana Simi(Nigeria) simply Alli Kiba akachagua kuimba ngoma ya The late Brenda Fassie(Vulindela kama nimeandika sahihi) ivyo ilabidi avae uhusika kwa kuonekana kama Brenda na mwisho wa battle dogo Alli akaibuka mshindi kama inavyoonekana kwenye picha.
Kama mzee wa wangu marehemu Tx Moshi Williamu alipokua anaimba "Mume wangu kwa nini umeniacha" wakati yeye sio mwanamke ila lengo hadhira imapate ila ladha halisi ya sanaa yake ila kwa kua siku hizi kila kitu kinaangalia kwa kigezo cha timu sishangai watu wakicharurana umu ili kuridhisha nafsi na chuki za upande mmoja nakumbuka hata Joti alishambuliwa kwa kuigiza dada Kiboga ivyo ndivyo tulivyo tabaka la chini tuna furaha kuwananga wenzetu hata kama tunajua Joti sio shoga ila maumivu ya mafanikio yanatulazimisha tumseme tu ili tupate nafuu ya maumivu yetu BTW ni mtazamo wangu tu wa kawaida kwenye hili kama unapenda huu muziki wa sasa jaribu kuangalia behind the scene za video za hawa wasanii kuna vitu vingi utaviona.
 
Naomba ushabiki usihusike

Nape aliwateua mond na kiba wimbo wao bado au ndio huo kwa ajili serengeti kule Gabon
 
Back
Top Bottom