Kilimanjaro: Hatimae Baraka Malisa amekamatwa

Kilimanjaro: Hatimae Baraka Malisa amekamatwa

Wapendwa Samahani, anaejua vyombo vya ndani Kama vile sufuria nk watu wa k. Koo wanaagiza wapi, naomba nisaidie kujua, nahitaji kuanza hiyo biashara, asante Sana
 
Tanzania tunahitaji maombi kwa ajili ya polisi wa aina hii. Mmm! Sijawahi kuona wa hivi. Nadhani polisi ni chombo cha kuwalinda raia na mali zao. Na jukumu la polisi ni kuwafikisha watuhumiwa kwenye vyombo vya dola ili sheria ichukue mkondo wake. Hapa cha ajabu ni kama Huyu kamanda keshamhukumu Baraka Malisa. Jamani Ombi please Huyu kamanda ni janga
 
Duuh! huyu RPC kapaniki kinoumah,sijawahiona RPC anaongea kwakupaniki na mikogo yote hii utadhani anaimba taarabu.
Hahaha. ....nimecheka sana.

Unajua kukamata muhalifu wa aina hiyo sio lelemama sasa kuna vitu vitatu vinaweza kuchangia kwa mwanausalama wetu kuwa hivyo;

1. Huyo jamaa alimsumbua sana kumnasa na sasa ana network yake yote.
2. Inawezekana mshkaj alikua bwaksi
3. Anatokea tanga ambako ununda ni jadi
 
Hongera kwao, inaonyesha amewasumbua kwa mda na sasa wamempata ni analo. Kama vile dawa za babu za kukimbia polisi zilimuishia.

Hapa kazi tu
 
Eti shetani akiwasumbua watamkamata
Hahaha. ......hahahaha.....hahahaha

Nimecheka sana leo kwa kweli.

Hii mihemko jamani......wamkamate kabisa shetani ili wachungaji wetu na masheikh wampumzike na wao sasa chaaaaa

Hii dunia ina vituko sana aisee......hahahah

Bora Babu kajiondokea maana dahhhh!
 
Hahahahaaaaaa....... Nimecheka sana "eti hata shetani akiwasumbua njooni polisi tutamkamata tu!".

Viongozi wa dini na waumini wenu hamna tena haja ya kuhangaika na shetani kiboko yake tayari keshapatikana, nendeni mkareport police akamatwe mara moja ili tuishi kwa amani.[emoji38][emoji2][emoji2]
 
ila kamanda anafurahisha kama wale wachekeshaji wanaopita mitaani huku wamevaa machupi na kuweka matumbo makubwaa
 
Back
Top Bottom